Waziri wa sheria na katiba harakisha mswada wa bodi ya mawakili haraka sana Bungeni

moma2k

JF-Expert Member
Dec 12, 2010
1,060
1,324
Mswada huo unaounda bodi ya mawakili na kuua sheria ya chama cha mawakili, ni mswada muhimu sana. Utaleta nidhamu ya uwakili ktk nchi hii.Maana kwa sasa fani ya uwakili imetekwa na kuvamiwa na wanasiasa, na kuondoa lengo msingi la fani hii.

OMBI:Mheshimiwa waziri/AG aulete mswada huo bungeni Novemba ikibi kwa hati ya dharula. Standing orders za bunge za mwaka 2016 zinaruhusu utaratibu huo. We want clean air in the legal profession.
 
Mswada huo unaounda bodi ya mawakili na kuua sheria ya chama cha mawakili, ni mswada muhimu sana. Utaleta nidhamu ya uwakili ktk nchi hii.Maana kwa sasa fani ya uwakili imetekwa na wanasiasa, na kuondoa lemgo msingi la fani hii.

Mmelewa madaraka na udikteta tendeni haki
 
Huijui tasnia ya sheria wewe! Acheni kuingiza siasa zenu kwenye profession za watu.
 
Wee acha zako. Mimi ni mwanasheria tena kwa level ya PhD. Kajifiche kwenye zizi la panya na ka LLB kako uchwara.
 
Mswada huo unaounda bodi ya mawakili na kuua sheria ya chama cha mawakili, ni mswada muhimu sana. Utaleta nidhamu ya uwakili ktk nchi hii.Maana kwa sasa fani ya uwakili imetekwa na wanasiasa, na kuondoa lemgo msingi la fani hii.
OMBI:Mheshimiwa waziri/AG aulete mswada huo bungeni Novemba ikibi kwa hati ya dharula. Standing orders za bunge za mwaka 2016 zinaruhusu utaratibu huo. We want clean air in the legal profession.

hebu tuambie hilo lengo la msingi la uwakili ni lipi
 
Mswada huo unaounda bodi ya mawakili na kuua sheria ya chama cha mawakili, ni mswada muhimu sana. Utaleta nidhamu ya uwakili ktk nchi hii.Maana kwa sasa fani ya uwakili imetekwa na wanasiasa, na kuondoa lemgo msingi la fani hii.
OMBI:Mheshimiwa waziri/AG aulete mswada huo bungeni Novemba ikibi kwa hati ya dharula. Standing orders za bunge za mwaka 2016 zinaruhusu utaratibu huo. We want clean air in the legal profession.
Mh !

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Mkuu naona umeumia sana baada ya kuona TLS inajitegemea, sali na kuomba sana miungu iliyopo ili ufanikishe wazo lako kwa sababu huyo waziri unaemuomba siyo mwanasiasa

Sent using Jamii Forums mobile app
wenzako tumepikwa Law School of Tz na akina prof.Majamba(legal drafting),Edward Chuwa (commercial), Taisamo(probate,civil) nk. Na tukatoboa. Wewe je? Lione.
 
.

Wewe unajisifia umesoma sheria? ndio tatizo lenu watoto wa law school.
Ok, umesema umepikwa Law School, poa tuanze na hiyo Leagal Drafting ya Prof Majamba. Niambie hizi statement mbili maarufu katika legal drafting zilitolewa na nani, wapi na mazingira yapi
  1. There is, first, document A, and a Judge formed an opinion as to its construction. Then came document B, and some other Judge has said that it differs very little from document A – not sufficiently to alter the construction – therefore he construes it in the same way. Then comes document C, and the Judge there compares it with document B, and says it differs very little, and therefore he shall construe it in the same way. And so the construction has gone on until we find a document which is in totally different terms from the first, and which no human being would think of construing in the same manner, but which has by this process come to be construed in the same manner.
  2. Courts do not regard themselves as controlled by the meaning given to words in earlier cases. This is because no two cases are ever exactly the same. Judicial examination of a word’s meaning in an earlier case is useful only to the extent that it provides an analogy to prompt the approach to be taken in a later case.
 
5 Reactions
Reply
Back
Top Bottom