Waziri wa Katiba na Sheria Mwigulu Nchemba awajibu TLS kuhusu Rais Samia Suluhu kuteua Baraza jipya la Mawaziri

Akili yako Haina Akili
 
Rais ni taasisi akifa na baraza la mawaziri linakufa automatically!

Hili hata Prof wa sheria Palamagamba analielewa vizuri.
Hapo mwisho "...leo amevaa barakoa!!" Ina maana ile taasisi aliyoitii sasa haipo kwa hiyo ame...
Misimamo ile aliyokuwa nayo sijui ataiendeleza au anarudi "majalalani!?"
Tutamkumbuka JPM R.I.P
 
Kwa nyongeza "MAMA AKAE CHONJO SANA NA YALE MAJAMBAZI "WAZALENDO MASLAHI" WANAOTUMIA MGONGO WA CHAMA KUJINUFAISHA HUKU WAKIMSIFU NA KUMTUKUZA BADALA YA KUMSAIDIA NJIA SAHIHI
 
Yaani wapinzani kulalamika ni jadi yao! Mnadhani kuna kupumua hapa? Magu spirit will prevail
Tena zaidi...tusubiri tuone...Magu aliweka standards za utendaji, Sasa atakayekwenda kinyume yatamtokea..
 
Angekuwa yeye angeendelea na watu ambao hajawateua?
Ajuwi madhara kiutawala kufanya hivyo?
Uku ni kukurupukaaaa
 
Huyu jamaa ndio alipata first class UDSM? Kweli msiba "mkubwa" ndio uvunje katiba?
 
Kiwewe hawana utulivu kabisa. Dereva amekufa. Tingo amekuwa dereva,abiria wamekuwa matingo. Abiria wanamuelekeza dereva ambae kiuhalisia ni tingo.
 
Miluzi imeshaanza tayari Mama wa watu wakimtafutia upenyo wa mgogoro, majitu yenye tamaa za madaraka hayaishi kufanya uchonganishi
 
Acha kihele hele we mtesi wa ndugu zetu, vip kama rais atafata ushauri wa TLS?? utaficha wapi aibu yako?? Lakini mijitu kama wewe haina kabisa mishipa ya aibu!! Juzi umeaibika!! lakini hujakoma tu!!
Acheni kujipendekeza, et mama
.Mwendo ni uleule na mfunge na kuomba sana VP aisiwe kichaa BASHIRU.
 
Maono ya Magufuli hayafi! Yanatimizwa kwa kasi kubwa kupitia Mama Samia! Baraza la mawaziri ndio hilo sasa lipo! Mmeula wa chuya!
Naona wanajipendekeza tu, et oooh "Mama yetu
".Ili Samia ayamalizie haya yaliyoanzishwa na mtangulizi wake, inatakiwa aingie na gia nzito.Hili Taifa limekuwa na wajuaji wengi sana, na akisema awasikilize hatafanya chochote.Leo wanakuja na hili kesho lile, azibe masikio kazi iendelee maana hawezi pendwa na wote.

Na kwenye u'VP asiweke mtu wa kuchekacheka, atembee na BASHIRU,uone kelele zao sasa
.
 
Kati ya watu ambao hawatarudi kwenye nafasi zao za mawaziri Mwigulu ni mmoja wapo
Msiwe na matazamio makubwa sana, hiki ndo huwa kinawafanya mjae hasira mwisho wa mambo. Kwamba wewe tayari unajua kabisa mipango ya SAMIA au ndo mnajaza upepo
, et moja Kati ya watu ambao hawatakuwepo kwenye Baraza,haya tutajie atakaeziba pengo lake.
 

..tangu lini kusitiri mwili kukawa muhimu kuliko KATIBA?

..you can do both, unafuata Katiba, na unasitiri mwili.
 
Wakati huo huo wewe hata mlo wa siku hauna uhakika nao
Tunataka mpunguze nyuzi na comment za kulia maisha magumu Sasa, au lasivyo mtafute chaka jingine la kuuficha uvivu wenu, maana aliewazuia kuwa matajiri ndani ya hii miaka sita hayupo tena.
 
Ni kweli nimekuwa nataka nimuambie mama Samia avae sura ya kazi, asicheke na nyani ili kuepuka kuvuna mabua! Lazima awe 'tough' ili mambo yaende! Watakuja kiukanda, kidini, na nk! Akiwachekea tu twafwa!
 
Naunga mkono hoja.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…