Unapozungumzia MTU mweupe unanielewa lakini? Wewe wasimamishwe watu, kati ya mchina ,muhindi, mzungu na MTU mweusi.Huyu jamaa sijui nae katoka wapi! Kama wewe unaona wamekuumba, usituaminishe na sisi. Wachina, wakorea miaka ya 70 walikuwa na kauli kama hizo, sasa hivi hata wazungu wanawaogopa! Sasa unavyoanza kufananisha herufi kwamba inafanana na Mungu, mi naona hauko sawa kichwani!
Mkuu mzungu amefungua njia,sisi kupita kufika alipo na kupitiliza haitahitaji nguvu nyingi.Kipindi hiko wao watakuwa wanwasubiri tu?wenzanu wanaenda mwezini,miaka hiyo yote watakuwa wamehama sayari hii
Mzungu na zungu ni watu wawili tofauti.... anywaykwenda21,
Na ili ujue na uthibitishe kuwa hatutowaweza nakuomba niondolee Herufi Z katika hili Neno Mzungu kisha niambie linabaki neno gani hapo Ndugu.
Swali bovu sana....Hivi nani aliwapa ilo jina la wazungu? Na nani alisema europe kwa kiswahili ni ulaya
#mindset