cacico
JF-Expert Member
- Mar 27, 2012
- 8,362
- 7,812
huwa sipendi kabisa ku-buy story cjui risk, cjui madudu gani!! Ulishaamua kuoa/kuolewa! Period!!! No risk no rubbish, mambo mengine ni kujiendekeza na kujirahisi!! Nipo bosi wangu, ni mimi tu kukuletea habari za kuwakaribisha mahausgal kwa room, lol!nadhani hujasoma post zote toka mwanzo. Kuna mahali nimesema mke ni mlinzi wa mume wake na mume ni mlinzi wa mke wake. Kwa maana kwamba wote ni wadhaifu kwahiyo kila mmoja ana wajibu wa kumsaidia mwenzake kutokuwa exposed kwenye risk.
Tafdhali usikae pembeni kwakuwa mawazo yako ni muhimu sana katika mjadala huu. Wala usigune ndugu yangu sometimes we learn in hard ways.