Waziri wa Fedha amjibu Prof. Lipumba

Waziri wa Fedha amjibu Prof. Lipumba

Hmm...hiyo resume ya Nkamia mbona imekaa kidizaini?

Jamaa high school kasoma shule tatu? Tena moja ikiwa ile ya spesho skul (Mzumbe)? Wow!!
 
Duh bora ya afadhali kuliko potelea mbali naona JK kaleta zigo hasa natamani 2015 ifike mjomba apumzimke maana hana jinsi wote mizigo
 
Watanzania kama vile tuna ukichaa, Rais alimteua Professa Muhongo; mwanataaluma aliyebobea na asiye na elimu ya magumshi kuwa Waziri muda mfupi baadaye tumemuona kanyaboya, yaani walewale na kupendekeza kwa Rais amtimue. Tumeletewa Mulugo ameprove sivyo. Tumeletewa Maprofesa akina Maghembe hali ni ileile, tumeletewa madokta kina Kawambwa hali ni ileile, kwanini Mheshimiwa asihamie kwa akina "profesa" Maji marefu labda kutakuwa ndio. Bora niunge tela kwa Zinedine hapo, Ikulu imechoka ifumuliwe.
 
Last edited by a moderator:
Watu waliopo Malaysia na UK wapige simu hivyo vyuo kupeleleza kama kweli huyu dada kasoma huko.
Watu wamechoka kudanganywa kila siku.
 
Sawa, kukosoa ni haki ya yeyote yule lakini pia, ukosoo wenyewe wapaswa uwe wa haki basi. Na si kukosoa tu ili mradi mtu umekosoa.



Imeandikwa hivyo wapi palipo rasmi? Unaweza kunionyesha au kunielekeza nami nikapasome?



Tafadhali nielekeze huko ulikoipata hii sifa ambayo umeiorodhesha kama ya pili.



Sawa, nielekeze huko ulikoitoa na hii.



Hii una uhakika nayo? Kwamba ni lazima uwe wa kuchaguliwa tu na si kuteuliwa?



Na hii umeitoa wapi?



Wewe umejuaje zipo ofisi ya rais? Ushawahi kuziona? Rais alikuonyesha?



Unguli wake pamoja na kutambuliwa kwake huko WB na IMF kumesaidia vipi kuinua uchumi wa Tanzania na maisha ya Mtanzania ya wa kawaida?



Huh? Kwa mtaji huo basi Mwigulu Nchemba anafaa kabisa kuwa waziri wa hiyo wizara! Perish the thought!



Aliivumbua yeye hiyo VAT? Halafu huyo si alikuwa na kashfa za ufisadi huyo? Au nachanganya madesa?



Huyu naye hakujiuzulu huyu? Yeye hakuwa na kashfa?


Mkuu NN,

Bila kukosoa hakutapatikana ufanisi na ndio maana mimi natumia zaidi vigezo na sio mengine.

Uteuzi wa mtu kuwa mbunge wa kuteuliwa halafu aende kushika nafasi nyeti kudhibiti uchumi na fedha za nchi, hakuwezi kupita bila kuulizwa.

Unapokuwa mbunge wa kuteuliwa unakuwa huna ridhaa au mandate ya wananchi na hio inamaanisha kwamba mheshimiwa raisi amefanya uteuzi mara mbili kwa mpigo na kujiweka katika hali ya kuwajibika moja kwa moja na uteuzi huo.

Na ndio maana masahihisho katika katiba kuhusu madaraka ya raisi ni muhimu sana kueleweka.

Tusibishane sana tusubiri ufanisi wake na tutapata picha kamili maana tunaambiwa huyu mama ameula, nakumbuka kwenye miaka ya 90 mzee Nalaila Kiula alipochaguliwa kuwa waziri ujenzi alikuwa anaambiwa "Nalaila Kiula aula".
 
MEMBER OF PARLIAMENT CV

[TABLE="width: 100%"]
[TR]
[TH="colspan: 3, align: left"]GENERAL[/TH]
[/TR]
[TR]
[TD]Salutation[/TD]
[TD]Honourable[/TD]
[TD="width: 42%, align: center"]Member picture
1625.jpg
[/TD]
[/TR]
[TR]
[TD]First Name:[/TD]
[TD]Juma[/TD]
[/TR]
[TR]
[TD]Middle Name:[/TD]
[TD]Selemani[/TD]
[/TR]
[TR]
[TD]Last Name:[/TD]
[TD]Nkamia[/TD]
[/TR]
[TR]
[TD="width: 20%"]Member Type:[/TD]
[TD="width: 38%"]Constituency Member[/TD]
[/TR]
[TR]
[TD]Constituent:[/TD]
[TD]Kondoa kusini[/TD]
[/TR]
[TR]
[TD]Political Party:[/TD]
[TD]CCM[/TD]
[/TR]
[TR]
[TD]Office Location:[/TD]
[TD]Box 2, Kondoa - Dodoma[/TD]
[/TR]
[TR]
[TD]Office Phone:[/TD]
[TD]+255 756 479494[/TD]
[/TR]
[TR]
[TD]Ext.:[/TD]
[TD][/TD]
[/TR]
[TR]
[TD]Office Fax:[/TD]
[TD][/TD]
[/TR]
[TR]
[TD]Office E-mail:[/TD]
[TD]jnkamia@parliament.go.tz[/TD]
[/TR]
[TR]
[TD]Member Status:[/TD]
[TD]Current Member[/TD]
[/TR]
[TR]
[TD]Date of Birth[/TD]
[TD]1 January 1972[/TD]
[/TR]
[/TABLE]
[TABLE="width: 100%"]
[TR]
[TH="colspan: 5, align: left"]EDUCATION[/TH]
[/TR]
[TR]
[TH="width: 35%"]School Name/Location[/TH]
[TH="width: 27%"]Course/Degree/Award[/TH]
[TH="width: 15%, align: center"]Start Date[/TH]
[TH="width: 13%, align: center"]End Date[/TH]
[TH="width: 10%, align: center"]Level[/TH]
[/TR]
[TR]
[TD]The School of Journalism and Mass Communication, Tanzania[/TD]
[TD="align: center"]Diploma (Mass Communication)[/TD]
[TD="align: center"]1997[/TD]
[TD="align: center"]1999[/TD]
[TD="align: center"]DIPLOMA[/TD]
[/TR]
[TR]
[TD]National Radio (RTD)[/TD]
[TD="align: center"]Basic Broadcasting Skills[/TD]
[TD="align: center"]1995[/TD]
[TD="align: center"]1996[/TD]
[TD="align: center"]CERTIFICATE[/TD]
[/TR]
[TR]
[TD]-[/TD]
[TD="align: center"]International Braodcasting Skills[/TD]
[TD="align: center"]1999[/TD]
[TD="align: center"]1999[/TD]
[TD="align: center"]CERTIFICATE[/TD]
[/TR]
[TR]
[TD]British Broadcasting Corporation BBC, London[/TD]
[TD="align: center"]Journalism Skills[/TD]
[TD="align: center"]2004[/TD]
[TD="align: center"]2004[/TD]
[TD="align: center"]CERTIFICATE[/TD]
[/TR]
[TR]
[TD]Voice of America, Washington[/TD]
[TD="align: center"]Computer[/TD]
[TD="align: center"]2010[/TD]
[TD="align: center"]2010[/TD]
[TD="align: center"]CERTIFICATE[/TD]
[/TR]
[TR]
[TD]France[/TD]
[TD="align: center"]Certificate in International Sports Reporting[/TD]
[TD="align: center"]2009[/TD]
[TD="align: center"]2009[/TD]
[TD="align: center"]CERTIFICATE[/TD]
[/TR]
[TR]
[TD]Same Secondary School[/TD]
[TD="align: center"]A-Level Education[/TD]
[TD="align: center"]1989[/TD]
[TD="align: center"]1990[/TD]
[TD="align: center"]HIGH SCHOOL[/TD]
[/TR]
[TR]
[TD]Sengerema High School[/TD]
[TD="align: center"]A-Level Education[/TD]
[TD="align: center"]1991[/TD]
[TD="align: center"]1991[/TD]
[TD="align: center"]HIGH SCHOOL[/TD]
[/TR]
[TR]
[TD]Mzumbe High School[/TD]
[TD="align: center"]A-Level Education[/TD]
[TD="align: center"]1991[/TD]
[TD="align: center"]1992[/TD]
[TD="align: center"]HIGH SCHOOL[/TD]
[/TR]
[TR]
[TD]Mpwapwa Secondary School[/TD]
[TD="align: center"]O-Level Education[/TD]
[TD="align: center"]1985[/TD]
[TD="align: center"]1988[/TD]
[TD="align: center"]SECONDARY[/TD]
[/TR]
[TR]
[TD]Bicha Primary School, Kondoa[/TD]
[TD="align: center"]Primary Education[/TD]
[TD="align: center"]1978[/TD]
[TD="align: center"]1980[/TD]
[TD="align: center"]PRIMARY[/TD]
[/TR]
[TR]
[TD]Iyoli Primary School, Kondoa[/TD]
[TD="align: center"]Primary Education[/TD]
[TD="align: center"]1980[/TD]
[TD="align: center"]1984[/TD]
[TD="align: center"]PRIMARY[/TD]
[/TR]
[/TABLE]
[TABLE="width: 100%"]
[TR]
[TH="colspan: 4, align: left"]EMPLOYMENT HISTORY[/TH]
[/TR]
[TR]
[TH]Company Name[/TH]
[TH="align: center"]Position[/TH]
[TH="align: center"]From[/TH]
[TH="align: center"]To[/TH]
[/TR]
[TR]
[TD]Ministry of Information,Youth,Culture and Sports[/TD]
[TD]Deputy Minister[/TD]
[TD="align: center"]2014-01-20[/TD]
[TD="align: center"]2015[/TD]
[/TR]
[TR]
[TD]Voice of America, Washington DC[/TD]
[TD]Journalist[/TD]
[TD="align: center"]2009[/TD]
[TD="align: center"]2010[/TD]
[/TR]
[TR]
[TD]Tanzania Broadcasting Corporation - (TBC)[/TD]
[TD]Journalist/Editor[/TD]
[TD="align: center"]2006[/TD]
[TD="align: center"]2009[/TD]
[/TR]
[TR]
[TD]British Broadcasting Corporation BBC, World Service[/TD]
[TD]Journalist[/TD]
[TD="align: center"]2003[/TD]
[TD="align: center"]2006[/TD]
[/TR]
[TR]
[TD]Tanzania National Radio (RTD)[/TD]
[TD]Journalist[/TD]
[TD="align: center"]1995[/TD]
[TD="align: center"]2003[/TD]
[/TR]
[/TABLE]
[TABLE="width: 100%"]
[TR]
[TH="colspan: 4, align: left"]POLITICAL EXPERIENCE[/TH]
[/TR]
[TR]
[TH="class: text_menu, width: 47%"]Ministry/Political Party/Location[/TH]
[TH="class: text_menu, width: 31%, align: center"]Position[/TH]
[TH="class: text_menu, width: 12%, align: center"]From[/TH]
[TH="class: text_menu, width: 10%, align: center"]To[/TH]
[/TR]
[TR]
[TD]The Parliament of Tanzania[/TD]
[TD]Member - Kondoa South Constituency[/TD]
[TD="align: center"]2010[/TD]
[TD="align: center"]2015[/TD]
[/TR]
[/TABLE]



Saleleeee! Ukistaajabu ya Musa tizama ya Fiarauni. Halafu Bunge limeniacha hoi kuonyesha Title ya Naibu Waziri from 2014-2015. Yaani ameshajihakikishia kwamba hadi 2015 yeye anatia timu. Kuna tatizo lingine kwenye administrator wa tovuti ya Bunge huko.
 
Hmm...hiyo resume ya Nkamia mbona imekaa kidizaini?

Jamaa high school kasoma shule tatu? Tena moja ikiwa ile ya spesho skul (Mzumbe)? Wow!!
Ana kipaji maalum!
Huyo jamaa alisema waziri ni lazima awe na shahada ya kwanza nafikiri amepata jibu kwa Nkamia
 
Watu waliopo Malaysia na UK wapige simu hivyo vyuo kupeleleza kama kweli huyu dada kasoma huko.
Watu wamechoka kudanganywa kila siku.
Wow, Wow, wow!!!
Usiende huko mkuu, utakuwa umeenda mbali sana. Nina uhakika huyu mama ni kweli 110% alisoma huko Malaysia na UK.
Ila ukifanya zoezi hilo nchi nzima kila mahali basi utaleta vilio na kusaga meno mjini
 
Vipi kuhusu John Major ambae hakuwa na qualification za elimu ya juu na kushika nafasi ya Exchequer na many senstive positions kwenye serikali ya Thatcher, mpaka kumrithi madaraka ya uongozi wa taifa.

Embu tuache ulimbukeni mnataka kufananisha mawaziri wa dunia ya kwanza na ma-governor wao (especially hawa), politician anachohitaji ni stats za ajira na mapato, uchangiaji uliopo wa mapato (kodi) na priority zipangwe vipi. Sidhani kama kwa uchumi wa africa that is very complicated kwenye siasa.

Kwanini muhimu kwa wenzetu kuwa na elimu ya kutisha (sio vyuo vya kutisha maana hiyo ni debate nyingine inayotokana na privilege na upendeleo wa hawali, kutokana na vyuo), kwenye dunia ya kwanza serikali azipewi misaada, asilimia kubwa ya hela za mikopo ni through government bonds, hizo zina impact kubwa sana jinsi interest rates zinavyozibitiwa ku entice investors. na wanunuzi wakubwa wa hizi bonds ni insurance companies or large financial institutions ambao wanatumia hela za watu, kwa maana factor kama inflation also has to considered maana mtu akikupa hela yake anataka irudi kwa faida interms of market value. Bado kuna swala kuhamasisha matumizi put it this way it is very complicated issue kwenye dunia ya kwanza na kuna mambo mengi ya consumer spendings, lobbying za interest groups all those inabidi zitungiwe sera kumnufaisha stake holder. Bado ujamaliza ideology ambazo zina ambatana na tax thinking (more taxation or less) inorder for government to meet their obligations and election promises (they too have huge impact on expenditure and investment coming in the country) it is very complicated.

Sasa hako kauchumi katanzania kanataka kweli experience a 'marvin king' yeye mwenyewe akimuona huyo mama hatoweza kumuuliza maswali magumu kwa sababu anajua changamoto hizo kwenye uchumi wetu hazipo, hivyo hizo timu za ushauri wa namna hiyo hazipo, statisticians wa namna hiyo hawapo, pressure groups wa namna hiyo hawapo, so why lazima hawe na qualifications au experience ya level yake.
 
Naomba hebu tuangalie bio sketch za Mawaziri wa Fedha wa Nigeria, Kenya, Uganda na Rwanda, wawili wanawake (kama wetu), na wawili wanaume, halafu tujilinganishe na tujionee tofauti:

Ms. Ngozi Okonjo-Iweala is a Minister of Finance of Nigeria:
with the expanded portfolio of the Coordinating Minister for the Economy, was educated at Harvard University, graduating magna cum laude with an A.B. in 1977, and earned her Ph.D. in regional economic development from the Massachusetts Institute of Technology (MIT) in 1981. She is married to Ikemba Iweala from Umuahia, Abia State, and they have four children. Prior to her ministerial career in Nigeria, Okonjo-Iweala was vice-president and corporate secretary of the World Bank Group. She left it in 2003 after she was appointed to President Obasanjo's cabinet as Finance Minister on 15 July 2003. In October 2005, she led the Nigerian team that struck a deal with the Paris Club, a group of bilateral creditors, to pay a portion of Nigeria's external debt (US $12 billion) in return for an $18 billion debt write-off. Prior to the partial debt payment and write-off, Nigeria spent roughly US $1 billion every year on debt servicing, without making a dent in the principal owed. She resigned as Nigeria's Foreign Minister on August 3, 2006 following her sudden removal as head of Nigeria's Economic Team by former President Olusegun Obasanjo. She left that administration at the end of August 2006. On October 4, 2007, World Bank President Robert Zoellick appointed her to the post of Managing Director, effective December 1, 2007. In 2011, Okonjo-Iweala was reappointed as Minister of Finance with the expanded portfolio of the Coordinating Minister for the Economy by President Goodluck Jonathan. During her confirmation as a Minister, she stressed the need to reduce the country's recurrent expenditure which is presently 74% of the National Budget and embark on capital projects which could improve the 14% unemployment rate in the country. In her role as the Coordinating Minister For the Economy and Minister of Finance, she has extensive influence/exercise to shape the direction of the Jonathan economic team and the transformation agenda.

Ms Maria Kiwanuka is the current Minister of Finance in the Ugandan Cabinet: is a Ugandan economist, businesswoman and politician, and she attended Gayaza High School, a prestigious all-girls boarding high school, located about 26 kilometres (16 mi), by road, northeast of Kampala, graduating in 1973. In 1974 she entered Makerere University, Uganda's oldest institution of higher education. She graduated in 1977 with the degree of Bachelor of Commerce (BCom). She later pursued further education at the London Business School in the United Kingdom, graduating with the degree of Master of Business Administration (MBA. Beginning around 1980, she worked for more than ten years with the World Bank, as an Economist and Financial Analyst for the East Asian and Southern African regions. Specifically she covered projects in Burma, Malawi, Swaziland and Uganda.[5] After she left the World Bank, she returned to her native Uganda and went into private business. Together with members of her family, she founded businesses in the areas of broadcasting, publishing, real estate and economic consulting. She has served as a financial adviser to the Nabagereka of Buganda since the early 2000s.

Mr. Henry Rotich, Kenya Cabinet Secretary for National Treasury: has been the Head of Macroeconomics at the Treasury, Ministry of Finance, since March, 2006. He has been involved in formulating macroeconomic policies that ensure an affordable and sustainable path of public spending aimed at achieving the Government's development priorities. He is also involved in preparation of key budget documents including the Budget Statements, as well as providing strategic coordination of structural reforms in the area of fiscal and financial sector. Prior to joining the Ministry of Finance, Mr. Rotich has worked at the Central Bank of Kenya since 1994. At one time, he was attached to the International Monetary Fund (IMF) local office in Nairobi to work as an economist. He has also consulted as a short-term macroeconomic expert in the region in Mozambique, Malawi and Rwanda with the IMF's East AFRITAC (in Tanzania) and Macroeconomic and Financial Management Institute (MEFMI) in Zimbabwe, in addition to supporting the designing of macroeconomic convergence criteria of the proposed East African Monetary Union. Mr. Rotich holds a Masters Degree in Public Administration (MPA) from the Harvard Kennedy School, Harvard University. He also holds a Master's Degree in Economics from University of Nairobi and Bachelor's Degree in Economics (First Class Honours) from the same University. He is 44 years and married with two sons.

His Excellency Claver Gatete, Minister of Finance in Rwanda
: upon the completion of his university studies, Gatete worked in Canada as an economist between 1991 and 1997, and then worked as the national economist with the United Nations Development Programme in Rwanda until 2000. In October 2001, Gatete joined the office of the president as the president's personal representative to NEPAD, before being appointed the Secretary General and Secretary to the Treasury in the Ministry of Finance and Economic Planning in November 2003, a position he held until September 2005. From November 2005 until December 2009, Gatete was Rwanda's ambassador to the UK, Ireland and Iceland, before joining the National Bank of Rwanda as the deputy governor. He then served as the Governor of the National Bank of Rwanda from May 2011, before his appointment as the Minister of Finance.
 
Vipi kuhusu John Major ambae hakuwa na qualification za elimu ya juu na kushika nafasi ya Exchequer na many senstive positions kwenye serikali ya Thatcher, mpaka kumrithi madaraka ya uongozi wa taifa.

Embu tuache ulimbukeni mnataka kufananisha mawaziri wa dunia ya kwanza na ma-governor wao (especially hawa), politician anachohitaji ni stats za ajira na mapato, uchangiaji uliopo wa mapato (kodi) na priority zipangwe vipi. Sidhani kama kwa uchumi wa africa that is very complicated kwenye siasa.

Kwanini muhimu kwa wenzetu kuwa na elimu ya kutisha (sio vyuo vya kutisha maana hiyo ni debate nyingine inayotokana na privilege na upendeleo wa hawali, kutokana na vyuo), kwenye dunia ya kwanza serikali azipewi misaada, asilimia kubwa ya hela za mikopo ni through government bonds, hizo zina impact kubwa sana jinsi interest rates zinavyozibitiwa ku entice investors. na wanunuzi wakubwa wa hizi bonds ni insurance companies or large financial institutions ambao wanatumia hela za watu, kwa maana factor kama inflation also has to considered maana mtu akikupa hela yake anataka irudi kwa faida interms of market value. Bado kuna swala kuhamasisha matumizi put it this way it is very complicated issue kwenye dunia ya kwanza na kuna mambo mengi ya consumer spendings, lobbying za interest groups all those inabidi zitungiwe sera kumnufaisha stake holder. Bado ujamaliza ideology ambazo zina ambatana na tax thinking and the government obligations to social responsibilities it is very complicated.

Sasa hako kauchumi katanzania kanataka kweli experience a 'marvin king' yeye mwenyewe akimuona huyo mama hatoweza kumuuliza maswali magumu kwa sababu anajua changamoto hizo kwenye uchumi wetu hazipo, hivyo hizo timu za ushauri wa namna hiyo hazipo, staticians wa namna hiyo hawapo, pressure groups wa namna hiyo hawapo, so why lazima hawe na qualifications au experience yake ya level yake.

Times have changed, bossman! Just because John Major, Arap Moi, Shehu Shagari or even the late PM Rashid Mfaume Kawawa hawakuwa na degrees na wakashika nyadhifa kubwa doesn't mean we should embark on that route.
Kwa ulimwengu wa leo haitowezekana.
ama unataka hadi prof. Maji Marefu nae apewe wizara?
 
Huyu mama hatoshi katika nafasi yake, period. Kama ni uteuzi wa kisiasa kulenga gender equity au muungano, katika nafasi hii mamlaka ya uteuzi ilishauriwa vibaya.

Mbali na changamoto mbalimbali za uchumi wetu ambazo sidhani kama ataweza kukabiliana nazo, pia katika nchi yoyote ile kuelekea uchaguzi mkuu, uchumi wa nchi huyumba. Kwa taifa letu tunakabiliwa na hatari ya kupinduka kabisa.



Sent from my BlackBerry 8520 using JamiiForums

Kuna jambo linaendelea behind the scenes kutokana na hizo nominations zilizofanywa ktk hii waizara recently, na sababu kubwa watu wengi wana-suspect in looting strategy inapangwa hapo. Kumbuka mwakani kuna election. Cash ya kumwaga huko mtaani itatoka wapi? Vitenge, khanga na kofia, na pilau bila kusahau Bongo flavor concerts vinahitaji hela na hiyo hela itatoka huko jikoni. Mama hatokuwa na ubavu wa kuzuia njembaz, na ukiangalia deputies wake..........mmmmmmmnnnnnhhhh...jibu unalo.
 
Times have changed, bossman! Just because John Major, Arap Moi, Shehu Shagari or even the late PM Rashid Mfaume Kawawa hawakuwa na degrees na wakashika nyadhifa kubwa doesn't mean we should embark on that route.
Kwa ulimwengu wa leo haitowezekana.
ama unataka hadi prof. Maji Marefu nae apewe wizara?
Ngoja nikwambie waziri wa fedha mara nyingi, anapimwa na stakeholders wake mfano wafanyabiashara wanakubalina na kodi zake (na impact ya faida na kufanya wateja waweze mudu bidhaa zao), changamoto nyingine ni priority za matumizi ya umma, je priortiy zake zinanufaisha vipi jamii and how inclusive they are especially to those who really need the services, ameweza buni namna za kuleta ajira na sera zinampa ushawishi mwekezaji (start up ya mfanyabishara mdogo, si sawa na large companies and faida zinaanza kuonekana kwa wakati tofauti, kodi zikoje) Ingwa mfanya biashara mdogo analipa kodi ajira ni kwa yeye mwenyewe au kwa watu wachache, hila leo vodacom akiona kodi imezidi na faida yake ni ndogo akifunga virago maelfu wanaathirika na ajira. Kwa hivyo wewe mpime kwa mahitaji yako na jinsi unavyoona atakavyofanya kutatua kero au namna zake za kuongeza mapato.

Hii kwa sasa ni wewe kuamua tu hawezi, bila ya kumpa muda. Ni sawa tukisema inaonekana hana mashahada ya kutisha, lakini tusihitimishe kazi itamshinda bila ya hata kumpa nafasi.
 
Times have changed, bossman! Just because John Major, Arap Moi, Shehu Shagari or even the late PM Rashid Mfaume Kawawa hawakuwa na degrees na wakashika nyadhifa kubwa doesn't mean we should embark on that route.
Kwa ulimwengu wa leo haitowezekana.
ama unataka hadi prof. Maji Marefu nae apewe wizara?

Kwangu mimi cha muhimu zaidi ni uwezo wa kuongoza. Rais Luiz Inacio Lula da Silva (ambaye hana madigrii) aliingoza Brasil kutoka 2003 hadi 2011.

Chini ya uongozi wake uchumi wa Brasil ulikua hadi kuwa uchumi mkubwa wa nane duniani na kufanikiwa kundoa takribani Wabrasil milioni 20 kutoka kwenye umaskini.

Hivyo, mwisho wa siku ni uwezo tu wa kuongoza kwa sababu kwanza si kila mtu ataifanya hiyo kazi peke yake. Watu hufanya kazi kama timu kwa kushirikiana.
 
Kuna jambo linaendelea behind the scenes kutokana na hizo nominations zilizofanywa ktk hii waizara recently, na sababu kubwa watu wengi wana-suspect in looting strategy inapangwa hapo. Kumbuka mwakani kuna election. Cash ya kumwaga huko mtaani itatoka wapi? Vitenge, khanga na kofia, na pilau bila kusahau Bongo flavor concerts vinahitaji hela na hiyo hela itatoka huko jikoni. Mama hatokuwa na ubavu wa kuzuia njembaz, na ukiangalia deputies wake..........mmmmmmmnnnnnhhhh...jibu unalo.
CCM haitaji a special person kama ina nia ya ku-loot, they will do so for one simple reason amna independent policing body ya kuweza kufanya uchunguzi wa kina na kumwajibisha yeyote under that scenario. Hivyo basi sidhani kama kunahitajika ujanja sana kuchopoa wanachokitaka hazina kama wana nia hiyo.
 
Ngoja nikwambie waziri wa fedha mara nyingi, anapimwa na stakeholders wake mfano wafanyabiashara wanakubalina na kodi zake (na impact ya faida na kufanya wateja waweze mudu bidhaa zao), changamoto nyingine ni priority za matumizi ya umma, je priortiy zake zinanufaisha vipi jamii and how inclusive they are especially to those who really need the services, ameweza buni namna za kuleta ajira na sera zinampa ushawishi mwekezaji (start up ya mfanyabishara mdogo, si sawa na large companies and faida zinaanza kuonekana kwa wakati tofauti, kodi zikoje) Ingwa mfanya biashara mdogo analipa kodi ajira ni kwa yeye mwenyewe au kwa watu wachache, hila leo vodacom akiona kodi imezidi na faida yake ni ndogo akifunga virago maelefu wanaathirika na kiajira. Kwa hivyo wewe mpime kwa mahitaji yako na jinsi unavyoona atakavyofanya kutatua kero au namna zake za kuongeza mapato.

Hii kwa sasa ni wewe kuamua tu hawezi, bila ya kumpa muda. Ni sawa tukisema inaonekana hana mashahada ya kutisha, lakini tusihitimishe kazi itamshinda bila ya hata kumpa nafasi.
Nakubaliana na wewe, ila jiulize.
Je toka achaguliwe ameshaita press conference na kutaja hizo priorities zake na vitu anavyotaka kuvifanya?
 
Kwangu mimi cha muhimu zaidi ni uwezo wa kuongoza. Rais Luiz Inacio Lula da Silva (ambaye hana madigrii) aliingoza Brasil kutoka 2003 hadi 2011.

Chini ya uongozi wake uchumi wa Brasil ulikua hadi kuwa uchumi mkubwa wa nane duniani na kufanikiwa kundoa takribani Wabrasil milioni 20 kutoka kwenye umaskini.

Hivyo, mwisho wa siku ni uwezo tu wa kuongoza kwa sababu kwanza si kila mtu ataifanya hiyo kazi peke yake. Watu hufanya kazi kama timu kwa kushirikiana.
Ni kweli lakini angalia timu ya watendaji wake ilikuwaje. Then linganisha huyu mama na timu yake
 
Nakubaliana na wewe, ila jiulize.
Je toka achaguliwe ameshaita press conference na kutaja hizo priorities zake na vitu anavyotaka kuvifanya?
Ameshaulizwa lolote juu ya maoni yake kuhusu lolote na wadau wowote. Kuna msemo unaosema usipojua unaomba nini, utapewa chochote.
 
Lipumba Prof lakini amefanya nini? kushindwa mara 4, na bado anadhani atkwenda Ikulu. Lipumba shut up, n let waziri wa fedha afanye wajibu wake.
 
Back
Top Bottom