Waziri wa Fedha amjibu Prof. Lipumba

Waziri wa Fedha amjibu Prof. Lipumba

Kuna wengi tu waliungaunga na sasa ni maprofesa. Hata Salim Ahmed Salim aliungaunga lakini akawa katibu mkuu wa OAU. Naona huyu mama hana shida ila shida hamtaki mvaa hijabu akashika wizara ya fedha kama vile Ustadh Shukuru kawambwa alivyoshika wizara elimu.
Hapo kwenye nyekundu ndipo penyewe lakini kote wanazugazuga tu.

Wakuu wangu JokaKuu, Mchambuzi, Nguruvi3 & Co., niwieni radhi kwamba kutokana na kutingwa na mihangaiko, nimejikuta nikishindwa kabisa kuingia mtandaoni...kutokana na hilo, for now nitashindwa kuwa cooperative kwenye mjadala. And in fact, nililazimika kuiba japo dakika chache ili nije kuwakilisha huu hudhuru wangu kwenu. Nitakaporejea, endapo mjadala utakuwa hujafungwa basi ni matumaini yangu nitakuja kutoa ushirikiano manake naona hivi sasa upande wangu, kwa kiasi kikubwa namuona akipigana Happy Feet peke yake.

Nimalizie tu kwa kusisitiza kwamba Saada Mkuya fits for the position. Her Masters in Finance supported by almost nine years in government finance, eighteen months of which working as Deputy Minister of MoF, am very certain that she'll handle the post more effectively and efficiently...kama ambavyo nimepata kusema mara kadhaa, tatizo lilipo kwenye wizara zetu na taasisi nyingi za serikali ni uadilifu na uwajibaki...these stuffs don't need 30 years of working experience supported by PhD level of education. Tunahitaji zaidi waziri atakayekuwa very committed katika kusimami sera za uchumi za nchi at large. Tunahitaji waziri atakayekuwa very committed and responsible katika kusimamia fedha za serikali. Haya hayahitaji 40 years working experience with your title starting with "Professor!" Nyuma ya waziri huyu kuna wataalamu mbalimbali, kuanzia magwiji waliobobea kwenye masuala ya fedha hadi uchumi wakiongozwa na Katibu Mkuu ambae ndie haswa mnaetakiwa kumpigia kelele pamoja na Wakurugenzi wake. Lakini wala sitashangaa nikisikia karibu nyote nyinyi hakuna hata aliyejishughulisha kutafuta qualifications za Katibu Mkuu Wizara ya Fedha na Wakurugenzi wake!!!!!! Hawa walio nyuma ya pazia ndio engineers wa kila kitu! In most cases, hizi top posts are just symbolic figures...an ndio maana kuna wengine wanaita post ya minister is almost like Ministry's Head of Communication and Relation.

Hata hivyo, kabla cijakusanya kila kilicho changu na kuwahi baoni, ningependa kueleza machache kuhusu hoja ya Mchambuzi kwamba Minister of Finance ni the second most important post after PM. Hoja hii ningependa kuilezea kidogo coz' wengi wenu ndivyo mnavyoamini. Niseme kwamba, kwa nchi kama Tanzania, ALMOST all tradition ministries are very important and no one is better than the other though priority inaweza kuwekwa hapa na pale! Nchi kama US or UK, isn't the big deal kuwa na wizara kv ya maji au kilimo coz' ni sectors ambazo zimeshakuwa utilized. Lakini kwa nchi kama Tanzania ambako almost 50% hawana maji safi na salama; basi na wizara husika nayo ina umuhimu ule ule! Nchi ambayo miundombinu bado ni mibovu, barabara vijijini na hata mijini hakuna; umeme umewafikia less 30% of population; primary and secondary school as well as tertiary level enrollment and overall school/education performance is poor, basi wizara husika zina umuhimu ule ule kama ilivyo MoF. Ingawaje Minister of Finance ndie msimamizi wa sera za uchumi wa nchi, wala si kwamba ataenda Nishati na Madini na kumu-interoggate Professor Muhongo kwanini hajafikia 25% umeme vijijini kama sera inavyosema! Ni Muhongo mwenyewe na timu yake ndio wanawajibika na hilo na mwisho kutoa tu ripoti zitakazobisha hodi kwenye interested parties. So, performance of MoF is highly dependable to performance of individual ministries.

Wacheni nifanye hima kukimbilia majukumu, natamani nipate wasaa hapo mbeleni ili tupate kuendelea na mjadala hu.
 
Last edited by a moderator:
NasDaz;8607320]Wakuu wangu
JokaKuu, Mchambuzi, Nguruvi3 & Co.,
Nimalizie tu kwa kusisitiza kwamba Saada Mkuya fits for the position. Her Masters in Finance supported by almost nine years in government finance, eighteen months of which working as Deputy Minister of MoF, am very certain that she'll handle the post more effectively and efficiently...

kama ambavyo nimepata kusema mara kadhaa, tatizo lilipo kwenye wizara zetu na taasisi nyingi za serikali ni uadilifu na uwajibaki...these stuffs don't need 30 years of working experience supported by PhD level of education.

Tunahitaji zaidi waziri atakayekuwa very committed katika kusimami sera za uchumi za nchi at large. Tunahitaji waziri atakayekuwa very committed and responsible katika kusimamia fedha za serikali.

Haya hayahitaji 40 years working experience with your title starting with "Professor!" Nyuma ya waziri huyu kuna wataalamu mbalimbali, kuanzia magwiji waliobobea kwenye masuala ya fedha hadi uchumi wakiongozwa na Katibu Mkuu ambae ndie haswa mnaetakiwa kumpigia kelele pamoja na Wakurugenzi wake. Lakini wala sitashangaa nikisikia karibu nyote nyinyi hakuna hata aliyejishughulisha kutafuta qualifications za Katibu Mkuu Wizara ya Fedha na Wakurugenzi wake!!!!!! Hawa walio nyuma ya pazia ndio engineers wa kila kitu! In most cases, hizi top posts are just symbolic figures...an ndio maana kuna wengine wanaita post ya minister is almost like Ministry's Head of Communication and Relation
Mkuu nazDas , elimu haimaanishi master au Ph.D pekee ni zaidi ya hapo.

Kuna vitu vinamfanya mwenye elimu kuelimika zaidi kama exposure na ushindani
Experience haina maana kukaa kazini kwa muda mrefu, ni pamoja na kufanya mambo mengi katika hali tofauti kwa nyakati mbali mbali.

Saada ni mbunge wa kuteuliwa, hajawahi ku-compete na hivyo hana exposure au experience na mambo mengi yanayowiana na uzoefu wa mazingira tofauti yanayohitaji makakati na mbinu.

Hakuna historia ya Saada tunayoweza kuiweka katika viwango vya baadhi ya watu wakiwemo wabunge katika nafasi, mazingira na hali mbali mbali. Lini umemsikia Saada akijenga hoja japo kwa bahati mbaya?

Hatuwezi kupima kiwango cha uzoefu, elimu au uadilifu wa Saada kwasababu hakuwahi kuwa katika public eye hata kidogo. Hivyo hoja ya elimu ambayo ni ndogo kwa nafasi aliyo nayo hata mwenyewe kuhisi na kujificha inajieleza.

Hoja ya uzoefu wa unaibu waziri kwa miezi 18 haimpi uzoefu kwasababu hajawahi kusimamia taasisi kama yeye bali kama sehemu ya timu. Katika miezi 18 sijui kama alikuwa sehemu ya baraza la mawaziri. Kama sivyo, ni uzoefu gani wa miezi 18 unaoongelea.
Na hoja ya uadilifu haipo kwasababu hatukumjua tutajuaje uadilifu wake?

Kama tunakubaliana kuwa tunahitaji waziri committed na responsible kwa uchumi wa nchi basi Saada hayupo katika kundi hilo.

Saada hajaonyesha commitment popote na wala hana ufahamu wa uchumi.
Master ya finance haimpi nafasi inayohitaji ufahamu mkubwa wa uchumi zaidi ya finance.

Labda utueleze, Saada akikutana na Christine Lagarde wataongea nini?

Utetezi kuwa Saada atakuwa amezungukwa na wasiaidizi hauna mashiko.
Mama mpendwa anaingia katika baraza la mawaziri kumshauri rais peke yake.

Atakuwa na mawaziri wenzake wa EAC peke yao na atakutana na watu wa mashirika mbali mbali peke yake. Kuna mambo yanahitaji ufahamu wa nchi na dunia ambayo ni basic kwa mtu wa nafasi yake. Nina shaka kama Saada anaufahamu huo.

Hivi kama hataweza kutofauti kati ya WB na IMF atafanya majadiliano na kwa njia gani?
Kila neno akaulize wasaidizi.

Saada akisimama bungeni watu wanatarajia kusikia maneno ya waziri anayeelewa uchumi na mipango. Vipi kama kila kauli atakuwa anakimbia kuuliza wasaidizi wake. Ndicho tunakihitaji hicho.

Endapo uwezo wake ata ukasimu kwa wasaidizi nachelea kuogopa siku atakaposhindwa kutofautisha IMF na IFM, naogopa sana kwakweli.

Nafasi ya Saada siyo symbolic. Aliye negotiate Paris club ni CD Msuya, aliyetoa misamaha ya kodi alikuwa Mbilinyi, aliyetoa pesa za EPA ni Zakia, Mramba na Steward, Malima na ukwepaji wa kodi. Mifano hiyo ni kukuonyesha kuwa waziri ana nguvu sana na siyo ceremonial figure kama unavyodhani.

Kumbuka huyu ndiye mshauri wa rais kuhusiana na mambo ya uchumi na mipango.
Ndiye mshauri wa gavana wa benki kuu, hiyo symbolic status anaipata wapi?
Hata hivyo, kabla cijakusanya kila kilicho changu na kuwahi baoni, ningependa kueleza machache kuhusu hoja ya
Mchambuzi kwamba Minister of Finance ni the second most important post after PM. Hoja hii ningependa kuilezea kidogo coz' wengi wenu ndivyo mnavyoamini. Niseme kwamba, kwa nchi kama Tanzania, ALMOST all tradition ministries are very important and no one is better than the other though priority inaweza kuwekwa hapa na pale! Nchi kama US or UK, isn't the big deal kuwa na wizara kv ya maji au kilimo coz' ni sectors ambazo zimeshakuwa utilized. Lakini kwa nchi kama Tanzania ambako almost 50% hawana maji safi na salama; basi na wizara husika nayo ina umuhimu ule ule! Nchi ambayo miundombinu bado ni mibovu, barabara vijijini na hata mijini hakuna; umeme umewafikia less 30% of population; primary and secondary school as well as tertiary level enrollment and overall school/education performance is poor, basi wizara husika zina umuhimu ule ule kama ilivyo MoF. Ingawaje Minister of Finance ndie msimamizi wa sera za uchumi wa nchi, wala si kwamba ataenda Nishati na Madini na kumu-interoggate Professor Muhongo kwanini hajafikia 25% umeme vijijini kama sera inavyosema! Ni Muhongo mwenyewe na timu yake ndio wanawajibika na hilo na mwisho kutoa tu ripoti zitakazobisha hodi kwenye interested parties. So, performance of MoF is highly dependable to performance of individual ministries.

Wacheni nifanye hima kukimbilia majukumu, natamani nipate wasaa hapo mbeleni ili tupate kuendelea na mjadala hu
Si kweli! wizara zinatofautiana kwa majukumu na seniority.
Wizara ya akina mama na watoto inaweza kuwa idara ya wizara ya afya kitengo cha jamii.
Idara ya mifugo inaweza kuwa idara ya maliasili.
Waziri wa utawala bora anaweza kuwa kurugenzi ya wizara ya sheria
Wizara ya michezo na habari inaweza kuwa idara ya wizara ya Elimu

Niambie wizara ya fedha inaweza kuwa idara ya wizara gani?

Ukitaka kujua seniority za wizara, angalia protocol .
 
Last edited by a moderator:
[NasDaz;8607320]Wakuu wangu JokaKuu, Mchambuzi, Nguruvi3 & Co.,
Nimalizie tu kwa kusisitiza kwamba Saada Mkuya fits for the position. Her Masters in Finance supported by almost nine years in government finance, eighteen months of which working as Deputy Minister of MoF, am very certain that she'll handle the post more effectively and efficiently...

kama ambavyo nimepata kusema mara kadhaa, tatizo lilipo kwenye wizara zetu na taasisi nyingi za serikali ni uadilifu na uwajibaki...these stuffs don't need 30 years of working experience supported by PhD level of education.

Tunahitaji zaidi waziri atakayekuwa very committed katika kusimami sera za uchumi za nchi at large. Tunahitaji waziri atakayekuwa very committed and responsible katika kusimamia fedha za serikali.

Haya hayahitaji 40 years working experience with your title starting with "Professor!" Nyuma ya waziri huyu kuna wataalamu mbalimbali, kuanzia magwiji waliobobea kwenye masuala ya fedha hadi uchumi wakiongozwa na Katibu Mkuu ambae ndie haswa mnaetakiwa kumpigia kelele pamoja na Wakurugenzi wake. Lakini wala sitashangaa nikisikia karibu nyote nyinyi hakuna hata aliyejishughulisha kutafuta qualifications za Katibu Mkuu Wizara ya Fedha na Wakurugenzi wake!!!!!! Hawa walio nyuma ya pazia ndio engineers wa kila kitu! In most cases, hizi top posts are just symbolic figures...an ndio maana kuna wengine wanaita post ya minister is almost like Ministry's Head of Communication and Relation
Mkuu nazDas , elimu haimaanishi master au Ph.D pekee ni zaidi ya hapo.

Kuna vitu vinamfanya mwenye elimu kuelimika zaidi kama exposure na ushindani
Experience haina maana kukaa kazini kwa muda mrefu, ni pamoja na kufanya mambo mengi katika hali tofauti kwa nyakati mbali mbali.

Saada ni mbunge wa kuteuliwa, hajawahi ku-compete na hivyo hana exposure au experience na mambo mengi yanayowiana na uzoefu wa mazingira tofauti yanayohitaji makakati na mbinu.

Hakuna historia ya Saada tunayoweza kuiweka katika viwango vya baadhi ya watu wakiwemo wabunge katika nafasi, mazingira na hali mbali mbali. Lini umemsikia Saada akijenga hoja japo kwa bahati mbaya?

Hatuwezi kupima kiwango cha uzoefu, elimu au uadilifu wa Saada kwasababu hakuwahi kuwa katika public eye hata kidogo. Hivyo hoja ya elimu ambayo ni ndogo kwa nafasi aliyo nayo hata mwenyewe kuhisi na kujificha inajieleza.

Hoja ya uzoefu wa unaibu waziri kwa miezi 18 haimpi uzoefu kwasababu hajawahi kusimamia taasisi kama yeye bali kama sehemu ya timu. Katika miezi 18 sijui kama alikuwa sehemu ya baraza la mawaziri. Kama sivyo, ni uzoefu gani wa miezi 18 unaoongelea.
Na hoja ya uadilifu haipo kwasababu hatukumjua tutajuaje uadilifu wake?

Kama tunakubaliana kuwa tunahitaji waziri committed na responsible kwa uchumi wa nchi basi Saada hayupo katika kundi hilo.

Saada hajaonyesha commitment popote na wala hana ufahamu wa uchumi.
Master ya finance haimpi nafasi inayohitaji ufahamu mkubwa wa uchumi zaidi ya finance.
Labda utueleze, Saada akikutana na Christine Lagarde wataongea nini?

Utetezi kuwa Saada atakuwa amezungukwa na wasiaidizi hauna mashiko.
Mama mpendwa anaingia katika baraza la mawaziri kumshauri rais peke yake.

Atakuwa na mawaziri wenzake wa EAC peke yao na atakutana na watu wa mashirika mbali mbali peke yake. Kuna mambo yanahitaji ufahamu wa nchi na dunia ambayo ni basic kwa mtu wa nafasi yake. Nina shaka kama Saada anaufahamu huo.

Hivi kama hataweza kutofauti kati ya WB na IMF atafanya majadiliano na kwa njia gani?
Kila neno akaulize wasaidizi.

Saada akisimama bungeni watu wanatarajia kusikia maneno ya waziri anayeelewa uchumi na mipango. Vipi kama kila kauli atakuwa anakimbia kuuliza wasaidizi wake. Ndicho tunakihitaji hicho.

Endapo uwezo wake ata ukasimu kwa wasaidizi nachelea kuogopa siku atakaposhindwa kutofautisha IMF na IFM, naogopa sana kwakweli.

Nafasi ya Saada siyo symbolic. Aliye negotiate Paris club ni CD Msuya, aliyetoa misamaha ya kodi alikuwa Mbilinyi, aliyetoa pesa za EPA ni Zakia, Mramba na Steward, Malima na ukwepaji wa kodi. Mifano hiyo ni kukuonyesha kuwa waziri ana nguvu sana na siyo ceremonial figure kama unavyodhani.

Kumbuka huyu ndiye mshauri wa rais kuhusiana na mambo ya uchumi na mipango.
Ndiye mshauri wa gavana wa benki kuu, hiyo symbolic status anaipata wapi?
Hata hivyo, kabla cijakusanya kila kilicho changu na kuwahi baoni, ningependa kueleza machache kuhusu hoja ya Mchambuzi kwamba Minister of Finance ni the second most important post after PM. Hoja hii ningependa kuilezea kidogo coz' wengi wenu ndivyo mnavyoamini. Niseme kwamba, kwa nchi kama Tanzania, ALMOST all tradition ministries are very important and no one is better than the other though priority inaweza kuwekwa hapa na pale! Nchi kama US or UK, isn't the big deal kuwa na wizara kv ya maji au kilimo coz' ni sectors ambazo zimeshakuwa utilized. Lakini kwa nchi kama Tanzania ambako almost 50% hawana maji safi na salama; basi na wizara husika nayo ina umuhimu ule ule! Nchi ambayo miundombinu bado ni mibovu, barabara vijijini na hata mijini hakuna; umeme umewafikia less 30% of population; primary and secondary school as well as tertiary level enrollment and overall school/education performance is poor, basi wizara husika zina umuhimu ule ule kama ilivyo MoF. Ingawaje Minister of Finance ndie msimamizi wa sera za uchumi wa nchi, wala si kwamba ataenda Nishati na Madini na kumu-interoggate Professor Muhongo kwanini hajafikia 25% umeme vijijini kama sera inavyosema! Ni Muhongo mwenyewe na timu yake ndio wanawajibika na hilo na mwisho kutoa tu ripoti zitakazobisha hodi kwenye interested parties. So, performance of MoF is highly dependable to performance of individual ministries.

Wacheni nifanye hima kukimbilia majukumu, natamani nipate wasaa hapo mbeleni ili tupate kuendelea na mjadala hu
Si kweli! wizara zinatofautiana kwa majukumu na seniority.
Wizara ya akina mama na watoto inaweza kuwa idara ya wizara ya afya kitengo cha jamii.
Idara ya mifugo inaweza kuwa idara ya maliasili.
Waziri wa utawala bora anaweza kuwa kurugenzi ya wizara ya sheria
Wizara ya michezo na habari inaweza kuwa idara ya wizara ya Elimu

Niambie wizara ya fedha inaweza kuwa idara ya wizara gani?

Ukitaka kujua seniority za wizara, angalia protocol .
 
Last edited by a moderator:
Last edited by a moderator:
Proven data? Which kind of data are you talking about? to say she deserve the post need the proven data than outlining her qualification which ready outlined? The problem with you all guys ni kwamba you're taking ministerial post as consultant post...with weak argument "very big post" "very sensitive minisitry!" Ni wizara gani ambayo sio muhimu?Wizara ya Maji? Wizara ya nishati? Kilimo? This's logical argument! Ikiwa watu wanajikita kwamba our economy was poor cause there's no rainfall in the past year, then mwaka huu ikinyesha, keeping other factors consant, matarajio ni better economy! Pakitokea poor economy again, simple and clear there's a problem somewhere lakini sio mvua! Hili halihitaji kwenda darasanai kulifahamu! Ikiwa kuna mass failure; kisha watu waka-conclude kwamba mass failure imetokana na shule kutokua na vitabu; thereafter vitabu vingi vya kutosha vikaletwa...keeping all other factors constant na bado mass failure ikatokea...it doesn't need PhD to know hapo kuna something else! IKiwa Saada doesn't fit kwa vigezo mnavyotaja; tunatakiwa kuangalia wale ambao wana vigezo mnavyotaka! How do they deliver...nikatoa mfano wa wizara ya elimu; waziri PhD Holder mwenye uzoefu mkubwa sana; Katibu Mkuu Professa mwenye uzoefu mkubwa sana! Baadhi ya Wakurugenzi ni Maprofesa! Hali kama hii ipo pia wizara zingine! If your arguments could be strong enough, huko tungeona expected delivery!! This's not like what Nguruvi3 said kwamba ina maana mgonjwa akipelekwa Muhimbili na asipopona ndio tugeukie Nzasa dispensary!! This's all about people to find a clear problem coz' your supporting materials proved wrong in other areas!!

I'll always repeat this...though education and experience is necessary, but it's not a sufficient condition for better performance. This statement proved right taking ukiangalia kwenye angles zingine. The biggest problem at ministerial level ni uwajibikaji na uadilifu.

I beg to disagree, she wont solve any problems kwa kuwa mwadilifu, she needs to up her game, and I am not talking education, we don't compare ministry of finance with other ministries, everywhere in the world people wait in anticipation for who will be at the helm of the finance, so its OK to say this is A VERY SENSITIVE JOB...check out Indian processLet us again assume, for the sake of argument, that Narendra Modi will become India’s prime minister shortly after May 16. Who, then, is most likely to succeed Palaniappan Chidambaram as finance minister? Here are five of the most likely candidates.Whoever takes over at the finance ministry will carry plentiful investor hopes for far-reaching economic reforms. Those doubtful that the right candidate can make a significant difference in this task, meanwhile, need only look at the impact of Chidambaram upon taking the job in late 2011.
Prior to his arrival, economic policy had drifted under the relatively indolent stewardship of Pranab Mukherjee, a minister who appeared to spend more time on Congress party business than fretting about his country’s cratering growth rate. When Mukherjee did turn his mind to reforms, they tended to be disastrous, as with the introduction of rules targeting Vodafone to allow the retrospective collection of taxation.
Chidambaram’s record is by no means perfect but by comparison it is impressive. He brought a speedy sense of administrative efficiency, introduced a range of liberalising reforms, and began prominent roadshows around the world to engage international investors.
Under Modi, were he to win, the situation would be different. Hope for reforms would already be high. The new finance minister’s challenge would be to deliver them.
Yet the opposition Bharatiya Janata Party has been far from clear on the specifics of its economic agenda, a fact that arguably makes the choice of finance minister even more important, given the leeway this gives to formulate particular policies when in office.
Equally, the new government’s first year — and especially its fabled first 100 days — will provide an important indicator of Modi’s willingness and ability to move forward with major structural reforms, from the introduction of a nationwide sales tax to measures cracking down on corporate corruption.
The ability to give away power will be important too, argues Arvind Panagariya, an economist whose work is often cited as an important influence on the BJP’s putative reform agenda. “The next finance minister must genuinely believe in federalism and cede powers to the states in a major way,” Panagariya argues.
“He should take seriously the line by Modi that business is not the business of government. And of course the ability that all finance ministers should have, to say ‘no’ to ministries that want to spend, spend, spend. Holding the line on the deficit and debt is absolutely essential,” he adds.
 
Wewe chunguza sana hizo wizara za fedha na elimu akikaa mvaa baraghashia au mvaa hijabu kelele zinakuwa nyingi sana.
Tatizo sio hijabu wala baraghashia lakini tatizo ni weledi wa uongozi wa hao watu. Katika histiria watu wa jamii hiyo huwa wanaushindwa uongozi kabisaaaa!!! Yaani hawana vipaji vya utawala
 
Kwa bongo sio kitu cha ajabu .kwa msahada Jembe hulihenda mbali sana hujui kwamba bongo tunapehana
 
Mwache kumsakama mama wa watu, kusoma na utendaji wa kazi ni vitu viwili tofauti mbona hamkumusakama January Makamba alieteuliwa kuwa naibu waziri ana elimu na uzoefu wa kiasi gani kushika nafasi hiyo. Kuna maraisi ambao hawakusoma kabisa wameendeleza nchi zao, ukitizama mifano mengi duniani.Elimu yake huyu mama inamtosha na ukitizama pia anaendelea kusoma, inatakiwa mumuhukumu kwa jinsi atakavyofanya kazi yake.
 
Kuna wengi tu waliungaunga na sasa ni maprofesa. Hata Salim Ahmed Salim aliungaunga lakini akawa katibu mkuu wa OAU. Naona huyu mama hana shida ila shida hamtaki mvaa hijabu akashika wizara ya fedha kama vile Ustadh Shukuru kawambwa alivyoshika wizara elimu.

Hapo kwenye nyekundu ndipo penyewe lakini kote wanazugazuga tu.

jidodo said:
Wewe chunguza sana hizo wizara za fedha na elimu akikaa mvaa baraghashia au mvaa hijabu kelele zinakuwa nyingi sana.

Ohooo! hivi Prof. Lipumba aliyezua hoja hii si mvaa baraghashia??? Mbona mnajichanganya ?!
 
I beg to disagree, she wont solve any problems kwa kuwa mwadilifu, she needs to up her game, and I am not talking education, we don't compare ministry of finance with other ministries, everywhere in the world people wait in anticipation for who will be at the helm of the finance, so its OK to say this is A VERY SENSITIVE JOB...check out Indian processLet us again assume, for the sake of argument, that Narendra Modi will become India's prime minister shortly after May 16. Who, then, is most likely to succeed Palaniappan Chidambaram as finance minister? Here are five of the most likely candidates.Whoever takes over at the finance ministry will carry plentiful investor hopes for far-reaching economic reforms. Those doubtful that the right candidate can make a significant difference in this task, meanwhile, need only look at the impact of Chidambaram upon taking the job in late 2011.
Prior to his arrival, economic policy had drifted under the relatively indolent stewardship of Pranab Mukherjee, a minister who appeared to spend more time on Congress party business than fretting about his country's cratering growth rate. When Mukherjee did turn his mind to reforms, they tended to be disastrous, as with the introduction of rules targeting Vodafone to allow the retrospective collection of taxation.
Chidambaram's record is by no means perfect but by comparison it is impressive. He brought a speedy sense of administrative efficiency, introduced a range of liberalising reforms, and began prominent roadshows around the world to engage international investors.
Under Modi, were he to win, the situation would be different. Hope for reforms would already be high. The new finance minister's challenge would be to deliver them.
Yet the opposition Bharatiya Janata Party has been far from clear on the specifics of its economic agenda, a fact that arguably makes the choice of finance minister even more important, given the leeway this gives to formulate particular policies when in office.
Equally, the new government's first year - and especially its fabled first 100 days - will provide an important indicator of Modi's willingness and ability to move forward with major structural reforms, from the introduction of a nationwide sales tax to measures cracking down on corporate corruption.
The ability to give away power will be important too, argues Arvind Panagariya, an economist whose work is often cited as an important influence on the BJP's putative reform agenda. "The next finance minister must genuinely believe in federalism and cede powers to the states in a major way," Panagariya argues.
"He should take seriously the line by Modi that business is not the business of government. And of course the ability that all finance ministers should have, to say ‘no' to ministries that want to spend, spend, spend. Holding the line on the deficit and debt is absolutely essential," he adds.
Nsiande,
Sijasema kwamba uadilifu can solve this and that... ambacho nimekuwa nikisisitiza kwenye mada hii (na nyingine nyingi)ni kwamba tatizo kuu tulilo nalo ni uadilifu na uwajibikaji na ndio maana ingawaje wizara kadhaa zimekuwa zikiongozwa na wasomi wazuri tena wenye experience ya kutosha lakini wanashindwa ku-deliver. hakuna shahada ya uadilifu na uwajibikaji. Sasa hii post ya uwaziri inahitaji zaidi mtu mwadilifu na mwajibikaji. Lazima ukumbuke kwamba kwa muundo wa wizara zetu, mtendaji mkuu ni Katibu Mkuu... huyu waziri is just a symbolic figure na ndio maana kuna wengine wanafikia kusema waziri is like a a chief ministry spoke person.

Tukirudi kwa Katibu Mkuu ambae ndie mtendaji mkuu... huyu ni expert na amezungukwa na team of experts. Sasa. mathalani, inapotokea negotiation with donors(IMF, World Bank, n.k), waziri ndie anaongoza majadiliano lakini mada kwenye majadiliano husika yanakuwa yameshakuwa evaluated, analysed na mambo mengine yote na wataalamu husika. Ikiwa wanaenda kujadili suala la agricultural financing, tayari wataalamu wa masula ya agriculture/economics/n.k wanakuwa wameshamaliza kazi...waziri anaenda mezani kuongoza majadiliano na wala si kwamba basi ndo kila swali yeye atakuwa ndie anatakiwa kujibu ama kutolea ufafanuzi. So, what happen after successful negotiation? hapo ndipo inakuja role kuu ya waziri coz' ingawaje Katibu Mkuu ndie mtendaji lakini waziri ana administrative and political power ya kuhakikisha kila walichokubaliana mezani kinatekelezwa not only effectively but also efficiently. ikiwa tumepata loand/grant or whatever, hapo ndipo sasa waziri anatakiwa kuhakikisha every cent is routed to the right channel. haya yanawezekana tu ikiwa waziri husika ni mwadilifu na mwajibikaji... lakini niongeze kitu kingine hapa... KUJIAMINI. Hili la kujiamini ni muhimu vilevile coz' kwa muundo wa wizara zetu, Katibu Mkuu ana nguvu sana tena pengine kuliko waziri. Sasa hapa ndipo unapokuja umuhimu wa kujiamini kwa waziri kutokana na administrative and political power aliyonayo. Hili ndilo limemgharimi Kagasheki... yule mzee i think ni mwajibikaji mzuri na mwadilifu lakini amekosa confidence na ndio maana akawa anaishia kulia kulia kwenye media kuhusu namna gani anahujumiwa na katibu mkuu wake!!
 
Last edited by a moderator:
Hapo kwenye nyekundu ndipo penyewe lakini kote wanazugazuga tu.

aliyesema hayo no pro Lipumba. isitoshe kwan mkristo au mwisilamu akishika wadhifa ni kwa manufaa ya watu wa dini yake tu_? mpaka zama hizi mtu mzma unashikilia siraha ya udin?
 
Tatizo sio hijabu wala baraghashia lakini tatizo ni weledi wa uongozi wa hao watu. Katika histiria watu wa jamii hiyo huwa wanaushindwa uongozi kabisaaaa!!! Yaani hawana vipaji vya utawala

Acheni fikra duni.Aliyempa changamoto Mkuya ni Lipumba, sasa unasemaje tatizo ni hijabu na baragashia?Acha hzo bwana,kama watoto wa kambo,akikosea na akakanywa eti mama ananinyanyasa kwa sbbu sio mwanaye.
 
mkuya kumbe anapiga out, itabidi nijiongeze kwa huyu bibie.
 
Back
Top Bottom