We mwanamke inakuwaje unatandikiwa kitanda?

We mwanamke inakuwaje unatandikiwa kitanda?

Mkuu hii inaitwa hot fomentation,

Soma zaidi hapa, Hot Fomentation

Babu DC!!

ngoja niipitie ,halafu nitarudi kwenu tena.

Kama mnaishi maeneo yenye joto sana, nguo kama hizo hushambuliwa kirahisi na fungi endapo zinaanikwa sehemu zenye mwenga hafifu. Ila kama mwanga unatosha na hazikai muda mrefu kabla ya kukauka hakuna neno.

But...anaogopa nini kuanika nje endapo siyo kwenye nyumba ya kupanga yenye watu wengi?

Babu DC!!

hata sijawahi kumuhoji kuhusu hilo mkuu.

hapo kwenye fungus ni kuwa zinamletea new infection au ni infection ambazo zilikuwepo sasa zinachelewa kupona kwasababu ya poor management ya underwear au ni maambukizi yaliyokuwepo kwenye undewear ambao yanaweza yakafanya reinfection?
 
Real rubbish,kwa sababu wanabisha tu ili waonekane wanoangea,mtoa mada hajasema kwamba jamaa hataki kutandika kitanda,ila wif wake ahatandiki ina maana hata wife akiwa wa mwisho mshikaji ndo anakuja kutandika itanda ama housegirl,hv wanatuelewa vizuri,hatukataia kuwasaidia kazi ila hili wanavoongea tuu pasipo kuanagalia mada inasemaje..............du kweli hizi haki sawa kuna siku tutabebeshwa mimba

Ninavyojua mimi, fungi wengi wako hewani kama spores...hawa wanaweza kuota mahali popote penye unyevu unyevu na mwanga hafifu.

Kuanika nguo juani au kukausha kabisa kwa mashine ni njia inayosaidia kuzuia fungus wanaoweza kuota kwenye nguo.

Naomba ujaribu kuingia kwenye google kwa maelezo zaidi!!
 
Mkuu Luggy,

Mbona kwenye huu mjadala kuna baadhi ya wanaume tumebisha?

Suala ni kama ni sahihi kuwaruhusu wasaidizi wa ndani kufanya kazi huko bed room au la?

Hebu fuatilia maoni ya wadau kwanza..!!

Babu DC!!
 
Last edited by a moderator:
mtu mwenye akili zake hawezi kuunga mkono house girl kuwa na tabia ya kutandika kitanda cha mke na mume.
 
Ninavyojua mimi, fungi wengi wako hewani kama spores...hawa wanaweza kuota mahali popote penye unyevu unyevu na mwanga hafifu.

Kuanika nguo juani au kukausha kabisa kwa mashine ni njia inayosaidia kuzuia fungus wanaoweza kuota kwenye nguo.

Naomba ujaribu kuingia kwenye google kwa maelezo zaidi!!

mkuu nitapitia huko google halafu nitachanganya na knowledge niliyonayo nitarudi na elimu ya kutosha kuhusu hili.
 
We nae kumbe ni walewale, yn unapanic kabsa kisa mwenzio hajatandikiwa kitanda? Kwn we ukitandka hyo mikono itakatika? Af eti unapandisha kifua na kusema shame on u, cyo sawa kijana kama pesa tunatafuta wte kwann ktanda tusitandke wte? Em acha mambo ya kizamani mana naona tu na ww unataka kunipandsha jazba ucku ucku!

Sent from my BlackBerry 8520 using JamiiForums
kuhusu kutafuta ela, hata wanawake wa zamani walikuwa wanalima na kutafuta mali pamoja na waume zao lakini waliwaheshimu na kutekeleza wajibu wao
 
Wewe unaona ubwanyenye kuna wenzako wanafurahia na kama wewe unaona shida potezea kwani wako ambao wako tayari kuzifanya hizo kazi kama expression ya LOVE kwa waume zao na waume wana jinsi ya ku express LOVE kwa wake zao. Kwa sababu MMEKARIRI DEFINITION YA LOVE ndio maana unaona kumtandikia mumewo kitanda ni unyanyasaji.

Ndo maana hamjiulizi kwa nini ndoa nyingi za wanawake waliozaliwa kuanzia 1976 na kuendelea hazidumu. Badala ya couples kujadili jinsi ya kujenga familia na kujiletea maendeleo zinabaki kujadili NANI MWENYE HAKI KULIKO MWINGINE AU NANI AWE SUBMISSIVE NA NANI ASIWE. Why do nt we stick to the fundamental teachings za maneno ya Mungu badala ya kuleta mafundisho yasiyojenga ndoa? .

Usikurupuke na kutoa mapofu bure....kama ni expression ya love kwanini uishie kwenye ugomvi, kwanini huyo mume mpaka aite watu waje suluhisha ugomvi, kama mke hakufanya angefanya yeye, thats love to me na wala kusingekuwepo msaada wa housemaid kusafisha/kutandika chumba hicho. Please don't teach me about love, seems like at that age and still hujui kitu.

Maadili ya Mungu ninaemwamini mimi shughuli za nyumbani sina ulazima nao......akiweza aniwekee housemaid!
 
Sawa mwanaume ni mvivu, lakini haitajustfy kumuingiza hausigelo chumbani kwangu aisee. Ever since naanza kujitegemea, sijawahi tandikiwa kitanda na hgelo wala kufanyiwa usafi naye.
King'asti unaakili kweli, naomba nikuoe my dearest! Etieee?

Sent from my BlackBerry 8520 using JamiiForums
 
Last edited by a moderator:
hebu wanawake wenzangu tuwe wa kweli kwa hili, tuache uzungu na tuuvae uafrika halisi,MWANAUME NI MTOTO na anatakiwa kufanyiwa vitu vyote ambavyo unamfanyia mwanao hata kumlisha ikibidi,jaman kitanda unalalia na mumeo kwa nini beki tatu wako akitandike?uchafu wenu,ma uji yenu yaliyomwagika usiku unamwambia akatandike huo ni uonevu wa hali juu.mmekalia kusema wanaume wabaya wakati ubaya tunautafuta wenyewe!mlee, akulee mleane.akienda kwa aliyefundwa akafundika sio hizi kitchen paty za siku HIZI, naamanisha MKOLENI huyo kitanda hatandiki,boxer havui,analishwa na kuvishwa.huwezi shindana na mwanaume ki kazi za nyumbani utachekwa kwa anayejua nini maana mume na ndoa.
lo!ahsante ewe uliye jaaaaliwa na mola... Hebu waeleze wake z kiafrika waache deso,walopata walipoenda BEILJING CHINA-Matokeo n fakelove! Hao HG wajue UDHAIFU w bwana wa wenyewe hivyo atahakikisha ameziba pengo,n mwisho n mama kupewa likizo majuma mawili n hela tele!arudipo duuuuh!serikali imepinduliwa n HG. Ampatapo uwanjani ajibiwa si Baba boy alisema sasa wee n w reserve(huko shambani)??unge do??afrika ladies be care! Jiulizeni kwanini waume zenu wazidi kuvutiwa n small house??na badala mtafute mbinu ya kuwarudisha bado mnaawaachia m HG kazi zote,n mkiwa n mmeo usiku game unalia mpaka HG uachemka?hahahahahaha!halafu uombe kwenda kwaya!ilhali beki 3ahitaji mechi?mtajiju?
 
hahahahah typical african guys................to them a woman is always a slave............poor african lady lol
 
naona wote wanaosupport house girl kutandika kitanda hawajui maana ya ndoa! how do you alloow a house girl to entre your private areas? halafu unajidai eti na ww ni mwanamke unatafuta pesa! tatizo wanawake wa siku hizi akipata ka uwezo hata ka kuliopa kodi walau hata ya mwezi mmoja anafikiri na yy ni mwanaume! mmh sidhani kama kutandika kitanda ni jambo dogo au kupika lazima unapoolewa uhakikishe unamuandalia mumeo chakula kitamu na kizuri aone tofauti kati mama na mke! kama mnafikiri haya ni mambo madogo jaribuni uone kama ndoa yako itadumu! mwanamke unashindwa hata kumuandalia mumeo maji ya kuoga eti huo ni mfumo dume kweli elimikeni lakini msisahau mambo ya msingi huku sio ulaya ambako kuna mabafu lakini hata hivyo wazungu wenyewe wanaoga pamoja bafuni ss kama ww huwezi kumpelekea hata maji huyo mume je utaweza hata kumuogesha? wanawake wakiasasa bwana hata ukiugua siku mbili tu anakuona mzigo!
 
Kiukwel, utaratibu wa chumbani kwangu na wife, japo haujaandikwa ni kwamba wa mwisho kuamka kati yetu ndiye anayetandika kitanda.
Alafu tuna utani kuwa kila anayetandika, mwenzake akija anajitahidi kumkosoa kuwa hakutandika vizuri, anajifanya kutoa kasoro (jokes)
I just enjoy that?

Hii nimeipenda.

Mimi nyumbani kwangu. Kazi za nyumbani anafanya dada(H/girl), na mke wangu humsaidia panapobidi. Mfano, kufua anafua H/girl kasoro sox na nguo za ndani. Hizi ananifulia mke wangu kwani alisema nikifua mwenyewe eti zinafubaa...haya!

Kwa mwanaume unayependa mke wako aendelee kung'ara usipende afanye kila kitu. Inabidi apate muda wa kupumzika kwani yeye kazi yake kuu ni kuzaa, kulea familia na kuliwazana. Hili wanaume wengi hatulijui.

Ndio maana tunafanya kazi, kuongeza kupato ili miasha yaboreke.

Kuhusu mambo ya chumbani, kwa kweli hapa hakuna ku-delegate. Simsurutishi mke wangu lakini H/girl anaingia chumbani kwa kutumwa kitu fulani. Kutandika kitanda ni kazi ndogo na hii haimpi shida. Lakini wakati wa kulala, mathalani mimi nimechoka yeye labda bado anaendelea kuangalia TV mimi nitaenda na kurekebisha kitanda, nisipolipenda shuka kwa sababu zangu mwenyewe nitatoa na kuchukua jingine kabatini nashusha neti, nalala.

Wanaume wengine wanataka hata neti washushiwe. Kwa ulimwengu huu utaishi kwa stress! Hata hivyo, mwanamke hawezi kufanya kila kitu, wengine ni wafanyakazi kama wewe itakuwaje. Mwache afanye vichache kwa kadri anavyoweza.

Napinga tu suala la kutandika kitanda, lakini mengine anaweza kufanya dada wa kazi. Mimi kama uwezo ungekuwa unaruhusu ningeajili hata mlinzi wa kufungua geti siku nirudipo usiku sana ili mke wangu awe na kazi ya kufungua mlango wa nyumba tu, ila nashukuru mke wangu anaifanya wala hamtumi H/girl kunifungulia.
 
Real rubbish,kwa sababu wanabisha tu ili waonekane wanoangea,mtoa mada hajasema kwamba jamaa hataki kutandika kitanda,ila wif wake ahatandiki ina maana hata wife akiwa wa mwisho mshikaji ndo anakuja kutandika itanda ama housegirl,hv wanatuelewa vizuri,hatukataia kuwasaidia kazi ila hili wanavoongea tuu pasipo kuanagalia mada inasemaje..............du kweli hizi haki sawa kuna siku tutabebeshwa mimba

Bora hata umewafafanulia maana mimi nasikia kichefuchefu kutoa maelezo ya kina
 
Back
Top Bottom