Huyu mzee amekula bata za nchi hii kwa muda mrefu sana. Mungu ailaze mahali pema peponi roho yake.
Rais Samia, amesikitika kutangaza kifo cha William Vangimembe Lukuvi (Mb.), aliyekuwa Waziri wa Nchi, Ofisi ya Waziri Mkuu (Sera, Bunge, Uratibu na Wenye Ulemavu) pamoja na Mbunge wa Jimbo la Isimani.
Kwa mujibu wa taarifa rasmi, Lukuvi amefariki dunia leo tarehe 25 Machi, 2026, majira ya saa moja asubuhi katika Hospitali ya Benjamin Mkapa, jijini Dodoma, alipokuwa akipatiwa matibabu kufuatia ugonjwa wa mshtuko wa moyo.
Rais Samia ametoa salamu za pole kwa Spika wa Bunge, familia ya marehemu, wananchi wa Jimbo la Isimani, ndugu, jamaa na marafiki, pamoja na Watanzania wote kwa ujumla kufuatia msiba huo.
View attachment 3562430
Historia ya William Lukuvi
William Vangimembe Lukuvi ni mmoja wa wanasiasa mashuhuri wa Tanzania ambaye amekuwa na mchango mkubwa katika masuala ya ardhi, maendeleo ya makazi, na siasa za kitaifa. Akiwa Mbunge wa Jimbo la Ismani kwa zaidi ya miaka 30 tangu mwaka 1995 mpaka kufariki mwaka 2026, Lukuvi ameshikilia nyadhifa mbalimbali za uwaziri.
Maisha ya Awali na Elimu
William Lukuvi alizaliwa tarehe 15 Agosti 1955 katika kijiji cha Mapogoro, Wilaya ya Iringa Vijijini, Tanganyika. Alipata mafunzo yake ya awali katika Tabora Teachers College (TTC) na baadaye kuhitimu Shahada ya Uzamili katika Sayansi ya Siasa kutoka Chuo Huria cha Tanzania.
Safari ya Kisiasa
Lukuvi alianza safari yake ya kisiasa kwa kuchaguliwa kuwa Mbunge wa Jimbo la Ismani mnamo mwaka 1995 kupitia Chama Cha Mapinduzi (CCM), nafasi ambayo ameendelea kushikilia hadi amefariki Dunia March 25, 2026.
Aidha, amehudumu kama Waziri katika nyadhifa mbalimbali, ikiwa ni pamoja na Waziri wa Ardhi, Nyumba na Maendeleo ya Makazi, Waziri Ofisi ya Waziri Mkuu (Sera na Bunge.
Mnamo Juni 2023, Rais Samia Suluhu Hassan alimteua kuwa Mshauri wa Rais kuhusu Mahusiano ya Kisiasa na Kijamii na baada ya Uchaguzi Mkuu wa mwaka 2025 Rais Samia alimteua William Lukuvi kuwa Waziri wa Nchi, Ofisi ya Waziri Mkuu (Sera, Bunge, Uratibu na Wenye Ulemavu) nafasi ambayo ameishikilia mpaka kufariki kwakwe.
Zaidi, Soma=> CV ya William Lukuvi
Unajua ukijiuliza hata uadui wa Nchimbi na mazeri hupati sababu ila ukiconnect dots unagundua kuwa huenda Nchimbi wakati akiwa balozi automatically walikuwa na mawasaliano na mabolozi wenzake akiwemo HP sasa naamini kulikuwa na mambo mazito wanayapanga kwa pamoja so baada ya kukamatwa HP huenda Kuna mambo mengi sana yamegunduliwa na watakufa sana mbaya zaidi hawa watu ni kama hawana hata tahadhari maana vipigo kwa upande wao ni vingi mno.Una akili sana wewe, umeconnect dots vizuri, nawaona wale wote waliokua na mawasiliano na HP wanapata kitu na box. Na huko HP alikofichwa anawataja wote. rip
Gen Z mliouawa hoyeeee!Kama namuona vile Mheshimiwa Festo Kiswaga jinsi "anavyolia kwa uchungu" huko aliko baada tu ya kupokea taarifa hii ya msiba.
Hiki kifo kimenipa utata sana hasa niliposikia na ile hotuba waziri wa sanaa kuna maswali mengi ya kujiuliza
Rais Samia, amesikitika kutangaza kifo cha William Vangimembe Lukuvi (Mb.), aliyekuwa Waziri wa Nchi, Ofisi ya Waziri Mkuu (Sera, Bunge, Uratibu na Wenye Ulemavu) pamoja na Mbunge wa Jimbo la Isimani.
Kwa mujibu wa taarifa rasmi, Lukuvi amefariki dunia leo tarehe 25 Machi, 2026, majira ya saa moja asubuhi katika Hospitali ya Benjamin Mkapa, jijini Dodoma, alipokuwa akipatiwa matibabu kufuatia ugonjwa wa mshtuko wa moyo.
Rais Samia ametoa salamu za pole kwa Spika wa Bunge, familia ya marehemu, wananchi wa Jimbo la Isimani, ndugu, jamaa na marafiki, pamoja na Watanzania wote kwa ujumla kufuatia msiba huo.
View attachment 3562430
Historia ya William Lukuvi
William Vangimembe Lukuvi ni mmoja wa wanasiasa mashuhuri wa Tanzania ambaye amekuwa na mchango mkubwa katika masuala ya ardhi, maendeleo ya makazi, na siasa za kitaifa. Akiwa Mbunge wa Jimbo la Ismani kwa zaidi ya miaka 30 tangu mwaka 1995 mpaka kufariki mwaka 2026, Lukuvi ameshikilia nyadhifa mbalimbali za uwaziri.
Maisha ya Awali na Elimu
William Lukuvi alizaliwa tarehe 15 Agosti 1955 katika kijiji cha Mapogoro, Wilaya ya Iringa Vijijini, Tanganyika. Alipata mafunzo yake ya awali katika Tabora Teachers College (TTC) na baadaye kuhitimu Shahada ya Uzamili katika Sayansi ya Siasa kutoka Chuo Huria cha Tanzania.
Safari ya Kisiasa
Lukuvi alianza safari yake ya kisiasa kwa kuchaguliwa kuwa Mbunge wa Jimbo la Ismani mnamo mwaka 1995 kupitia Chama Cha Mapinduzi (CCM), nafasi ambayo ameendelea kushikilia hadi amefariki Dunia March 25, 2026.
Aidha, amehudumu kama Waziri katika nyadhifa mbalimbali, ikiwa ni pamoja na Waziri wa Ardhi, Nyumba na Maendeleo ya Makazi, Waziri Ofisi ya Waziri Mkuu (Sera na Bunge.
Mnamo Juni 2023, Rais Samia Suluhu Hassan alimteua kuwa Mshauri wa Rais kuhusu Mahusiano ya Kisiasa na Kijamii na baada ya Uchaguzi Mkuu wa mwaka 2025 Rais Samia alimteua William Lukuvi kuwa Waziri wa Nchi, Ofisi ya Waziri Mkuu (Sera, Bunge, Uratibu na Wenye Ulemavu) nafasi ambayo ameishikilia mpaka kufariki kwakwe.
Zaidi, Soma=> CV ya William Lukuvi
Tungoje akifa maza tuone kama utayasema haya. Kweli mwenye mapenzi haoni ingawa macho anayo!Kifo ni kifo tuu, msituletee taharuki!
Neno langu si sheria mkuu, huko alipoenda kama kuna ufahamu sidhani kama tunayoyatamka yana impact.Kwa amani gani mkuu ?
Akapumzike anapostahili kutokana na matendo yake hapa duniani
Makubwa kweli, Pamoja na kujimilikisha viwanja kama utitiri kwenye miji yote mikubwa.Amefanya makubwa sana kwenye Wizara ya Ardhi,Maendeleo ya Nyumba na Makazi. Pumuzika kwa Amani Shujaa.
Hivi mke wake bado ana duka la furniture pale palm village mikocheni
Nakumbuka wakati harrier sahv mnaziita anaconda mama alivuta ile rangi nyeupe brand new,kipindi hicho bei aliyoivuta alinambia dah ilikuwa above 100m eti sahv kila mtu hko ana miliki
Kuhusu kva megawat kwani yule mzee alikuwa na mambo mengi mbona alikuwa mkimya mgwasu
Mkuu
Ova