Kabla ya sasa kuwazungumzia wazungu huko nyuma kuna mambo mengi yaliyofanywa na kugunduliwa na jamii zengine.Wanaweza baadhi,ndo maana kuna utabiri Wa hali hewa,mwana we kubali tu kiroho safi acha chuki lazima ukubali kimaarifa wametuzidi,ona simu unayotumia,ona magari,bila wao ungetembea na mguu toka mbeya hadi dar,Wazanzibar wangeogelea mpaka dar,magorofa makubwa mgepandisha tofali kwa mkono,moto tungekuwa tunapikicha uwimbombo na ulindi mpaka Leo,umeme hakuna,technology ya kuongezewa damu,maji,mambo ni mengi sana
Hiyo kuona takataka kwa maana ipi? ubaguzi au nini?Mi huwa ni mbishi ila kwa hili sikuzote huwa sibishi
Class ziko hiv
#Muhindi anamuona mtu mweus takataka
#mwarabu anamuona muhindi takataka
#mchina na jamii zake anamuona mwarabu takataka
#na mzungu anawaona woote hao wa juu takataka
Corona kubwa,mafua tu huwa ni kiboko yao.Kiboko yao ni corona
Hawajatuzidi kwa sababu wao ni wazungu ila hakuna anayekataa kuwa wamepiga sana hatua katika maendeleo.Ila ninachozumgumzia hapa ni uwezo Wa maarifa waliotuzidi,huo ndo ukweli,sisi tumewazidi heshima tu
Umbumbu kivipi,kwanini usikubali tu?Wewe darasani hakuna ambao walikupita kiakili?au kwenye kukimbia hakuna wanaokuzidi mbio?au bei ya corona inalingana na range rover? Kama unaona tofauti hapo na unakubali,basi na kwingine ni hivyohivyo mkuuu,Tatzo ni kwamba kichwani mwako tu tayar unatawaliwa kwa fikra.
Acha umbumbumbu wewe
Ngoja tumalize kujifukiza kwanza hapo ndipo watatujua sisi ni nani, kudadadeki.Huu ndiyo ukweli ndugu zangu, wazungu kamwe hatowaweza kwa lolote, wametuacha mbali sana, kwenye kila kitu. Wakitaka lolote katika nchi za Africa linakuwa, (kama waliweza Uarabuni) ukiwaletea jeuri sana wana mbinu zote za kukudhoofisha.
Kawaulize Zimbabwe, sijui wametoka sayari gani hawa watu, MTU unaweza kubisha tu kwa ujeuri ila wametuzidi; usiseme kwa kuwa walitutawala ingekuwa hivyo Ethiopia ingekuwa mbali nayo, maana haikuwahi kutawaliwa kamwe.
Kweli mkuu.. Tukipunguza kuchochana tutafika mbali sana, waafrika tumewekeza sana kwenye ngonoMkuu ni kweli wazungu ni viumbe waliopiga hatua,ila usiwatukuze kiasi hicho.
Haya mawazo yako nilikuwa nayo enzi zile nikiamini ndani ya redio kuna watu wanaishi,ndio wanaoongea.but baada ya kuja kugundua wenzetu ni wazuri katika kufocus na kitu kimoja,ndio maana wakaja na matokeo tunayoyaona leo.ni mazingira zaidi ya 100 tumedhihirisha kwamba watu weusi ni race yenye nguvu na akili kubwa kuwazidi,isipokuwa hatujaamua kuacha upuuzi.
Umeishawahi fikiria fundi garage anayerekebisha kifaa ambacho hata hajui kimegunduliwaje!!!tena kwa nyenzo ambazo hazimsaidii katika hilo??kinapona na kuendelea na kazi.
Miaka 100 ijayo nina uhakika,tutakuwa tumeishaudhihirishia ulimwengu sisi ni akina nani.





Sawa Mkuu,tofauti ni kwamba,wengine wote wanaikubali hali hiyo,waafrika hatukubali na nisababu mmoja wapo ya kuchukiwa na wote,tunafundisha na wengine hatu ukubali upuuzi huoMi huwa ni mbishi ila kwa hili sikuzote huwa sibishi
Class ziko hiv
#Muhindi anamuona mtu mweus takataka
#mwarabu anamuona muhindi takataka
#mchina na jamii zake anamuona mwarabu takataka
#na mzungu anawaona woote hao wa juu takataka
Chukua tuition/twishen....Mwandiko wako tu haueleweki