Happy Feet, C'on man, utaacha nianze kukuita Sad Feet!!!
Mkuu utakacho niita akita affect miguu yangu kucheza navyoweza happy feet will remain the same.
Tunachojadili hapa ni Elimu ya huyu mama na kama hiyo Elimu aliyonayo inampa sifa za kukalia kiti cha Waziri wa Fedha,full stop! Inakuwaje wewe uulize kama elimu yake ina husiana na nafasi aliyopewa? Jibu hapa ni straigh forward kwamba lazima elimu yake ihusiane na nafasi aliyopewa.
Kasoma biashara na uchumi halafu alikuwa kwenye kitengo cha fedha kwenye serikali ya zanzibar, kwa hivyo kuna experience na elimu ya kiaina, ingawa sioni ulazima wake.
Nchi hii inatumia fedha nyingi sana kwenye gharama za kuendesha(running costs),kutengeneza(maintenance) na kuhudumia(services) magari aina ya mashangingi!!!Tembelea nchi kama Japan,Marekani,UK,Ujerumani n.k. utashanga kukuta kwamba Mawaziri wa nchi hizo wanatumia magari ya kawaida tu katika shughuli zao za kila siku! Hawatumii mashangingi,never!!!
Nimewahi kuishi UK angalia kuna train ngapi zinatoka central london kwa saa kukata mitaa ya viongozi wao wanapoishi, urahisi wakufikia majimbo yao na magari wanayotumia, kuna njia ngapi za motor na qaulity zake kutembelea magari hayo, durability inayotokana na ubora wa miundombinu iliyopo.
Halafu sijui nchi nyingine lakini mawaziri wa UK wanatembelea ma-jaguar mpya au range rover mpya ambazo unaweza ona za kawaida lakini zina vikorombwezo kibao za matairi kuweza kutembea kilometa kazaa hata yakipewa pancha ya risasi, vio bullet proof, dereva wa serikali ambae (ni jasusi) analipwa full time. Bado waziri/mmbunge ana claim allowance anapotumia public transport, ana claim allowances kwa waajiri wake jimboni, ana lipwa allowance nyumba anayoka mjini london, kama hana nyumba analipiwa allowance ya hoteli usifannye mchezo na anasa za wabunge na mawaziri wa uingereza on top of that ana mshara wa £60,000+ na ushee kwa mwaka, ambao ni wake yeye maana wakiamua hata bill ya TV na simu wana claim.
Tulitarajia kwamba katika Watanzania milioni 45 Rais wako Kiwete angeliteua Mtanzania aliyebobea kwenye Fani ya Uchumi kwa ngazi ya Uzamivu yaani PhD na awe na uzoefu wa miaka 10 au zaidi katika fani hiyo ya Uchumi toka Idara nyingine yoyote hapa Tanzania au nje na awe amewahi kupata award yoyote kwenye fani hiyo.
Huko ni sawa na kuomba experience ya the late 'steve jobs' kwenye kampuni ya kichina inayotengeneza tablets kwa soko lao la ndani aimed at lower end of the market, labda ungafafanua changamoto zetu halisi kubwa na kipato chetu, uweke hata priority zako za uchumi hili wachangiaji kupima, watumiaji wakoje, gharama za mawazo yako zikoje, social benefits kutoakana na sera zako, takwimu, muda wa mafanikio, complexity of those social policy kwa sasa, halafu kweli tuone kama tunahitaji huyo candidate wako.
Tanzania najua tuna Madaktari(PhD holders) na Maprofessors walioko Chuo Kikuu wanaofundisha Uchumi na mambo ya Fedha, tuna maeneo kama BOT kule kuna maofisa waliobobea kwenye maswala ya Fedha, kwanini Kiwete hakuona hilo??
Nchi za ulaya zina maprofessor, hivyo sasa usishangae kuona mmbunge ana toa reference ya study iliyofanya somewhere in south america na ikatumiwa na nchi fulani europe (with a little bit amendments) na kutaka ikopiwe kwao pia kwa kuangalia sera zao na utamaduni (hiyo ndio elimu ya leo aina mwisho cha muhimu huwe na mistari ya kuelewa along the lines of discipline reasoning) kusoma hakuna mwisho, scholar ana-cover angle moja tu, whereby most disciplines are full of theories. Sasa sijui kwanini wewe unaona Phd ni mtu wa kubabaisha especially in political sciences, labda wa huko kwenda mwezini na kupasua vichwa vya watu.
Lakini pia kuna watu kama kina Professor Lipumba, Mwenyekiti CUF(T) ambayo amewahi kuwa mshauri wa mambo ya Uchumi enzi za Mwinyi na hatimaye kwenda Uganda kwa Museveni kwa kazi hiyohiyo.
Umewahi kusikia mapendekezo yake leo, si yeye ndie aliekuwa anadai gesi mtwara ibaki, wakati wewe unalalamika gharama za umeme, huyo kweli ana ethics za uchumi bado au tumbo kwa sasa.
Hivi kulikuwa na Dhambi gani kama Kiwete angelimteua Professor Lipumba kuwa Waziri wa Fedha ukizingatia kuwa CCM na CUF wana Serikali ya Umoja kule Visiwani na Katibu Mkuu CUF(T) Mhe. Shariff Hamad ni Makamu wa Rais Zanzibar? Kuna dhambi gani Lipumba akiwa Waziri wa Fedha Tanzania Bara
Concern ya Lipumba hipo kwenye recruiting consultant ya hiyo nafasi, akili yake ya huko kaamua kuipumzisha na kufanya siasa uchwara, anao huwezo mkubwa sana wakuchambua sera za sasa na kuziponda hafanyi hivyo sasa ana faida gani kama hataki hata kusaidia taifa in directly.
Kulingana na maelezo ya huyu mama ndiyo kwanza anasoma PhD yake kupitia Chuo Huria(OUT)!
Je, nchi hii ni maskini ya Wasomi wenye PhD kwenye fani ya Uchumi na Fedha????Jibu ni NO! Kumbe ni maana ya Kiwete kumweka huyu mama kwenye nafasi hii nyeti???
kwa sababu mmewaaminisha ukiwa na Phd ni vigumu kupingwa, unaonekana mjua yote hata kama mweupe tu, yap nimeshakutana na phd wazungu useless tu.
Bila shaka jibu analo Rais Kikwete mwenyewe kuna swala la mahusiano binafsi kati ya Rais kiwete na Bi Saada Mkuya aidha KIFAMILIA au KIMAPENZI!
Huko mi siko mkuu, labda kama unayajua utuelezee.