Waziri wa nishati aitangaze orodha ya Watanzania ambao Hadi Sasa wameshalipia Tsh 27,000 za kufungiwa umeme Mjini. Tanesco kuna mgomo baridi

Glenn

JF-Expert Member
May 22, 2018
11,922
2,000
Hiri li nchi silielewi mkuu. Why awaruhusu upinzani/wawekezaji waingie kama mitandao ya simu!! Aise wangeruhusu upinzani wangefanya lamaana munoo.Tanesco ni jipu

TANESCO
Hawawezi kuruhusu hilo, TanesCo ni shamba la bibi kila mjukuu huchuma atakavyo
 
Wyatt Mathewson

JF-Expert Member
Dec 22, 2017
11,914
2,000
Kuna Kila dalili kuwa kuna mgomo tanesco kuhusiana na kufungiwa umeme maeneo ya mjini Kwa Tsh 27,000.
Kila ukienda tanesco popote nchini wanakupatia fomu Bure kazi inaanzia wapi.
1. Hakuna surveyor
2. Ukifanyiwa surveyor hawakupstii control number ya kulipia
3. Ulifanikiwa kulipia unaambiwa hakuna meta za Umeme.
4. Hakuna nguzo
5. Hakuna waya
6. Ukiwabana sana wanasema wanafunga stock ya mwisho wa mwaka hivyo stoo zote zimefungwa Hadi September 2021.
7. Ili kuondoka Kero ofisi za tanesco wateja ambao walishapimiwa umeme wamenyimwa kulipia.
Kwa maelezo haya, waziri ataje au atoe orodha ya waliofanikiwa kulipia Tsh 27,000 na waliopo mijini na kufanikiwa kupata umeme wilaya Kwa wilaya,mkoa Kwa mkoa. Kuna mgomo baridi.
Ndugu watanzania, tanesco kuna matatizo tunaomba vyombo vya habari,ulinzi na usalama viingilie Kati . Hali sio
Tanzanians sometimes make me sick

Yaani nchi nzima wanaona ni haki mwanasiasa awalishe hadi na umeme wa bure,hela zitoke wapi kuwapa umeme wa 27,000/=?

Yaani umeme wa 10USD?

Serikali hizo hela inazitoa wapi kwa mfano?No such money

Serikali haina hela maana haijui kujenga mali ikauza ikapata hizo hela

Hakuna umeme wa 10 USD nchi yeyote,cha ajabu wananchi wanamuamini mwanasiasa akiongea huo upumbavu ili apate kura za wizi then after that reality strikes in

Sio mgomo ni reality,Tanesco can not deliver infrastructure of 10 USD kila nyumba,mathematically it is not possible anywhere

Mwanasiasa anaongea upumbavu,yeye mwenyewe hana hata mia,na serikali can not get money from the thin air,mwananchi anaamini

Wealth fare state hii,kila mtu anaamini anatakiwa atunzwe na government kama mtoto mdogo,anaemini hili ni kichaa

Yaani watu ambao ni wananchi wajinga wanaona waunde government agency ku solve human imperfections wakati the same government agencies zinaongozwa na wanadamu hao hao imperfect kama wao

That lunacy at its finest level!
 
peno hasegawa

JF-Expert Member
Feb 24, 2016
3,930

Umeme unatakiwa ufungwe Bure Kwa Wananchi 100% . Kwani baada ya kufungiwa utawalipa umeme the rest of your life.
Pili umeme unazalishwa Kwa maji sehemu kubwa, maji ni free sio uranium.
 
Wyatt Mathewson

JF-Expert Member
Dec 22, 2017
11,914
2,000
Umeme unatakiwa ufungwe Bure Kwa Wananchi 100% . Kwani baada ya kufungiwa utawalipa umeme the rest of your life.
Umeme ufungwe bure kwa sababu gani?

Unaweza tuwekea hesabu hapa ku-prove umeme ufungwe bure kivipi yaani?

Kama unataka umeme bure,jee kwa hoja hiyo hiyo utataka shule bure?

Kwa hoja hiyo hiyo utataka matibabu bure?Kwa hoja hiyo hiyo utataka ulishwe na kuvalishwa bure,etc?

Wewe unaishije hapa duniani unajijengea haki za kupewa vitu bure wakati ni wajibu wako kujinunulia hivyo vitu unavyovitaka?

Unafungiwa infrastructure ya nguzo na waya kutoka mtera mpaka kwako kwa shilingi 3Bilion,wewe maiti utanunua umeme wa 5000 kwa siku kwa karne ngapi kurudisha hizo 3Bilioni?

Pale wananchi wanaposhindwa kujihudumia wao,wanachagua mwanadamu mmojawapo among themselves eti huyo mwanadamu awapatie matunzo bure sijui kwa kutoa wapi hela kufanya yote hayo?

Popote penye socialism na communism kuna authoritarianism
Pili umeme unazalishwa Kwa maji sehemu kubwa, maji ni free sio uranium.
Maji ni free,umeme unajifua free?

Una malaria ndugu?

Inawezekana umeme wa aina zingine kuzijenga ni ghali kuliko umeme wa maji,ila hausemi eti umeme wa maji unajijenga bure

Umeme wa maji una gharama zake,kama wewe unataka umeme wa bure,huu umeme wa maji wenye gharama zake nani anazilipa?

Hela za kugharamikia huo umeme wa maji zinatoka wapi?
 
three phase

Member
Mar 31, 2021
46
125
nimehonga 25,000,, surveyor akakuja,,,,nikampiga Kvant ndogo.....akaomba 10,000,kakamilisha mchoro na control number.....nimelipia.....akaomba 15,000 anifungie fasta.....siku wanaafunga nikawapa 20,000= jumla ni kama 100,000 pamoja na mawasiliano,,,
runshwa ngumu sana Tanzania...ngumu mno........
Imeisha iyo umeupiga mwingi sana
 
ostaaz

Senior Member
Jun 27, 2021
110
225
Unahitaji takwimu? Zipo taratibu za kifata ili kupata takwimu halali kwenye taasisi lakini kama una tatizo tupatie taarifa kamili tulifanyie kazi
Wenye matatizo tuko wengi.
Mimi pia, ila sitoi namba ng'o.
Fanyieni marekebisho huduma zenu.
Siyo unakuja kutuchora tuu hapa.

Sent from my TECNO B1p using JamiiForums mobile app
 
Joseph lebai

JF-Expert Member
Jul 19, 2017
6,023
2,000
Kuna mtu aliyelipa 27000, siku ya kufungiwa umeme walimwambia mteja awape pesa ili wamfungie, mteja alikataa mpaka sasa hajafungiwa. Ni jirani yangu, nifanyeje kumsaidia?
 
Commercial

Member
Jul 26, 2021
7
45
Ifike kipindi serikali pamoja na shirika la umeme nchini TANESCO iuweke wazi mfumo wa malipo juu ya usambazaji wa mradi wa umeme vijijini(REA) kwani gharama zina tofautiana sana kutoka kwa mkazi mmoja na mwingine.
 
Commercial

Member
Jul 26, 2021
7
45
Naomba kuuliza kwanini shirika hili(TANESCO)halibinafsishwi kama ilivo kwa makampuni ya simu nchini? Huenda tungeweza kununua 'unit' 100 za umeme kwa shilingi 1000/=.
 
Dumas the terrible

JF-Expert Member
Jan 20, 2021
1,373
2,000
Naomba kuuliza kwanini shirika hili(TANESCO)halibinafsishwi kama ilivo kwa makampuni ya simu nchini? Huenda tungeweza kununua 'unit' 100 za umeme kwa shilingi 1000/=.
labda Hawa makaburu weusi CCM wafe ndio tutapata Viongozi wenye maono hapo Kuna upigaji wa wakubwa hawawezi kuruhusu upinzani TANESCO itakufa kifo Cha Mende
Chaliiiiiiiiiiiiiiii!
 
mrangi

JF-Expert Member
Feb 19, 2014
57,201
2,000
Warudishe tu gharama ya kuingiza umeme iwe kama zamani!
Hii ya 27,000/ naona tanesco wanachemka

Ova
 
mnengene

JF-Expert Member
Nov 21, 2011
2,529
2,000
Hizo ndio faida na hasara za 27,000/= mpimaji akija kupima ana kuambia hapa pana hitaji nguzo hivyo huwezi kulipia hadi tufikishe nguzo karibu na wewe lini mpaka wapate bajeti yani mimi nijenge nyumba nishindwe kupata umeme Kisa bei 27,000 kwani hizo bei zao za zamani tulishindwa kulipia?kikubwa waseme mimi kama mteja niko tayari kulipia nguzo niruhusiwe

Kuna sehemu watu wanaomba kuongeza meter ( mita separation) ambayo haihitaji mita .
Wote hao hamna aliyekwisha kuunganishiwa
 
mo pal mo

Member
Jul 3, 2020
40
95
Kuna Kila dalili kuwa kuna mgomo tanesco kuhusiana na kufungiwa umeme maeneo ya mjini Kwa Tsh 27,000.
Kila ukienda tanesco popote nchini wanakupatia fomu Bure kazi inaanzia wapi.
1. Hakuna surveyor
2. Ukifanyiwa surveyor hawakupstii control number ya kulipia
3. Ulifanikiwa kulipia unaambiwa hakuna meta za Umeme.
4. Hakuna nguzo
5. Hakuna waya
6. Ukiwabana sana wanasema wanafunga stock ya mwisho wa mwaka hivyo stoo zote zimefungwa Hadi September 2021.
7. Ili kuondoka Kero ofisi za tanesco wateja ambao walishapimiwa umeme wamenyimwa kulipia.
Kwa maelezo haya, waziri ataje au atoe orodha ya waliofanikiwa kulipia Tsh 27,000 na waliopo mijini na kufanikiwa kupata umeme wilaya Kwa wilaya,mkoa Kwa mkoa. Kuna mgomo baridi.
Ndugu watanzania, tanesco kuna matatizo tunaomba vyombo vya habari,ulinzi na usalama viingilie Kati . Hali sio
Umeongea ukweli mtupu Tanesco wanazingua
 
MKONGORO

JF-Expert Member
Jun 15, 2014
290
250

Mimi nimelipia hiyo Elfu 27.000/- tangu mwezi wa 6 surveyor amekuja lakini ngoma imekuwa nzito kuniletea nguzo na kunifungia umeme Cha ajabu jirani amelipia nyuma yangu tayari ameletewa nguzo na tayari umeme kwake unawaka. Sitaki kusema kuwa kuna mambo ya rushwa kwa sababu sina ushahidi ila hii Wale walio karibu na waziri wamfikishie taarifa kuwa Agizo lake limedharauliwa.
 
Pamoja na yote hayo Tanesco mkuranga kuna urasimu sujawahi kuona watu wame omba umeme na wamesha lipia mpaka leo hawajaunganishiwa umeme mh waziri njoo office ya Tanesco mkuranga ujio ee madudu yaliyopo, na sijui hio kodi ya mjengo utakusanyaje
 
Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

Top Bottom