Pole pole mzima yupoBado una amini yupo Hai?
Walisema wata clean team Mwendazake ndio wanachokifanya kama vile wao wataishi milele sema ipo siku.Una akili sana wewe, umeconnect dots vizuri, nawaona wale wote waliokua na mawasiliano na HP wanapata kitu na box. Na huko HP alikofichwa anawataja wote. rip
Ni wapumbavu sisi kila siku hapa tunamdai Polepole wao wako kimya bado Majaliwa MkuchikaUna akili sana wewe, umeconnect dots vizuri, nawaona wale wote waliokua na mawasiliano na HP wanapata kitu na box. Na huko HP alikofichwa anawataja wote. rip
Hatari Sana ,Ni Kazeze ,Ni Kazeze ,Ni kazeze ,132 KVA ni hatari ,wakati wa kujilinda sasa uktakoma utaenya na kithaa thaa.Gridi ya taifa haibagui Rais, waziri, mbunge na raia wa kawaida. Hata ukipanua wigo mpana kwa kutafuna njugu itakuondoa tu na presha.
King Kong III Erythrocyte
Sawa wanaweza kuclean kwa sasa, lakini wajue tu watu wanapona maumivu ya 29 October, lakini ipo siku moto utawaka na hakuna atakaeweza kuuzima tena. Hawa Gen Z sio sawa na kizazi cha mwaka 47 kilicho madarakani.Walisema wata clean team Mwendazake ndio wanachokifanya kama vile wao wataishi milele sema ipo siku.
Hivi mke wake bado ana duka la furniture pale palm village mikocheniHatari Sana ,Ni Kazeze ,Ni Kazeze ,Ni kazeze ,132 KVA ni hatari ,wakati wa kujilinda sasa uktakoma utaenya na kithaa thaa.
Wewe wasema, kila nafsi itaonja maiti. Hata wewe kwangu mimi ni kaffir tu nakuona takataka kabisa.
Na bado,mtakufa wote hadi mtajuta safari hiiAnaetakiwa kufa tuchinje, ndie anaetangaza vifo vya wenzake!
Kweli dunia, haina huruma.
Anaeshughulikiwa ni mwingine, miguno unatoa wewe!Na bado,mtakufa wote hadi mtajuta safari hii
Kama unasubiri yeye afe utasubiri sana
Anaeshughulikiwa ni mwingine, miguno unatoa wewe!
Watu wa karibu na Nchimbi wanazidi kupukutika.
Mimi huwa siamini sana maneno ya mitandaoni ila wakati mwingine ukiona 1+1 =2 unaanza kujiuliza maswali