kwenda21
JF-Expert Member
- Mar 11, 2014
- 3,423
- 3,416
- Thread starter
- #61
Kwa hiyo we msomiiiii,hahaha dunia hiiiChukua tuition/twishen....
Sent from my TECNO LA6 using JamiiForums mobile app
Kwa hiyo we msomiiiii,hahaha dunia hiiiChukua tuition/twishen....
Hunijui pambana na hali yako.
Chochote unachojua Wewe hata uchawi, wenzako ndege zao tunaziona zinaruka juu, nyie huku nyungo zenu story tu, si mziweke watu wapige kazi, mwana acha ujeuri hatuwawezi
Chochote unachojua Wewe hata uchawi, wenzako ndege zao tunaziona zinaruka juu, nyie huku nyungo zenu story tu, si mziweke watu wapige kazi, mwana acha ujeuri hatuwawezi
Wanaweza baadhi,ndo maana kuna utabiri Wa hali hewa,mwana we kubali tu kiroho safi acha chuki lazima ukubali kimaarifa wametuzidi, ona simu unayotumia, ona magari, bila wao ungetembea na mguu toka mbeya hadi Dar.
Wazanzibar wangeogelea mpaka dar,magorofa makubwa mgepandisha tofali kwa mkono,moto tungekuwa tunapikicha uwimbombo na ulindi mpaka Leo,umeme hakuna,technology ya kuongezewa damu,maji,mambo ni mengi sana
Hujui historia dunia ....cjui unaropoka kutoka wapi yana unanipa hasira.....Huu ndiyo ukweli ndugu zangu, Wazungu kamwe hatowaweza kwa lolote, wametuacha mbali sana, kwenye kila kitu. Wakitaka lolote katika nchi za Africa linakuwa, (kama waliweza Uarabuni) ukiwaletea jeuri sana wana mbinu zote za kukudhoofisha.
Kawaulize Zimbabwe, sijui wametoka sayari gani hawa watu, MTU unaweza kubisha tu kwa ujeuri ila wametuzidi; usiseme kwa kuwa walitutawala ingekuwa hivyo Ethiopia ingekuwa mbali nayo, maana haikuwahi kutawaliwa kamwe.
Hilo n kiswahili kingereza n white pple hapo Kuna God wap...achen kumdhihak mungu nyie ukosefu wenu maalifakwenda21,
Na ili ujue na uthibitishe kuwa hatutowaweza nakuomba niondolee Herufi Z katika hili Neno Mzungu kisha niambie linabaki neno gani hapo Ndugu.
Mkuu kama unamfundisha mwanao hivi poleChochote unachojua Wewe hata uchawi, wenzako ndege zao tunaziona zinaruka juu, nyie huku nyungo zenu story tu, si mziweke watu wapige kazi, mwana acha ujeuri hatuwawezi
Wakikwambia ufanye wanachofanya utaweza....we uko hapa wenzio wahawalaliiiNdiyo ni watu kweli kabisa,ila hatuwawezi wazungu ni watu kweli,tatizo kuna watu hawataki kukubali uwezo walionao
Alokwambia vitu vyote vimegunduliwa na wazungu n nani....au hujui humo Kuna watu weusi,wachina,wahindi waarabu au Hawa wote we unaita wazunguWanaweza baadhi,ndo maana kuna utabiri Wa hali hewa,mwana we kubali tu kiroho safi acha chuki lazima ukubali kimaarifa wametuzidi, ona simu unayotumia, ona magari, bila wao ungetembea na mguu toka mbeya hadi Dar.
Wazanzibar wangeogelea mpaka dar,magorofa makubwa mgepandisha tofali kwa mkono,moto tungekuwa tunapikicha uwimbombo na ulindi mpaka Leo,umeme hakuna,technology ya kuongezewa damu,maji,mambo ni mengi sana
Huu ndiyo ukweli ndugu zangu, Wazungu kamwe hatowaweza kwa lolote, wametuacha mbali sana, kwenye kila kitu. Wakitaka lolote katika nchi za Africa linakuwa, (kama waliweza Uarabuni) ukiwaletea jeuri sana wana mbinu zote za kukudhoofisha.
Kawaulize Zimbabwe, sijui wametoka sayari gani hawa watu, MTU unaweza kubisha tu kwa ujeuri ila wametuzidi; usiseme kwa kuwa walitutawala ingekuwa hivyo Ethiopia ingekuwa mbali nayo, maana haikuwahi kutawaliwa kamwe.
kwenda21,
Na ili ujue na uthibitishe kuwa hatutowaweza nakuomba niondolee Herufi Z katika hili Neno Mzungu kisha niambie linabaki neno gani hapo Ndugu.
Hilo n kiswahili kingereza n white pple hapo Kuna God wap...achen kumdhihak mungu nyie ukosefu wenu maalifa
Hapana kwasababu wewe unadhan kujua kiswahili ndo akili wakati mi naamini akili ni uwezo wa kupambanua Mambo!!! .....we unajua lugha yangu ya Kwanza n nn?? Au unaropoka tu....Sasa kama Kuandika kwenyewe tu kwa Kiswahili Fasaha huwezi na unaandika Maalifa badala ya Maarifa uwezo wa Kujenga Hoja nami unao kweli?
kokolikoooo!!
Amkenii amkeniii
Kuna twishen nataka nimlipie @ mzukulu #mzukuluTatizo kubwa ni ujinga wa mwafrika ndio maana hatupigi hatua . Angalieni nchi za south East Asia zilikuepo ni nchi masikini na miaka ya 60s nyuma tulikuwa nao Sawa Ila sasa ni nchi zilizopiga hatua angalieni Singapore, Thailand , Indonesia, Vietnam, china . Vietnam Marekani kapigana nao Kwa miaka 19 Marekani alisarender vita akiwa kashaisambaratisha na kuivunja vunja Vietnam Ila leo Vietnam ni nchi inayopiga hatua za hatari kiuchumi Kwa kuwa na viwanda vingi. Africa kuna shida