Waziri wa Fedha amjibu Prof. Lipumba

Waziri wa Fedha amjibu Prof. Lipumba

Ni hivi kila nchi ina mkakati wake na changamoto zake kiuchumi na mipango ya maendeleo or to boost the economy which derive from current existing challenges.

Mfano unaingia madarakani, umekuta uchumi wako umezorota na deni la tiafa kubwa (ambalo linaongezeka kwa kukopa zaidi na intrest rate zinaongezeka kufanya deni lizidi kukuwa).

Kwa hivyo kama uliingia madarakani au unapoomba kura unasema agenda yetu kuu ni kutatua haya maswala, hivyo policies zinatungwa with debt reduction in mind and propelling economy. Sera utakuta za kupunguza tax hili kushawishi biashara, kutoa watu kwenye matumizi ya serikali hili kupunguza gharama, kubana matumizi ya sector zingine kama afya, elimu etc, kupunguza ukubwa wa serikali yako (wafanyakazi wa serikali) kupunguza unnecessary bodies, kuangalia cheapest tenders of course with quality of delivery, kuweka incentives in some areas to incourage sectoral growth all to do with the central theme, growth and cutting cost in order to meet your promises.

Kwa sasa sera kuu ya uchumi ya Tanzania ni kilimo kwanza, kwa hivyo jitihada kubwa zinalenga kumnufaisha mkulima na kusambaza bidhaa zake ndio maana unaona kuna much effort kwenye kutoa mazoa bora, kilimo cha kisasa, miradi ya kopa n'gombe lipa n'gombe and less effort is directed elsewhere. Kwa maana hiyo kikubwa kwa waziri wa uchumi ni kuangalia huku off course not to ignore other social needs, but the main policy is the target.

Au wewe unadhani kazi ya waziri wa fedha ni nini?
Shukran kwa maelezo yako. Wengine watanisaidia.
 
Halafu wabongo ndio maana hatuendelei, yaani tunafanya PhD ili tupate sifa na hadhi katika jamii. Japokuwa sio jambo baya kupata hadhi lakini inabidi ifiki mahali tufanye hizo PhD kwa kuwa tunapenda kutafiti suluhisho la matatizo yanayotuzunguka halafu ndio sifa/hadhi vifuate. Ndio maana wengi wa wanaotiwa madokta baada ya kupewa makaratasi hakuna la maana wanalofanya!!
 
Waziri Mkuya alisema elimu yake wala haina mashaka, alisoma kidato cha tano na sita katika Shule ya Sekondari Lumumba mjini Zanzibar. Baada ya hapo, alijiunga na masomo ya diploma ya Biashara katika Chuo cha Stamford cha Malaysia, ambapo pia alichukua diploma nyingine ya biashara nchini Uingereza kwa njia masafa. pia amesoma shahada ya pili ya biashara katika Chuo Kikuu Huria cha Tanzania (OUT) na kuhitimu mwaka 2009. “amehitimu Shahada ya Uzamili ya Utawala na Biashara (MBA) ya Chuo Kikuu cha WATT kilichopo Edinburgh, Scotland. “Kwa sasa anachukua Shahada ya Uzamivu (PhD) ya Utawala wa Biashara Chuo Kikuu Huria cha Tanzania, tawi la Dar es Salaam,” alisema Mkuya.
kweli lipumba is right. huu ni mzaha kwani wako wengi waliobobea mambo ya fedha.
 
Nimeamini Prof. Lpumba alipatia, the lady is too junior to lead the ministry of finance and economic planning

huyo kawekwa ili JK na timu yake wafanye mambo yao kiurahisi
 
Prof LIPUMBA

WAZIRI AJIBU

Akizungumza na MTANZANIA Jumatatu kuhusu madai hayo, Waziri Mkuya alisema elimu yake wala haina mashaka, kwani alisoma kidato cha tano na sita katika Shule ya Sekondari Lumumba mjini Zanzibar.

Baada ya hapo, alijiunga na masomo ya diploma ya Biashara katika Chuo cha Stamford cha Malaysia, ambapo pia alichukua diploma nyingine ya biashara nchini Uingereza.

Alisema mbali na masomo hayo, pia amesoma shahada ya pili ya biashara katika Chuo Kikuu Huria cha Tanzania (OUT) na kuhitimu mwaka 2009.
"Nimehitimu Shahada ya Uzamili ya Utawala na Biashara (MBA) ya Chuo Kikuu cha WATT kilichopo Edinburgh, Scotland.

"Kwa sasa nachukua Shahada ya Uzamivu (PhD) ya Utawala wa Biashara Chuo Kikuu Huria cha Tanzania, tawi la Dar es Salaam," alisema Mkuya.

source: darnewsline.blogspot.com

Diploma Chuo cha Stamford Malaysia, Diploma nyingine chuo (????) Uingereza. Shahada ya pili OUT!. Now I understand kwanini vyuo hivyo vilikuwa vimefichwa kwenye tovuti ya Bunge was a deliberate move. It is only in Tanzania ambapo tunafikiri Education is Expensive now we are trying IGNORANCE
 
Slaa na madegree yake ya kuimba kwaya,kalifanyia nini taifa?
 
Yeye ni Professor na atuambie amelifanyia nini Taifa kulisogeza mbele? Hili la kudharau watu kabla ya kuona utendaji ni tabia ya uchoyo wa kielimu!

Umesahau kama nchi yako haithamini wasomi? hasa wasomi wa upinzani,lipumba kasaidia nchi nyingi za ukanda wa bara la africa hasa uganda ila kwa TZ hajawahi thaminiwa hata siku moja,kwa hyo alichokisem kinaukweli ndani yake

Rais wetu kwa sasa anavyeo vingi sana,maana mawaziri wengi waliopo kwenye wizara nyeti hawana utofauti na mawizi vivuli,kifupi hawana sauti,kwa sasa waziri mkuu ni yeye na waziri wa fedha ni yeye na makamu wako ndiyo hasara tupu
 
This is only made in tz...Prof.lipumba yupo try BT sis tutapingana na ukwel..elimu ya Wazir Saada ina walakin mkubwa
 
You know what friends,

Rais Kiwete amefanya uteuzi huu kwa maksudi ili kutaka kuiokoa CCM isije ikashindwa vibaya kwenye Uchaguzi Mkuu wa 2015 kwa kukosa hela ya KUHONGA WAPIGA KURA. Kwa hiyo kumweka Bi Mkuya kama Waziri wa Fedha na Naibu wake akiwa Mwigulu Nchemba ni mkakati maalumu wa kupata fedha at any cost. Kwa vile Nchemba ni bora kuliko huyu Mkuya basi CCM wata-take advantage kutumia Elimu finyu ya Bi Mkuya ili kuhamisha mabilioni kuyapeleka CCM kwa ajili ya Uchaguzi Mkuu 2015.

Hii issue kuhusu kiwango cha Elimu ya Waziri wa Fedha iko wazi kabisa. Inaonekana Elimu ya Bi Mkuya ni ya kuungaunga na imejaa maswali mengi kuliko majibu.
Nakumbuka kuna Waziri mmoja nchini Ujerumani alijiuzulu baada ya kugundulika kuwa alikuwa amedanganya kuhusu Elimu yake.

Mimi nashauri huyu Bi Mkuya aachie ngazi. Vinginevo watu waendelee kuibua na kupiga kelele kuhusu shaka ya elimu aliyonayo.
 
Aiseee... Namuomgezea kwa Mwigulu na Nkamia....Hao ndio bora zaidi kuliko waliobaki...ONLY IN TANZANIA.
 
attachment.php
 
CCM haitaji a special person kama ina nia ya ku-loot, they will do so for one simple reason amna independent policing body ya kuweza kufanya uchunguzi wa kina na kumwajibisha yeyote under that scenario. Hivyo basi sidhani kama kunahitajika ujanja sana kuchopoa wanachokitaka hazina kama wana nia hiyo.

CCM wanahitaji special person kama wana nia ya ku-loot.
Kwanza ujue sio CCM wote wanaunga mkono wizi unaofanyika. Ndio maana wamewekwa wakina mwigulu pale kwa sababu wao wapo kwa maslahi ya CCM zaidi kuliko maslahi ya taifa. CCM hawataki ku gamble kumuweka mtu makini kwa sababu atawasumbua. Umebaki muda mfupi mno kufikia uchaguzi, kwa hiyo hawawezi kumuweka mtu atakayewasumbua halafu wamtoe muda mchache sana kabla ya uchaguzi kwa sababu anaweza akaleta damage kwa CCM kama ataongea kuwa ametolewa ili watu waibe, unless wamtoe kwa kumuua. Kwa hiyo CCM wana-avoid haya matatizo siku zijazo.
 
Kwa OUT inawezekana mkuu. Ndiyo maana UDSM wana mashaka sana na degree za vyuo vingine. Si ajabu kuna mtu anamfanyia!!! Kumbe wetu waziri kihiyo!!! Huwezi kusoma PHD halafu ukafanya vitu vingine. Ni very demanding course!!!!
Kwa hiyi mheshimiwa waziri anafanya internship wizara ya fedha? coz phD ni demanding course, atagawaje muda wake ili kuivusha nchi hii? wizara hii ni nyeti mtu hawezi kwenda kufanyia filed practical au intern.
 
Nimeshajiamini hata mimi naweza kua waziri katika nchi hii ya Tanzania!
 
Makanjanja wa elimu wapo wengi wa aina hii na ndio maana nchi haipigi hatua kimaendeleo!!!!!!!! Yaani hata aliyepata division 5 atakwambia hii CV ni questionable. Ooh my GOD Tanzania!!!!!!!!!
 
Back
Top Bottom