Nasema
JF-Expert Member
- Oct 29, 2010
- 556
- 345
Umemind likes lol, hazijawekwa na wadada tu bwana! Nami nimekutupia like! Nikuulize swali; unaoa ili ufuliwe, upigiwe pasi, upikiwe, utandikiwe kitanda, usafishiwe nyumba, etc? Nini hasa kinachokupa msukumo kuoa? What is it that is missing in your single life that you expenct to find in your marriage life?
Swali jingine, je unafikiri kutotandikiwa kitanda tu ni sababu tosha ya kuleta ugomvi ndani ya nyumba ...hadi kuita msuluhishi? Ikiwa mkeo anatoka home saa 12 asubuhi ukiwa hujaamka, anaenda kazini, hutatandika kitanda hata kama umeshinda nyumbani utamsubiri yeye arudi saa moja usiku ndipo atandike? Interesting!

Like nyingi zinawekwa na akina dada ku support POINTLESS kama hii hapa. Majukumu ya mwanamke halisi ni kumsaidia mumewe na si vinginevyo. Wanawake wenye hizo qualities ndo wanafaa kuwa wake za watu kinyume na hapo tunaingia kwenye gender issues.
Kama mwanamke anataka ndoa ambayo yeye hatataka kumsaidia mumewe kutandika kitanda au kumwekea maji ya kuoga halazimishwi kuwa mke wa mtu anaweza tu kujikalia singo akawa na full fledged FREEDOM. Malumbano ya nani kamwonea nani ndani ya ndoa huletwa na ninyi masista do amabo kutokana na kutotumia vema exposure zenu mnajikuta mnaenda extreme na hivyo kutaka kuchakachua maana ya ndoa. Ndoa ni ndoa na gender ni gender na huwezi ku mix mbili hizi bila kuleta migogoro mikubwa kwani ukitaka kkuwa safe au baki kwenye gender au kwenye ndoa ila si vyote kwa pamoja uta mess up.