Naomba wazo la biashara ya 4M Arusha

Fungua ka min-garage

Utahusika na mambo yafuatayo.

1. Kubadili matairi
2.kuziba pancha kwa viraka au fluid
3. Kubadili oil magari na pikipiki.
4.utauza oil chafu
5.utauza tairi chakavu.
6.utauza speak ndogo za piki piki kwa kuanzia.
7. Utauza oil safi za kupima na zile special.
8. Utajaza upepo(Ina Hela kinoma) utanunua zile tank sidhani zinazidi 1.5m

Unaweza ukaanza rekebisha piki piki mdogo mdogo au ukatafuta fundi upande huo akawa anakula maokoto wakati na wewe unapata ujuzi.

Hii biashara Ina Hela sana ukipata wateja wakakuelewa na jina utapiga pesa daily sidhani kama utakosa hata 30k kwa siku.

Naongea hivi sababu Kuna dogo ndio biashara yake analisha familia mbili kwao.

Na anaifanya 24/7 anashift kabisa sometimes anaenda usiku mchana Kuna mtu kamuajiri au sometimes anaenda asubuhi.

Kikubwa ni consistency.

Kwa huo mtaji unakutosha kabisa
 
Asante boss hujabakiza kitu
 
Habari wakuu?
Nimekwama naomba mnisaidie wazo la biashara angalau nisikose 20000 kwa siku..

Mtaji ni milioni 4 isizidi 5

Naomba pia maelekezo ya sehemu gani Arusha hiyo biashara itafaa zaidi.

Nikifanikiwa wazo zuri sitakuacha mikono mitupu.

Asante
Mabegi ya shule na ya mgongoni kwa bei ya jumla na rejareja
Begi ya shule ya elfu kumi kwa mfano jumla utauza 13 jumla
Begi hiyohiyo utauza elfu 20 rejareja .. Kwa siku hukosi kuuza begi 10 kwa kiwango cha chini
Begi ya laptop/mgongoni kwa Mfano jumla 18,000 rejareja 30,000 unauza bila wasiwasi
Na kwa Arusha uhitaji ni mkubwa na huhitaji fremu yenye uwekezaji mkubwa
20240113_165259.jpg
20240113_165315_HDR.jpg
20240118_160826.jpg

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom