Waziri wa Fedha amjibu Prof. Lipumba

Waziri wa Fedha amjibu Prof. Lipumba

Prof LIPUMBA

View attachment 135021



Waziri wa fedha amjibu Prof. Lipumba


MWENYEKITI wa Chama cha Wananchi (CUF), Profesa Ibrahim Lipumba, amelishushia tuhuma nzito Baraza la Mawaziri, baada ya kudai baadhi ya mawaziri walioteuliwa hawana elimu ya kutosha.

View attachment 135020
Waziri wa Fedha, Saada Mkuya


Akizungumza na waandishi wa habari jijini Dar es Salaam jana, Profesa Lipumba alisema mmoja wa mawaziri hao ni Waziri wa Fedha, Saada Mkuya.

Alisema chama chake, kina wasiwasi na elimu ya Waziri Mkuya, kutokana na wasifu wake kutoonyesha vyuo alivyosoma wakati wa kupata shahada ya kwanza na ya pili katika masuala ya biashara.

Alisema katika tovuti ya Bunge, wasifu wa waziri huyo umeonyesha sehemu aliyosoma elimu ya sekondari na kuhitimu kidato cha sita.

Alisema katika tovuti hiyo, haionyeshi chuo alichosoma shahada ya kwanza ya biashara, ingawa inaonyesha masomo aliyochukua jambo ambalo linatia mashaka uhalali wake kuongoza wizara hiyo nyeti.

“Ukiingia kwenye tovuti ya Bunge, utaona wasifu wake kuanzia elimu ya msingi hadi kidato cha sita na shule alizosoma, lakini kuanzia elimu ya shahada imeonyesha masomo aliyochukua na kupata shahada ya kwanza ya biashara, haionyeshi vyuo, jambo ambalo linatia mashaka,” alisema Lipumba.


Alisema nafasi aliyopewa inahitaji kiongozi mwenye upeo wa hali ya juu, kuweza kupambanua mambo yanayohusu uchumi wa nchi kwa kushirikiana na taasisi mbalimbali za kifedha za ndani na nje ya nchi.

“Napata wasiwasi kama Rais Jakaya Kikwete, aliangalia wasifu wa waziri wake kwa sababu asingeweza kumchagua kushika nafasi kubwa kama hii, wakati vyeti vyake vina mashaka,” aliongeza.

Alisema kitendo cha kumuweka mtu mwenye vyeti vya mashaka, kunaweza kusababisha nchi kuyumba kiuchumi, kuongezeka kwa deni la taifa, kwa sababu uamuzi wake unatokana na ufahamu wake.


WAZIRI AJIBU

Akizungumza na MTANZANIA Jumatatu kuhusu madai hayo, Waziri Mkuya alisema elimu yake wala haina mashaka, kwani alisoma kidato cha tano na sita katika Shule ya Sekondari Lumumba mjini Zanzibar.

Baada ya hapo, alijiunga na masomo ya diploma ya Biashara katika Chuo cha Stamford cha Malaysia, ambapo pia alichukua diploma nyingine ya biashara nchini Uingereza.

Alisema mbali na masomo hayo, pia amesoma shahada ya pili ya biashara katika Chuo Kikuu Huria cha Tanzania (OUT) na kuhitimu mwaka 2009.
“Nimehitimu Shahada ya Uzamili ya Utawala na Biashara (MBA) ya Chuo Kikuu cha WATT kilichopo Edinburgh, Scotland.

“Kwa sasa nachukua Shahada ya Uzamivu (PhD) ya Utawala wa Biashara Chuo Kikuu Huria cha Tanzania, tawi la Dar es Salaam,” alisema Mkuya.

source: darnewsline.blogspot.com
Uuwiiii, uwiiiiii! OUT? Chuo Kikuu cha Wanasiasa waliokosa elimu, uuwiii! La hizo digrii kam kweli unazo na zinatambulika, weka kando, tunasema uwezo na uzoefu mama, HUNA!.
 
Kumbe na mimi naweza kuwa waziri wa fweza eee -- nina Advance diploma ya miaka ile hapa IFM - nilisoma kidato cha tano na sita ECA Ubwe Sec nikatoka na ONE KALI.

Baada ya kufanya kazi miaka 5 kama mhasibu ndipo nikafanya tena MBA university of Dar miaka 8 iliyopita - thatha mbona Mh. Rais hajaniona??? maana kwa sasa nafundisha tu Secondary ya mtu binafsi.
 
Kumbe na mimi naweza kuwa waziri wa fweza eee -- nina Advance diploma ya miaka ile hapa IFM - nilisoma kidato cha tano na sita ECA Ubwe Sec nikatoka na ONE KALI.

Baada ya kufanya kazi miaka 5 kama mhasibu ndipo nikafanya tena MBA university of Dar miaka 8 iliyopita - thatha mbona Mh. Rais hajaniona??? maana kwa sasa nafundisha tu Secondary ya mtu binafsi.

Acha maneno kafanye CPA, Uwe muhasibu kamili.
 
Waziri Mkuya alisema elimu yake wala haina mashaka, alisoma kidato cha tano na sita katika Shule ya Sekondari Lumumba mjini Zanzibar.
Baada ya hapo, alijiunga na masomo ya diploma ya Biashara katika Chuo cha Stamford cha Malaysia, ambapo pia alichukua diploma nyingine ya biashara nchini Uingereza kwa njia masafa.

pia amesoma shahada ya pili ya biashara katika Chuo Kikuu Huria cha Tanzania (OUT) na kuhitimu mwaka 2009.
“amehitimu Shahada ya Uzamili ya Utawala na Biashara (MBA) ya Chuo Kikuu cha WATT kilichopo Edinburgh, Scotland.
“Kwa sasa anachukua Shahada ya Uzamivu (PhD) ya Utawala wa Biashara Chuo Kikuu Huria cha Tanzania, tawi la Dar es Salaam,” alisema Mkuya.

kwa hiyo baada ya sec huyu mama akakariri dip, inaonyesha dip kasoma twice-tatizo lilikuwa nini? alikuwa anajaribu kupandisha gpa? halafu kwenye web ya bunge anaonekana ana adv dip ya 2 (two) yrs, ya wapi hiyo? tanzania kuna adv ya miaka 2? halafu ana digrii ya pili-ambayo naelewa kua ni masters, halafu ana stashahada ya uzamili ambayo pia ni masters?. doubt ya prof. lipumba itakuwa ya kweli. elimu ya huyu demu haijakaa sawa-hata mkiiteteaje nyie wana ccm wala hamjatuconvice kuwa huyu ana uwezo wa kuwa waziri wa fedha. sana sana ni yale mambo yetu ya kujuana na mishemishe full stop
 
Sitaki kutetea anasa ya matumizi ya magari makubwa, hila kwa experience yangu mimi wakati naenda kumuangalia rafiki yangu mitaa ya kunduchi nikiwa na RAV4 kulikuwa na mvua nikakuta yale mashimo yetu. Hile naingia naona o-hoo mbona gari linazama jamani ikabidi nirudi, barabara hatari, yaani lami hipo kwenye main roads tu huko ndani dar-es-salaam tu hakuingiliki. Na tulipoenda kijijini kwetu hivyo visiki na mabonde si mchezo gari ilibidi iachwe, kumbuka sasa wabunge wetu wengi ni wa mikoa na wengi wanarepresent vijijini, hata Dr.Slaa anaepinga magari makubwa mbona aendi na MarkII, kwenye ziara za vijijini.
Sasa kama unataka tutumie mfano wa kumtembelea rafiki yako kwa RAV4, halafu ndio justification ya magari haya ya V8, then I've no say! Ila msilalamike sasa kwamba uchumi wetu mbovu, ni ninyi wenye ujuzi wa kuandika hayo makaratasi yenu muyaitayo "dokezo" na wala si wanayoyaidhinisha. Bila shaka una idea ya kutosha hizo nchi zlizoendelea (ambazo sasa tunajipendekeza kwao kutupa hizo hela za mashangingi) zilifanyaje na zikoje linapokuja suala la matumizi ya Serikali.
 
Saleleeee! Ukistaajabu ya Musa tizama ya Fiarauni. Halafu Bunge limeniacha hoi kuonyesha Title ya Naibu Waziri from 2014-2015. Yaani ameshajihakikishia kwamba hadi 2015 yeye anatia timu. Kuna tatizo lingine kwenye administrator wa tovuti ya Bunge huko.
MEMBER OF PARLIAMENT CV

[TABLE="width: 100%"]
[TR]
[TH="bgcolor: initial, colspan: 3, align: left"]GENERAL[/TH]
[/TR]
[TR]
[TD]Salutation[/TD]
[TD]Honourable[/TD]
[TD="width: 42%, align: center"]Member picture
1260.jpg
[/TD]
[/TR]
[TR]
[TD]First Name:[/TD]
[TD]Freeman[/TD]
[/TR]
[TR]
[TD]Middle Name:[/TD]
[TD]Aikaeli[/TD]
[/TR]
[TR]
[TD]Last Name:[/TD]
[TD]Mbowe[/TD]
[/TR]
[TR]
[TD="width: 20%"]Member Type:[/TD]
[TD="width: 38%"]Constituency Member[/TD]
[/TR]
[TR]
[TD]Constituent:[/TD]
[TD]Hai[/TD]
[/TR]
[TR]
[TD]Political Party:[/TD]
[TD]CHADEMA[/TD]
[/TR]
[TR]
[TD]Office Location:[/TD]
[TD]P.O. Box 3070, Moshi[/TD]
[/TR]
[TR]
[TD]Office Phone:[/TD]
[TD][/TD]
[/TR]
[TR]
[TD]Ext.:[/TD]
[TD][/TD]
[/TR]
[TR]
[TD]Office Fax:[/TD]
[TD][/TD]
[/TR]
[TR]
[TD]Office E-mail:[/TD]
[TD]fmbowe@parliament.go.tz[/TD]
[/TR]
[TR]
[TD]Member Status:[/TD]
[TD]Current Member[/TD]
[/TR]
[TR]
[TD]Date of Birth[/TD]
[TD][/TD]
[/TR]
[/TABLE]
[TABLE="width: 100%"]
[TR]
[TH="bgcolor: initial, colspan: 5, align: left"]EDUCATION[/TH]
[/TR]
[TR]
[TH="width: 35%, bgcolor: initial"]School Name/Location[/TH]
[TH="width: 27%, bgcolor: initial"]Course/Degree/Award[/TH]
[TH="width: 15%, bgcolor: initial, align: center"]Start Date[/TH]
[TH="width: 13%, bgcolor: initial, align: center"]End Date[/TH]
[TH="width: 10%, bgcolor: initial, align: center"]Level[/TH]
[/TR]
[TR]
[TD]Secondary School[/TD]
[TD="align: center"]Secondary Education[/TD]
[TD="align: center"]-[/TD]
[TD="align: center"]-[/TD]
[TD="align: center"]HIGH SCHOOL[/TD]
[/TR]
[/TABLE]
[TABLE="width: 100%"]
[TR]
[TH="bgcolor: initial, colspan: 4, align: left"]EMPLOYMENT HISTORY[/TH]
[/TR]
[TR]
[TH="bgcolor: initial"]Company Name[/TH]
[TH="bgcolor: initial, align: center"]Position[/TH]
[TH="bgcolor: initial, align: center"]From[/TH]
[TH="bgcolor: initial, align: center"]To[/TH]
[/TR]
[TR]
[TD]Bank of Tanzania[/TD]
[TD]Bank Officer[/TD]
[/TR]
[/TABLE]


Waziri mkuu 2015 ndio huyu teh teh teh!

 
[h=2]MEMBER OF PARLIAMENT CV[/h][TABLE="width: 100%"]
[TR]
[TH="bgcolor: initial, colspan: 3, align: left"]GENERAL[/TH]
[/TR]
[TR]
[TD]Salutation[/TD]
[TD]Honourable[/TD]
[TD="width: 42%, align: center"]Member picture
1644.jpg
[/TD]
[/TR]
[TR]
[TD]First Name:[/TD]
[TD]Osmund[/TD]
[/TR]
[TR]
[TD]Middle Name:[/TD]
[TD]Joseph[/TD]
[/TR]
[TR]
[TD]Last Name:[/TD]
[TD]Mbilinyi[/TD]
[/TR]
[TR]
[TD="width: 20%"]Member Type:[/TD]
[TD="width: 38%"]Constituency Member[/TD]
[/TR]
[TR]
[TD]Constituent:[/TD]
[TD]Mbeya Mjini[/TD]
[/TR]
[TR]
[TD]Political Party:[/TD]
[TD]CHADEMA[/TD]
[/TR]
[TR]
[TD]Office Location:[/TD]
[TD]Box 815, Mbeya[/TD]
[/TR]
[TR]
[TD]Office Phone:[/TD]
[TD]+255 716 627344[/TD]
[/TR]
[TR]
[TD]Ext.:[/TD]
[TD][/TD]
[/TR]
[TR]
[TD]Office Fax:[/TD]
[TD][/TD]
[/TR]
[TR]
[TD]Office E-mail:[/TD]
[TD]jmbilinyi@parliament.go.tz[/TD]
[/TR]
[TR]
[TD]Member Status:[/TD]
[TD]Current Member[/TD]
[/TR]
[TR]
[TD]Date of Birth[/TD]
[TD]1 May 1972[/TD]
[/TR]
[/TABLE]
[TABLE="width: 100%"]
[TR]
[TH="bgcolor: initial, colspan: 5, align: left"]EDUCATION[/TH]
[/TR]
[TR]
[TH="width: 35%, bgcolor: initial"]School Name/Location[/TH]
[TH="width: 27%, bgcolor: initial"]Course/Degree/Award[/TH]
[TH="width: 15%, bgcolor: initial, align: center"]Start Date[/TH]
[TH="width: 13%, bgcolor: initial, align: center"]End Date[/TH]
[TH="width: 10%, bgcolor: initial, align: center"]Level[/TH]
[/TR]
[TR]
[TD]Mbeya Secondary School[/TD]
[TD="align: center"]O-Level Education[/TD]
[TD="align: center"]1988[/TD]
[TD="align: center"]1990[/TD]
[TD="align: center"]SECONDARY[/TD]
[/TR]
[TR]
[TD]Sabasaba Secondary School[/TD]
[TD="align: center"]O-Level Education[/TD]
[TD="align: center"]1990[/TD]
[TD="align: center"]1991[/TD]
[TD="align: center"]SECONDARY[/TD]
[/TR]
[TR]
[TD]Ligula Primary School[/TD]
[TD="align: center"]Primary Education[/TD]
[TD="align: center"]1981[/TD]
[TD="align: center"]1984[/TD]
[TD="align: center"]PRIMARY[/TD]
[/TR]
[TR]
[TD]Sokoine Primary School[/TD]
[TD="align: center"]Primary Education[/TD]
[TD="align: center"]1984[/TD]
[TD="align: center"]1986[/TD]
[TD="align: center"]PRIMARY[/TD]
[/TR]
[TR]
[TD]Sisimba Primary School[/TD]
[TD="align: center"]Primary Education[/TD]
[TD="align: center"]1986[/TD]
[TD="align: center"]1987[/TD]
[TD="align: center"]PRIMARY

[/TD]
[/TR]
[/TABLE]

Waziri wa Habari utamaduni na michezo 2015 Duuuuuhhhhhhh!!!!!!!!!!!!!!!!!
 
Kuwa na elimu kubwa ni vizuri maana unaongeza IQ lakini haisadii katika uwajibikaji?maendeleo yanaletwa na ushawishi wa kiongozi ktk kutumia rasilimali asili,watu na kuziunganisa na mlengo ndo maendeleo na si elimu peek.Mbona tuna Prof Maghembe,Dr Kawambwa n.k lakini wizara zao zina didimia,tatizo ni elimu nao?Cheki Mwakyembe,Magufuli wanavyo chapa kazi,hata kama wewe ni Pro ukiajiriwa Uchukuzi au Miundo mbinu unajua kabisa lazima uongeze bidii unless unapoteza kazi.chezea Dr Mwakyembe na Magufuli wewe!.BIDII,KUWAJIBIKA NA KUSIMAMA KWENYE NAFASI YAKO KWA WAKATI NDO UTAPIGA HATUA
 
[TABLE="width: 100%"]
[TR]
[TD="width: 56%"] [/TD]
[TD="width: 5%, align: center"][/TD]
[TD="width: 20%"][/TD]
[TD="width: 5%, align: center"][/TD]
[TD="width: 14%"][/TD]
[/TR]
[/TABLE]
[h=2]MEMBER OF PARLIAMENT CV[/h][TABLE="width: 100%"]
[TR]
[TH="bgcolor: initial, colspan: 3, align: left"]GENERAL[/TH]
[/TR]
[TR]
[TD]Salutation[/TD]
[TD]Honourable[/TD]
[TD="width: 42%, align: center"]Member picture
1403.jpg
[/TD]
[/TR]
[TR]
[TD]First Name:[/TD]
[TD]Kabwe[/TD]
[/TR]
[TR]
[TD]Middle Name:[/TD]
[TD]Zuberi[/TD]
[/TR]
[TR]
[TD]Last Name:[/TD]
[TD]Zitto[/TD]
[/TR]
[TR]
[TD="width: 20%"]Member Type:[/TD]
[TD="width: 38%"]Constituency Member[/TD]
[/TR]
[TR]
[TD]Constituent:[/TD]
[TD]Kigoma Kaskazini[/TD]
[/TR]
[TR]
[TD]Political Party:[/TD]
[TD]CHADEMA[/TD]
[/TR]
[TR]
[TD]Office Location:[/TD]
[TD]P.O.Box 325, Kigoma[/TD]
[/TR]
[TR]
[TD]Office Phone:[/TD]
[TD]+255 713 730 256[/TD]
[/TR]
[TR]
[TD]Ext.:[/TD]
[TD][/TD]
[/TR]
[TR]
[TD]Office Fax:[/TD]
[TD]+255 22 2112538[/TD]
[/TR]
[TR]
[TD]Office E-mail:[/TD]
[TD]kzitto@parliament.go.tz[/TD]
[/TR]
[TR]
[TD]Member Status:[/TD]
[TD]Current Member[/TD]
[/TR]
[TR]
[TD]Date of Birth[/TD]
[TD]24 September 1976[/TD]
[/TR]
[/TABLE]
[TABLE="width: 100%"]
[TR]
[TH="bgcolor: initial, colspan: 5, align: left"]EDUCATION[/TH]
[/TR]
[TR]
[TH="width: 35%, bgcolor: initial"]School Name/Location[/TH]
[TH="width: 27%, bgcolor: initial"]Course/Degree/Award[/TH]
[TH="width: 15%, bgcolor: initial, align: center"]Start Date[/TH]
[TH="width: 13%, bgcolor: initial, align: center"]End Date[/TH]
[TH="width: 10%, bgcolor: initial, align: center"]Level[/TH]
[/TR]
[TR]
[TD]Bucerius Law School, Germany[/TD]
[TD="align: center"]MLB[/TD]
[TD="align: center"]2009[/TD]
[TD="align: center"]2010[/TD]
[TD="align: center"]MASTERS DEGREE[/TD]
[/TR]
[TR]
[TD]University of Dar es Salaam[/TD]
[TD="align: center"]BA (Economics )[/TD]
[TD="align: center"]1999[/TD]
[TD="align: center"]2003[/TD]
[TD="align: center"]GRADUATE[/TD]
[/TR]
[TR]
[TD]Inwent -IHK, Bonn, Federal Republic of Germany[/TD]
[TD="align: center"]Advanced Training on International Marketing[/TD]
[TD="align: center"]2003[/TD]
[TD="align: center"]2004[/TD]
[TD="align: center"]ADV DIPLOMA[/TD]
[/TR]
[TR]
[TD]Galanos Secondary School[/TD]
[TD="align: center"]A-Level Education[/TD]
[TD="align: center"]1996[/TD]
[TD="align: center"]1996[/TD]
[TD="align: center"]HIGH SCHOOL[/TD]
[/TR]
[TR]
[TD]Tosamaganga Secondary School[/TD]
[TD="align: center"]A-Level Education[/TD]
[TD="align: center"]1997[/TD]
[TD="align: center"]1998[/TD]
[TD="align: center"]HIGH SCHOOL[/TD]
[/TR]
[TR]
[TD]Kigoma Secondary School[/TD]
[TD="align: center"]O-Level Education[/TD]
[TD="align: center"]1991[/TD]
[TD="align: center"]1994[/TD]
[TD="align: center"]SECONDARY[/TD]
[/TR]
[TR]
[TD]Kibohehe Secondary School[/TD]
[TD="align: center"]O-Level Education[/TD]
[TD="align: center"]1994[/TD]
[TD="align: center"]1995[/TD]
[TD="align: center"]SECONDARY[/TD]
[/TR]
[TR]
[TD]Kigoma Primary School[/TD]
[TD="align: center"]Primary Education[/TD]
[TD="align: center"]1984[/TD]
[TD="align: center"]1990[/TD]
[TD="align: center"]PRIMARY[/TD]
[/TR]
[TR]
[TD]Otto Beisheim School of Management, Germany[/TD]
[TD="align: center"]PhD[/TD]
[TD="align: center"]2011[/TD]
[TD="align: center"][/TD]
[TD="align: center"]NOT COMPLETED[/TD]
[/TR]
[/TABLE]
[TABLE="width: 100%"]
[TR]
[TH="bgcolor: initial, colspan: 4, align: left"]EMPLOYMENT HISTORY[/TH]
[/TR]
[TR]
[TH="bgcolor: initial"]Company Name[/TH]
[TH="bgcolor: initial, align: center"]Position[/TH]
[TH="bgcolor: initial, align: center"]From[/TH]
[TH="bgcolor: initial, align: center"]To[/TH]
[/TR]
[TR]
[TD]Ministry of Finance - PSU (NSA Support for Cotonou Agreement)[/TD]
[TD]Moderator[/TD]
[TD="align: center"]2005[/TD]
[TD="align: center"][/TD]
[/TR]
[TR]
[TD]Ministry of Finance -Tanzania & Ministry of Trade & Industries[/TD]
[TD]Event Manager[/TD]
[TD="align: center"]2005[/TD]
[TD="align: center"][/TD]
[/TR]
[TR]
[TD]The Parliament of Tanzania[/TD]
[TD]Member - Kigoma North[/TD]
[TD="align: center"]2005[/TD]
[TD="align: center"]Todate[/TD]
[/TR]
[TR]
[TD]IHK - Bonn & TIC-Tanzania (Business Mission to SIAL Pans)[/TD]
[TD]Project Manager[/TD]
[TD="align: center"]2004[/TD]
[TD="align: center"]2004[/TD]
[/TR]
[TR]
[TD]Chama Cha Demokrasia na Maendeleo - CHADEMA[/TD]
[TD]Director, Campaigns and Elections[/TD]
[TD="align: center"]2004[/TD]
[TD="align: center"]Todate[/TD]
[/TR]
[TR]
[TD]Friedrich Ebert Foundation - FES[/TD]
[TD]Project Manager[/TD]
[TD="align: center"]2004[/TD]
[TD="align: center"]2005[/TD]
[/TR]
[TR]
[TD]Tanzania Gender Network (TGNP)[/TD]
[TD]Training & Research Internship[/TD]
[TD="align: center"]2002[/TD]
[TD="align: center"]2002[/TD]
[/TR]
[TR]
[TD]National Youth Forum (NYF)[/TD]
[TD]Programme Officer[/TD]
[TD="align: center"]2000[/TD]
[TD="align: center"]2002[/TD]
[/TR]
[/TABLE]
[TABLE="width: 100%"]
[TR]
[TH="bgcolor: initial, colspan: 4, align: left"]POLITICAL EXPERIENCE[/TH]
[/TR]
[TR]
[TH="class: text_menu, width: 47%, bgcolor: initial"]Ministry/Political Party/Location[/TH]
[TH="class: text_menu, width: 31%, bgcolor: initial, align: center"]Position[/TH]
[TH="class: text_menu, width: 12%, bgcolor: initial, align: center"]From[/TH]
[TH="class: text_menu, width: 10%, bgcolor: initial, align: center"]To[/TH]
[/TR]
[TR]
[TD]CHADEMA[/TD]
[TD]Deputy Secretary General[/TD]
[TD="align: center"]2007[/TD]
[TD="align: center"][/TD]
[/TR]
[TR]
[TD]CHADEMA[/TD]
[TD]Secretary Parliamentary Group[/TD]
[TD="align: center"]2006[/TD]
[TD="align: center"][/TD]
[/TR]
[TR]
[TD]CHADEMA[/TD]
[TD]Director Foreign Office[/TD]
[TD="align: center"]2004[/TD]
[TD="align: center"][/TD]
[/TR]
[TR]
[TD]DARUSO[/TD]
[TD]Secretary General[/TD]
[TD="align: center"]2002[/TD]
[TD="align: center"]2003[/TD]
[/TR]
[TR]
[TD]Tanzania Students Networking Programme (TSNP)[/TD]
[TD]Chief Executive Officer[/TD]
[TD="align: center"]2001[/TD]
[TD="align: center"]2003[/TD]
[/TR]
[/TABLE]


Out out out out out out Daaaahhhhhhhhhhhhhhhh!!!!!!!!!!!!!
 
MEMBER OF PARLIAMENT CV

[TABLE="width: 100%"]
[TR]
[TH="bgcolor: initial, colspan: 3, align: left"]GENERAL[/TH]
[/TR]
[TR]
[TD]Salutation[/TD]
[TD]Honourable[/TD]
[TD="width: 42%, align: center"]Member picture
1260.jpg
[/TD]
[/TR]
[TR]
[TD]First Name:[/TD]
[TD]Freeman[/TD]
[/TR]
[TR]
[TD]Middle Name:[/TD]
[TD]Aikaeli[/TD]
[/TR]
[TR]
[TD]Last Name:[/TD]
[TD]Mbowe[/TD]
[/TR]
[TR]
[TD="width: 20%"]Member Type:[/TD]
[TD="width: 38%"]Constituency Member[/TD]
[/TR]
[TR]
[TD]Constituent:[/TD]
[TD]Hai[/TD]
[/TR]
[TR]
[TD]Political Party:[/TD]
[TD]CHADEMA[/TD]
[/TR]
[TR]
[TD]Office Location:[/TD]
[TD]P.O. Box 3070, Moshi[/TD]
[/TR]
[TR]
[TD]Office Phone:[/TD]
[TD][/TD]
[/TR]
[TR]
[TD]Ext.:[/TD]
[TD][/TD]
[/TR]
[TR]
[TD]Office Fax:[/TD]
[TD][/TD]
[/TR]
[TR]
[TD]Office E-mail:[/TD]
[TD]fmbowe@parliament.go.tz[/TD]
[/TR]
[TR]
[TD]Member Status:[/TD]
[TD]Current Member[/TD]
[/TR]
[TR]
[TD]Date of Birth[/TD]
[TD][/TD]
[/TR]
[/TABLE]
[TABLE="width: 100%"]
[TR]
[TH="bgcolor: initial, colspan: 5, align: left"]EDUCATION[/TH]
[/TR]
[TR]
[TH="width: 35%, bgcolor: initial"]School Name/Location[/TH]
[TH="width: 27%, bgcolor: initial"]Course/Degree/Award[/TH]
[TH="width: 15%, bgcolor: initial, align: center"]Start Date[/TH]
[TH="width: 13%, bgcolor: initial, align: center"]End Date[/TH]
[TH="width: 10%, bgcolor: initial, align: center"]Level[/TH]
[/TR]
[TR]
[TD]Secondary School[/TD]
[TD="align: center"]Secondary Education[/TD]
[TD="align: center"]-[/TD]
[TD="align: center"]-[/TD]
[TD="align: center"]HIGH SCHOOL[/TD]
[/TR]
[/TABLE]
[TABLE="width: 100%"]
[TR]
[TH="bgcolor: initial, colspan: 4, align: left"]EMPLOYMENT HISTORY[/TH]
[/TR]
[TR]
[TH="bgcolor: initial"]Company Name[/TH]
[TH="bgcolor: initial, align: center"]Position[/TH]
[TH="bgcolor: initial, align: center"]From[/TH]
[TH="bgcolor: initial, align: center"]To[/TH]
[/TR]
[TR]
[TD]Bank of Tanzania[/TD]
[TD]Bank Officer[/TD]
[/TR]
[/TABLE]


Waziri mkuu 2015 ndio huyu teh teh teh!

Teh teh teh CV imetulia sana Mkuu ebu tuwekee na ya Lema na Sugu.
 
Back
Top Bottom