We mwanamke inakuwaje unatandikiwa kitanda?

Mkuu wala sijatilt na hata hivyo simtishi cacico, kwanza mtu mwenyewe nasikia hatishiki. lol
Mkuu Darck city huo udhaifu wa wanaume unaweza kukupelekea kumgegeda beki tatu juu ya kitanda unacholala na mkeo, huoni hiyo aibu inavyokuwa? beki tatu anamchukuliaje mama watoto wako kama anaweza kulala pale pale anapolala yeye?

Nimekueleza kuwa house girl ni sawa na wanangu wengine....Kwa maana hiyo unaniuliza kama naweza kugegeda watoto wangu mwenyewe??

Naomba msaada haraka au apology Poti..lol!!

Babu DC!!
 
Sikiliza mwita Maranya na Indimi, hata kama umesoma kiasi gani, hata kama una pesa kiasi gani, sisi wanawake lazima tukubaliane na ukweli kuwa mwanaume ni mwanaume tu.
Malkia Elizabeth alisema kuwa hata kama yeye ni malkia mumewe akimtuma maji ya kunywa atamlete juu ya ukubwa wake na ufalme wake. alikuwa anamaanisha nn , kuwa ndoa ni ndoa na cheo ni cheo. na mumewe akiomba maji hamtumi malkia anamtuma mkewe na yeye atarepsond as well.

mm nimeona ndoa nyingi zinavunjika kwa kukosa uelewa, nasema tena wanawake wenzangu hata uweje , Heshimu ndoa yako , muheshimu Mumeo no Matter what!!!

Na nyinyi waume zetu tuheshimuni, na tukikosema usifoke , niite nieleze kwa upole nitakuelewa. ( kumbuka ukumwambia mkeo neno lenye ukweli kwa upole na mapenzi huwa hatusahau kamwe na huwa inatuuma sana na kujutia kwamba kwa nn nimefanya hivi.)
 
Babu Hotel ni hotel,kwan hotelini kuna documents zako?zikiwepo si kwenye bag lako na sio makabati?pia hotel kuna may b nyaraka zako za siri,pay slip nk?
Nyumbani kwako,chumbani kwako kunapatikana vyote hivo,including makufuli yenu wote,so babu wewe unaona sawa house girl aje atizame makufuli yako?au tuseme house boy aje atizame chupi za bibi?bedroom kwako ndio the only place pa kujidai,na sio kila mtu kupita kama vile ni uchochoro!strictly my bed room will remain closed to all parties except me n my wife,and our kids bt with controlled movement!

Hivi kumbe miongoni mwa vitu mnavyotaka kuficha ni chupi??

Mbona huko sokoni wanazitandaza chini??

Mie kwangu tunaanika chupi zote nje...wazazi wana sehemu yao, watoto wa kiume na wasichana pia zao....

Kwani chupi ni big deal kiasi hicho?? Na hizi zinazooneshwa nje nje mitaani kama mbao zao matangazo je?

Halafu, nyaraka za siri haziwezi kuwekwa mahali salama kama kwenye kabati ikafungwa??

I still don't buy this package..lol!!

Babu DC!!
 
Hapa sasa kazi inaanza,

But... kwa kweli nashindwa kuwaelewa watu wengi...at least nimemwelewa Nyamayao (ni jukumu lake), Mwita Maranya (analinda mila na pia anaogopa sudden attack za beki tatu..lol), King'asti (aethetic reasons), snowhite (mila za kwao) na baadhi ya wadau wengine...

Ila kusema kweli bado mie nawachukulia wasaidizi wa ndani kama wanangu...tunakula pamoja, tunapiga story pamoja na kwa hiyo tunasaidiana kazi zote!!

Hapo mie na bibi tunakosea wapi bandugu??

Babu DC!!

hiyo haimaanishi kuwa tunawachukulia tofauti, tunawachukulia hivyo vivyo unavyowachukulia wewe, eg ni mie nyamayao,wakati wa urafiki wangu na msukuma nilimkuta na h'boy, mpaka naolewa tunaanza maisha mengine tupo nae, akaenda kwao kuoa akarudi kuendelea na kazi, mwaka jana mwanzoni alituomba amvute mke waje wakae nae coz ana mpango wa kubadili kazi na mkewe ndio atufanyie kazi za ndani, ilikubalika na tupo tunaishi nao, kaka kwa sasa anafanya biashara zake, sijawahi kubadili mfanyakazi wa ndani mie kuanzia nimeolewa, ninawapenda/waheshimu/wajali/wafurahia/waamini sana sana, still ni "jukumu" langu.
 
I TOUGHT UPO TOFAUTI!! UMENIPA MAWAZO!! WHY SHOULD ANY MARRIED MAN BE WEAK?? KWA HIYO NYINYI KUWA DHAIFU NI SAWA?? ILA KWA MWANAMKE NI CRIME?? HUU UBEPARI KUMBE UPO KWENYE VEINS ZENU! basi sina mengi ya kuongea ngoja nikae kimya! NAJUA WANGU YUPO WEAK, but NOT TO THIS EXTENT!!! MMMMHHHHHH!!

Nadhani hujasoma post zote toka mwanzo. Kuna mahali nimesema mke ni mlinzi wa mume wake na mume ni mlinzi wa mke wake. Kwa maana kwamba wote ni wadhaifu kwahiyo kila mmoja ana wajibu wa kumsaidia mwenzake kutokuwa exposed kwenye risk.
Tafdhali usikae pembeni kwakuwa mawazo yako ni muhimu sana katika mjadala huu. Wala usigune ndugu yangu sometimes we learn in hard ways.
 
Sikiliza mwita Maranya na Indimi, hata kama umesoma kiasi gani, hata kama una pesa kiasi gani, sisi wanawake lazima tukubaliane na ukweli kuwa mwanaume ni mwanaume tu.
Malkia Elizabeth alisema kuwa hata kama yeye ni malkia mumewe akimtuma maji ya kunywa atamlete juu ya ukubwa wake na ufalme wake. alikuwa anamaanisha nn , kuwa ndoa ni ndoa na cheo ni cheo. na mumewe akiomba maji hamtumi malkia anamtuma mkewe na yeye atarepsond as well.

mm nimeona ndoa nyingi zinavunjika kwa kukosa uelewa, nasema tena wanawake wenzangu hata uweje , Heshimu ndoa yako , muheshimu Mumeo no Matter what!!!

Na nyinyi waume zetu tuheshimuni, na tukikosema usifoke , niite nieleze kwa upole nitakuelewa. ( kumbuka ukumwambia mkeo neno lenye ukweli kwa upole na mapenzi huwa hatusahau kamwe na huwa inatuuma sana na kujutia kwamba kwa nn nimefanya hivi.)

Kuna tofauti kubwa kati ya kuheshimu na kuabudu...,,..,,,.
 
Sa hapo ndio mjadala ulipo. Una define heshima kivipi? Wanaowasaidia wake zao hawaheshimiwi? Wanaowafanyisha kazi za vyumbani ma hg wao hawaheshimu waume zao?

Sikiliza mwita Maranya na Indimi, hata kama umesoma kiasi gani, hata kama una pesa kiasi gani, sisi wanawake lazima tukubaliane na ukweli kuwa mwanaume ni mwanaume tu.
Malkia Elizabeth alisema kuwa hata kama yeye ni malkia mumewe akimtuma maji ya kunywa atamlete juu ya ukubwa wake na ufalme wake. alikuwa anamaanisha nn , kuwa ndoa ni ndoa na cheo ni cheo. na mumewe akiomba maji hamtumi malkia anamtuma mkewe na yeye atarepsond as well.

mm nimeona ndoa nyingi zinavunjika kwa kukosa uelewa, nasema tena wanawake wenzangu hata uweje , Heshimu ndoa yako , muheshimu Mumeo no Matter what!!!

Na nyinyi waume zetu tuheshimuni, na tukikosema usifoke , niite nieleze kwa upole nitakuelewa. ( kumbuka ukumwambia mkeo neno lenye ukweli kwa upole na mapenzi huwa hatusahau kamwe na huwa inatuuma sana na kujutia kwamba kwa nn nimefanya hivi.)
 
Mkuu wala sijatilt na hata hivyo simtishi cacico, kwanza mtu mwenyewe nasikia hatishiki. lol
Mkuu Darck city huo udhaifu wa wanaume unaweza kukupelekea kumgegeda beki tatu juu ya kitanda unacholala na mkeo, huoni hiyo aibu inavyokuwa? beki tatu anamchukuliaje mama watoto wako kama anaweza kulala pale pale anapolala yeye?

mkuu mwita hapo kwenye kumgegeda beki tatu hapana kwakweli ,hiyo itakuwa ni kujivunjia heshima ,kujidhalilisha ,kumvunjia heshima wife na kumdhalilisha pia wife.

na ukiona mtu anamgegeda hg ,basi ujue siyo kwasababu hg anamfanyia kazi zote au anaingia chumbani kwao ....huyo ni mshenzi wa tabia tu.
 
Hivi kumbe miongoni mwa vitu mnavyotaka kuficha ni chupi??

Mbona huko sokoni wanazitandaza chini??

Mie kwangu tunaanika chupi zote nje...wazazi wana sehemu yao, watoto wa kiume na wasichana pia zao....

Kwani chupi ni big deal kiasi hicho?? Na hizi zinazooneshwa nje nje mitaani kama mbao zao matangazo je?

Halafu, nyaraka za siri haziwezi kuwekwa mahali salama kama kwenye kabati ikafungwa??

I still don't buy this package..lol!!

Babu DC!!
MIMI PIA HUANIKA NJE, ILA NAFUNIKIA JUU KANGA YANGU NYEPESIIII AU MTANDIO!! na hata wakiingia kufanya usafi hawazioni, zipo bathroom kwangu, na usafi wa bathroom nafanya mwenyewe hiyo nilishindwa kumuachia hausgal! ila mausafi mengineeeeee ya chumbani lazma wafanye!
 
Hivi kumbe miongoni mwa vitu mnavyotaka kuficha ni chupi??

Mbona huko sokoni wanazitandaza chini??

Mie kwangu tunaanika chupi zote nje...wazazi wana sehemu yao, watoto wa kiume na wasichana pia zao....

Kwani chupi ni big deal kiasi hicho?? Na hizi zinazooneshwa nje nje mitaani kama mbao zao matangazo je?

Halafu, nyaraka za siri haziwezi kuwekwa mahali salama kama kwenye kabati ikafungwa??

I still don't buy this package..lol!!

Babu DC!!

hahahahah nimecheka kwa nguvu zote, uwiiii, nilikuambia kila mtu atakuja na lake hapa, hahaha machupi yamezagaa kila kona mjini but si unaona kwa wengine ni ishu? yaani nimecheka hadi machozi, khaaa ngoja nipitie kupata moja mie kuondoa uchovu, haki ya nani watu wana mambo.
 
Nimekueleza kuwa house girl ni sawa na wanangu wengine....Kwa maana hiyo unaniuliza kama naweza kugegeda watoto wangu mwenyewe??

Naomba msaada haraka au apology Poti..lol!!

Babu DC!!

Hahahaha sasa poti wale wazee na vijana wanaowagegeda mabeki tatu huwaoni ama hujawahi hata kuwasikia? Najua wewe hapo hotelini kwako kuko shwari, je na kwa hoteli ya jirani yako ambako beki tatu si sawa na mtoto wa nyumbani hupafikirii?
 
Sa hapo ndio mjadala ulipo. Una define heshima kivipi? Wanaowasaidia wake zao hawaheshimiwi? Wanaowafanyisha kazi za vyumbani ma hg wao hawaheshimu waume zao?
tena nyumba kubwa hawa wenzetu wanaojifanya mila na desturi zimewajaa vichwani ukute ndio wa kwanza kugawa VUNGU ZAO KA PANADOL!! jamani pamoja na kuwazuia mahausgal wasipite hata karibu na coridor za chumbani kwenu, NA MAPAPA YENU YAWEKENI BASI KUFULI!! msigawe njeeeee jamani hilo ndilo kubwa kuliko yote! ITS BETTER HUYO DADA AKAINGIA LAKINI UNA UHAKIKA MWILI WAKO NI WA MUMEO/ MKEO TU! KULIKO HAUSGAL NO, LAKINI UKITOKA TU MTAANI UNAO, OFISINI UMEWAPANGA, NA WE MAMA MWENZANGU PAPA UNALIGAWAAAAA BILA HIYANA!! JAMANI, JAMANI........! TUHURUMIWE KWA KWELI!
 
Last edited by a moderator:
Kuanika c.hupi kwenye kamba kunasaidia kuwa na chupi za maana; sa cha aibu kitu gani asojua kuwa unavaa c.hupi nani? Mi naanika uzuri, na wanazijua c.hupi zangu wala haanui mtu anajua hii ya mama au hii ya baba. Ila nakiri kuwa wakati mwingine zinasombwa by mistake zikikauka na kupelekwa chumba cha watoto...ila wala sioni kama ni big deal si imeshafuliwa....si nguo kama nguo nyingine.
 
hahahahah nimecheka kwa nguvu zote, uwiiii, nilikuambia kila mtu atakuja na lake hapa, hahaha machupi yamezagaa kila kona mjini but si unaona kwa wengine ni ishu? yaani nimecheka hadi machozi, khaaa ngoja nipitie kupata moja mie kuondoa uchovu, haki ya nani watu wana mambo.

Hapo sasa Nyamayao,

ndiyo ujue kuwa hii dunia ni uwanja wa fujo......

Yunaficha chupi wakati ni nguo kama zingine....tena mie ningeshauri sana watu wafiche socks kuliko chupi....

Anyway....huu mjadala ulikuwa mtamu sana...

Kapate bia yako dada...

Babu DC!!
 
Last edited by a moderator:
Aseeeee
Duuuuh!!

Mi ngoja nisome tu hapa ili siku nikioa nijue cha kusimamia.
Tehetehe
 
Sa hapo ndio mjadala ulipo. Una define heshima kivipi? Wanaowasaidia wake zao hawaheshimiwi? Wanaowafanyisha kazi za vyumbani ma hg wao hawaheshimu waume zao?

Hapana NYumba kubwa, ninamaana kuwa wote tuheshimiane ila, tuheshimu ndoa zetu , kwa sababu uwepo wa ndoa ni uvumilivu wa mwanamke, hata kama mumeo yukoje. na hata kama mumeo anakusaidia kazi basi pale anapopenda wewe mkewe uwajibike kwa ajili yake fuata hilo. (na si kusujudia mume.) Asujudiwae ni MUNGU pekee.
 
umeshasema hausgal humtaki!! Hebu nijuze mbadala....., labda nitahamasika!

Kwakuwa chumbani kwetu beki tatu haruhusiwi kuingia, mke wangu akiwa katika hali ambayo hawezi kufanya usafi wa chumba nafanya mimi mwenyewe. Na ukweli wa mambo ni kwamba ni kawaida ya mke wangu kufanya usafi wa chumba chetu na hata siku moja hajawahi kulalamikia hilo.
 
Back
Top Bottom