Hujui historia dunia ....cjui unaropoka kutoka wapi yana unanipa hasira.....
Great kingdom comes from Africa... before colonialism and B.C
KAMA Huwawezi n ww na akili yako ndogo ya kuchambua Mambo!!
Egypt ilikua ni kitovu Cha cilivilization kaangalie America Kuna misingi ya nchi wameijenga kupitia kuigilizia utawala wa Misri
Mansa mussa ndo alikua mtawala tajiri dunian na dola yenye nguvu....
Colonialism imeenda Zaid ya miaka 1000 wakiua viwanda vyetu,kukata mikono masanaa wetu,kutuaminisha ss cyo Bora na ci chochote....miaka Zaid ya elfu 1000 c mchezo aisee....Hadi Leo we unafikira hizo ni matokeo hayo hayo ya white supremace,media influence na mental shaping ya mtu mweupe.....
So sikushangai
Ethiopia haiwez kuchomoka pekee ake wakati nchi za waazungu zinaungana kutunyonya na kutugandamiza!!....ndo maana na ulaya cyo nchi moja tajiri n ukanda!!
Zimbabwe : kinachotokea Zimbabwe ni kutokua na umoja Wass waafrika...tumevurugwa KILA Kona kwa kigezo Cha democrasia,....hatujiulizi UK inamfumo wake haujawai badilishwa!!
Wametufanya tugombane na tuchukiane tusiweze kuja kama kitu kimoja chini ya divide and rule....
Zimbabwe wangeitenga wazungu halafu nchi 54 za Africa ziipe ushirikiano unafikiri ingeteseka...Kwan wao n mungu !?
Lakin wameitenga nassi tumeitenga
Tofaut Sana na North Korea wazungu wameishit lakini bado inachochola kisa nchi kama China,South Korea ,zinaipa support...
Sasa ukisema hivo kama wazungu hatuwawezi wachina leo nawao wangesema hivo miaka ya 1940 leo wangekua wapili.....mkuu usiwafundishe watoto wako hivo ni hatar Sana !!....sorry kama kunasehemu nilikutukana