Website ya IKULU na miradi ya COMPUTER ya Serikali

Website ya IKULU na miradi ya COMPUTER ya Serikali

Kuachia ufisadi. R u goin to deny kuwa sio fisadi?

I don't think so. He is not. No body so far has forwarded tangible exhibit. When you put a claim and/or constructive argument, wekeni watertight exhibits, na sio habari za mitaani, it doesn't help anybody.

I know him personal. I don't see any evil he personal did and/or doing to the Country.
Duh mkuu wangu! itabidi nikuone maanake mwenzangu uko jikoni..na joto naliweza...tuunganishe nasi tujikomboe kimwili manaake kifikra JF unatosha..Lol!
Halafu wazee wangu kwa nini tusijaribu kui promote JF na facebook yetu kwa Watanzania wote?..Hii habari ya majukwaa tu inatulemaza sana.
 
Ndugu hiyo blogu ipo karibu mwaka wa 3 sasa nadhani wewe umeiona juzi
Noo bwana shy.....rire ri blog lipo tangu mwaka jana lilifunguliwa August 2008....hio miaka mitatu umeitoa wapi?

hata hivyo mtu au kikundi chochote kiko huru kuwa na blogu yako inayowasilisha mawazo na habari zake wao ikulu wameona njia nzuri ya kusambaza habari zao ni kupitia blogu hiyo inawezekana hawakuwa na bajeti ya kutosha wakaja na kitu hicho
mkuu Ikulu sio kikundi bwana mkubwa.....ile ni seemu nyeti sio kikundi ch watu fulani.....sehemu nyeti kama ikulu inapaswa kuwa na Tovuti ambayo ndani yake inakuwa na blog.....inaweza kuitwa....ikulu.co.tz/blog .....
kama hela walipewa milioni 200 kwenye website ya taifa yenye virus......ziko wapi?
 
I don't think so. He is not. No body so far has forwarded tangible exhibit. When you put a claim and/or constructive argument, wekeni watertight exhibits, na sio habari za mitaani, it doesn't help anybody.
bwana mukubwa.........lile jukwaa limekuharibu akili.......uwe unasoma na majukwaa mengine au soma thread zilizopita jukwaa la siasa
 
Umejibu nusu nusu. Sawa tuseme yeye sio fisadi na hajawahi kutumia pesa za umma kwa kujiendeleza mwenyewe. Je na hao waliomzunguka? Mbona anakaa nao na kucheka nao? Kina Rostam, sijui kama umesoma ripoti ya Meremeta, nk. Yeye yupo yupo kazi kucheka. Nchi inaliwa wazi wazi, alafu unasema hana makosa. Basi, he is unfit to run the country. Au hapo utasemaje?
 
You are missing alot.

First: Who let Rostam kuwa Mbunge wenu and who has the authority kumtoa ubunge? Hii ni term ya ngapi huyu Rostan anayo kama mbunge? Is it the President made a veto clause kumpa Ubunge au ninyi walala hoi? Now, why are you holding responsible Mr. President kwa makosa yenu ya kuendelea kumpa ubunge Rostam while consciously knowing that Hon Rostam has merits and integrity issues, if any?

Second: Even Jesus was with Judas Eskariot, does it mean that Jesus is the same as Judas and/or Jesus was compromising with Judas E?; Or are you trying to say that all of the disciples are like Judas E? Your argument that Mr. President is doing nothing is weak and still lacks merits and is unpraiseworthy.

Third: If the pioneers are capable of verifying openly mafisadi, I am sure the law will take its cause and be executed against those fisadis, iter-alia, Mr. President. Justice is not blind. To date, none has come forward with verifiables truth and/or allegations that Mr. President has failed to act on, and/or acted wanton disregard capricious and unjust.

Fourth: Jakaya Mrisho Kikwete is fit, capable, and still able to lead Tanzanians.

Consequently, you have failed to provide any explanation for normative force of involuntariness in Mr. President's failure to deal with his responsibilities as the President of the United Republic of Tanzania.

God bless Mr. President and God bless Tanzania

Max Shimba, A Bondservant of Jesus Christ.
 
bwana mukubwa.........lile jukwaa limekuharibu akili.......uwe unasoma na majukwaa mengine au soma thread zilizopita jukwaa la siasa

My friend YO YO:

This is what they say, IF YOU CAN NOT BEAT THEM, JOIN THEM.

The major responsibility Mr. President has in the Country is neither of praise nor of blame, just try to have a backward looking, you will see that there are merit-based accounts on Mr. President, that is why he is praiseworthy.

As such, responsibility is justified not in terms of the results of praising and blaming Mr. President, but solely as a kind of response to right or wrong actions, that is why I previously said, where did Mr President acted wanton disregard? If someone has done wrong then he or she deserves blame, inter-alia, if someone has done something very right, then he or she deserves praise.

Hivyobasi, censuring Mr. President to me is a nonexistent psychological traits, and for nonexistent variables, because the blamers are trying to induce irrational guilt at an unconscious level, while knowing it does not exist and/or there are no tangble exihibits from blamers.

Remember accusing someone for unwrong doing the way we do to Mr. President, J.M Kikwete is a polical propaganda tactic inayotumika kucontrol minds, to try to utilize repetitive blaming behaviors, innuendos, and hyperbole to assign negative status to Mr. President and/or any normative humans.

Accordingly, and to my view, act of censuring is utilized here at JF as a social control technique which I think it is a propaganda technique which is intended to create a negative valuation of innocent humans to induce fear, and utilizes the tactic of fear mongering.

Furthermore, kumbuka kuwa blame can be utilized by politicians to objectfy people, groups, and nations, which can typically negatively influence the minds of whom propaganda is intended for in a subjective manner, which leads to lessened objectivity in rationality.

God bless Tanzania

Max Shimba, A Bondservant of Jesus Christ
 
You are missing alot.

First: Who let Rostam kuwa Mbunge wenu and who has the authority kumtoa ubunge? Hii ni term ya ngapi huyu Rostan anayo kama mbunge? Is it the President made a veto clause kumpa Ubunge au ninyi walala hoi? Now, why are you holding responsible Mr. President kwa makosa yenu ya kuendelea kumpa ubunge Rostam while consciously knowing that Hon Rostam has merits and integrity issues, if any?

Rostam kuwa mbunge kunatokana na mambo mengi, tukianza na pesa za EPA, ambazo ndo hizo hizo zilimweka Kikwete hapo alipo. Pili, sehemu Rostam anapogombea ubunge ni sehemu isiyokuwa na mpinzani wa uhakika. Na hili wamefanya kama njia ya ku-abuse the system. Wawape wananchi true knowledge kama watamchagua tena - this goes for Kikwete na Rostam.

Second: Even Jesus was with Judas Eskariot, does it mean that Jesus is the same as Judas and/or Jesus was compromising with Judas E?; Or are you trying to say that all of the disciples are like Judas E? Your argument that Mr. President is doing nothing is weak and still lacks merits and is unpraiseworthy.
Naona kila argument unataka kumwingiza Yesu. What are you trying to prove? Anyway, tuendelee...Yesu alipokuwa na Yuda, kumbuka Yuda alikuwa hajaasi.
Lets me give u another example - Wewe utawaruhusu watoto wako waende kukaa baa na walevu kwa kusema sio walevi. Point ni kwamba birds of the same feather flock together. Na kwa sasa ukiangalia CCM, viongozi wote wakubwa hawaaminiki. Na hii inatokana na scandal zinazowazunguka. Mimi mpaka sasa sijaona Lowassa - aka Mr Richmond, ametolewa uanachama wao. That does raise questions.

Third: If the pioneers are capable of verifying openly mafisadi, I am sure the law will take its cause and be executed against those fisadis, iter-alia, Mr. President. Justice is not blind. To date, none has come forward with verifiables truth and/or allegations that Mr. President has failed to act on, and/or acted wanton disregard capricious and unjust.
tell me...when was the last time 'the law' acted against someone a top government official in Tz? Tumekuwa na scandal ngapi tangu Kikwete aingie madarakani na zimeishia wapi? As the leader of the country - the buck stops with him. Na yeye ame-fail.

Fourth: Jakaya Mrisho Kikwete is fit, capable, and still able to lead Tanzanians.
Ametimiza ahadi zake za uchaguzi? Watanzania wanaishi katika maisha bora zaidi? Can you give us his achievements basi...kwa kusudi ya fair argument?

Consequently, you have failed to provide any explanation for normative force of involuntariness in Mr. President's failure to deal with his responsibilities as the President of the United Republic of Tanzania.
God bless Mr. President and God bless Tanzania

Max Shimba, A Bondservant of Jesus Christ.
sijaelewa hapo unasema nini!!
 
Maxshimba,
JK anaweza kuwa mtu mzuri sana lakini kusema kweli tukubali kashindwa kuiongoza nchi. Kipimo cha uongozi bora ni kutazama matunda ya uongozi ule na sii vitu gani vibaya kavifanya..Ikiwa nchi inazidi kudidimia kiuchumi na inaendelea kuwa Taifa tegemezi la misaada, bila shaka uongozi huo una walakini, sio lazima kuwepo na mkono wake kuangamiza.

Nitarudia mfano mdogo ktk maisha yetu nikizingatia tena WATU na MAZINGIRA..
Tulivyolelewa sisi, Baba ndiye mkuu wa nyumba, pamoja na mazuri yake yote ya Uume anatakiwa ku provide nyumba yake..He is responsible na accountable kwa matokeo mengi ya nyumba hiyo..
Na kama nyumba itakuwa haiwezi kupata hata mlo mmoja atakaye tazamwa ni baba.Sasa iwe yeye ni mkarimu, mpole mwenye kutimiza mazuri yote ya uume haina maana yeye ni kiongozi bora (baba) wa kaya hiyo..
Kipimo cha mzazi ktk swala la baba hutokana na maendeleo ya nyumba hiyo ikiwa ni pamoja na maisha ya watoto wake. Kama mzee kazi yake ni kwenda migahawani na kuomba fedha apate kuwalisha wanawe, kuna tatizo gani wanawe wakisema hii ni aibu kwao..

Kinachowashinda watanzania wengi, ni pale baba huyu anapokwenda kuomba migahawani fedha za mboga na akiwambiwa sii vizuri tafuta kazi, jibu lake.. wewe unafikiri kuomba mtu fedha sii kazi au kazi ndogo?..Au kusisitiza watoto ati - Nanyi katafuteni kazi, sio jibu ikiwa wewe mzazi hukuwaandalia elimu na mazingira bora watoto wako..Haya ndio majibu ya viongozi wetu na JK hana tofauti kabisa na mfano huo!
Hivyo unaweza jenga hoja mia moja kutetea nguvu inayotumika kuomba msaada lakini kinachozungumzwa hapa ni kwa nini baba usitafute kazi wakati uwezo unao?
 
Baada ya kusimama kwa muda wa takriban siku 75 kupisha kampeni za Rais Jakaya Kikwete na Chama Cha Mapinduzi, Blog ya Kurugenzi ya Mawasiliano Ikulu imeanza tena kurusha habari za Rais na Urais kutoka Ikulu.

Tembelea kurasa zetu http://mawasilianoikulu.blogspot.com/

kwa habari za Ikulu na za Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Jakaya Mrisho Kikwete.
 
wanatia aibu ..state house inakuwa na blogspot?? wat a shame lol!!
 
El Toro said:
Baada ya kusimama kwa muda wa takriban siku 75 kupisha kampeni za Rais Jakaya Kikwete na Chama Cha Mapinduzi, Blog ya Kurugenzi ya Mawasiliano Ikulu imeanza tena kurusha habari za Rais na Urais kutoka Ikulu.

Tembelea kurasa zetu Ikulu Mawasiliano

kwa habari za Ikulu na za Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Jakaya Mrisho Kikwete.
Your incompetence is the main reason JK and Ikulu seem useless. Hacheni kumpeleka vibaya walau amalize utawala wake kwa umakini. Mmefanya Ikulu kama kijiwe cha kuuza kahawa, kila mwenye porojo na kutafuta udaku anaweza kwenda akapiga story na ikiwezekana apate cheap earning! Give us a break, don’t make Ikulu that cheap.

Wakati teknolojia ilipokuwa chini Ikulu yetu ilikuwa na website, leo teknolojia ya mtandao imekua mpaka watu wanapata wavuti kupitia simu za kiganjani bado mnaonesha how incompetence you are!! Kama ninyi hamtamshauri Rais kuhusu teknolojia tutafika wapi?

Tutoleeni ujinga wenu hapa!
 
Baada ya kuandika http://www.statehouse.go.tz nimepata

Server not found

Firefox can't find the server at statehouse.go.tz.

* Check the address for typing errors such as
ww.example.com instead of
Example Web Page

* If you are unable to load any pages, check your computer's network
connection.

* If your computer or network is protected by a firewall or proxy, make sure
that Firefox is permitted to access the Web.
 
Lakini hii.... Jakaya Kikwete 2010 is

Jakayakikwete2010

This site is down for maintenance. Please check back again soon.

And check out the HOSTING INFO (WHOIS) for the domain! LOL

The 20 Million Dollar Questions, who the HELL is Steven Jutta?

Domain Name: JAKAYAKIKWETE2010.COM

Registrant:
D&G Invest
Steven Jutta ( )
N/A
Dar es Salaam
Dar-es-Salaam,N/A
TZ
Tel. +255.784263538

Creation Date: 06-May-2010
Expiration Date: 06-May-2011

Domain servers in listed order:
ns1.i-me.biz
ns2.i-me.biz

Administrative Contact:
D&G Invest
Steven Jutta ( )
N/A
Dar es Salaam
Dar-es-Salaam,N/A
TZ
Tel. +255.784263538

Technical Contact:
D&G Invest
Steven Jutta ( )
N/A
Dar es Salaam
Dar-es-Salaam,N/A
TZ
Tel. +255.784263538

Billing Contact:
D&G Invest
Steven Jutta ( )
N/A
Dar es Salaam
Dar-es-Salaam,N/A
TZ
Tel. +255.784263538

Status:LOCKED
 
Wanajimi kimsingi hizi website za serikari ni uchovu mtupu kwanza, no upgrade miezi sita kama hakuna watendaji na wanachofanya serikali yaani ni uzembe tuu
 
Back
Top Bottom