oldd vampire
JF-Expert Member
- Jun 3, 2011
- 253
- 52
hahahahh wanawake wengine bwana yaani bila aibu mnakubaliana na swala la kutandikiwa kitanda na housegal,dah sijawahi kuona,she will do all domestic works but not that concerns my room where i sleep with my hubby never on earth siwezi yani,mambo mengne ni kujiendekeza yaani afue nguo,apike na kitanda pia?hapana aisee huu ni ujinga na uvivu uliopindukia muwe na aibu bwana ndo tatizo la kuoa wanawake waliosoma ila hawajitambui