TANZIA Waziri William Lukuvi (na Mbunge wa Isimani) afariki Dunia

TANZIA Waziri William Lukuvi (na Mbunge wa Isimani) afariki Dunia

Bila shaka huyu ni mtu aliyeacha mali nyingi sana nyuma yake, Ameacha connections za kutosha kwa familia yake na Amefariki na miaka 70.

Ni Watanzania wachache sana wanapata bahati kama hii.

20260325_221809.jpg
 
Sijatimba kipindi kirefu sana Palm Village ,next month nina Appointment na Millard Ayo nitacheck kama bado lipo.

Noma sana Anaconda kwasasa zipo za kukinga yaani gari zikishaanza kushobokewa price inapungua ipo siku zitafika hadi 20m ni swala la muda tu ,si umeona Range Sports ilikuwa 200m ila sasa Lukosi anauza 30m.

Hawa viongozi kwa nje wanakuwa wakimya ila wana mambo mengi sana ya hovyo ,wewe si uliona Mkuu wa mkoa kanda ya ziwa alikuwa anamla NDOGO binti tu mdogo 18 -20 ,wengi wameungua.
Ni kweli wengi ni chovya chovya na mabint wanavyojilengesha kwao
Makusudi

Ova
 
Back
Top Bottom