dronedrake
JF-Expert Member
- Dec 25, 2013
- 23,220
- 54,866
'ukiambiwa na wewe jiambie' 'akili kumkichwa'
lipia 27k ufungiwe mwakani
lipia 27k ufungiwe mwakani
Tutaelewana tu kidogokidogo,Mdogo mdogo tutaelewana tu wacha tuoneshane makali
Ndugu mpendwa Mteja wetuKuna Kila dalili kuwa kuna mgomo tanesco kuhusiana na kufungiwa umeme maeneo ya mjini Kwa Tsh 27,000.
Kila ukienda tanesco popote nchini wanakupatia fomu Bure kazi inaanzia wapi.
1. Hakuna surveyor
2. Ukifanyiwa surveyor hawakupstii control number ya kulipia
3. Ulifanikiwa kulipia unaambiwa hakuna meta za Umeme.
4. Hakuna nguzo
5. Hakuna waya
6. Ukiwabana sana wanasema wanafunga stock ya mwisho wa mwaka hivyo stoo zote zimefungwa Hadi September 2021.
7. Ili kuondoka Kero ofisi za tanesco wateja ambao walishapimiwa umeme wamenyimwa kulipia.
Kwa maelezo haya, waziri ataje au atoe orodha ya waliofanikiwa kulipia Tsh 27,000 na waliopo mijini na kufanikiwa kupata umeme wilaya Kwa wilaya,mkoa Kwa mkoa. Kuna mgomo baridi.
Ndugu watanzania, tanesco kuna matatizo tunaomba vyombo vya habari,ulinzi na usalama viingilie Kati . Hali sio
Nilijua utaibuka na maswali haya.Ndugu mpendwa Mteja wetu
Tafadhali tusaidia taarifa kamili ili tuweze kufanyia kazi taarifa zako
Jina
Eneo
Wilaya
Namba ya simu
Tatizo
Toka lini
Ahsante sana
TANESCO Huduma kwa Wateja, JM
Lalamiko lolote linaenda na taarifa muhimu hivyo kama kweli umekwama popote tupatie taarifa tuzifanyie kazi mara mojaNilijua utaibuka na maswali haya.
Tutumie taarifa hata kwa email
We naye si utafute walioingiziwa umeme baada ya tangazo ni wangapi..!! Ulinganishe na kabla ya hilo tangazo utaonaLalamiko lolote linaenda na taarifa muhimu hivyo kama kweli umekwama popote tupatie taarifa tuzifanyie kazi mara moja
Unahitaji takwimu? Zipo taratibu za kifata ili kupata takwimu halali kwenye taasisi lakini kama una tatizo tupatie taarifa kamili tulifanyie kaziWe naye si utafute walioingiziwa umeme baada ya tangazo ni wangapi..!! Ulinganishe na kabla ya hilo tangazo utaona
Unahitaji takwimu? Zipo taratibu za kifata ili kupata takwimu halali kwenye taasisi lakini kama una tatizo tupatie taarifa kamili tulifanyie kazi
Dah mkuu umenifanya nimkumbuke Dr. Shika na ikanijia imagination ya ile sauti yake akipokuwa kwenye mnada wa nyumbaMdogo mdogo tutaelewana tu wacha tuoneshane makali
Hata huko mwakani hakuna kitu kama hicho'ukiambiwa na wewe jiambie' 'akili kumkichwa'
lipia 27k ufungiwe mwakani
Huo muda unaoutumia hapa kwa nini usiutumie kwenda kuwaelimisha wafanyakazi wenzako waongeze ufanisi na kuacha urasimuNdugu mpendwa Mteja wetu
Tafadhali tusaidia taarifa kamili ili tuweze kufanyia kazi taarifa zako
Jina
Eneo
Wilaya
Namba ya simu
Tatizo
Toka lini
Ahsante sana
TANESCO Huduma kwa Wateja, JM
900 itapendezaMdogo mdogo tutaelewana tu wacha tuoneshane makali
€Ndugu mpendwa Mteja wetu
Tafadhali tusaidia taarifa kamili ili tuweze kufanyia kazi taarifa zako
Jina
Eneo
Wilaya
Namba ya simu
Tatizo
Toka lini
Ahsante sana
TANESCO Huduma kwa Wateja, JM
WEWE TANESCO ACHA UPUMBAVU..NCHI ZIMA VIJIJINI TULIOLIPIA ELF 27 HATUPEWI UMEME LABDA UMPE LAKI MOJA MENEJA WA WILAYA.NASEMA HAYA NIKIWA MUASILIKA MMOJA WAPO KUTOKA KIJIJI CHA NYAKAKARANGO..KATA YA NYAMIREMBE WILAYA YA CHATO MKOANI GEITA
Tunashukuru sana kwa taarifa elekezi hii wataalamu wetu wameipokea kwa uchungu,i zaidi€
WEWE TANESCO ACHA UPUMBAVU..NCHI ZIMA VIJIJINI TULIOLIPIA ELF 27 HATUPEWI UMEME LABDA UMPE LAKI MOJA MENEJA WA WILAYA.NASEMA HAYA NIKIWA MUASILIKA MMOJA WAPO KUTOKA KIJIJI CHA NYAKAKARANGO..KATA YA NYAMIREMBE WILAYA YA CHATO MKOANI GEITA
Hizi chunguzi haziishagi? Watu wamelipia tokea November hawajafungiwa lakini wa April mwaka huu wamefungiwaTunashukuru sana kwa taarifa elekezi hii wataalamu wetu wameipokea kwa uchungu,i zaidi
€