Mswada huo unaounda bodi ya mawakili na kuua sheria ya chama cha mawakili, ni mswada muhimu sana. Utaleta nidhamu ya uwakili ktk nchi hii.Maana kwa sasa fani ya uwakili imetekwa na kuvamiwa na wanasiasa, na kuondoa lengo msingi la fani hii.
OMBI:Mheshimiwa waziri/AG aulete mswada huo bungeni Novemba ikibi kwa hati ya dharula. Standing orders za bunge za mwaka 2016 zinaruhusu utaratibu huo. We want clean air in the legal profession.