Waziri wa Fedha amjibu Prof. Lipumba

Waziri wa Fedha amjibu Prof. Lipumba

Mbona ata TZ kwa sasa ipo ivo mfano kuna wanafunzi tumesoma nao degree lakini hawakusoma form six ila baada ya o level walijiunga na certificate then diploma na kujiunga na chuo kikuu....kwawale wanafunzi ambao hawataki kwenda high level long way to go ni kujinga na certificate mwaka mmoja then two yrs of diploma akifaulu anajoin chuo kikuu so kwa mwanafunz dizain atasoma three yrs tofauuti na two yrs of high level na anafaida pia ya kua na vyeti viwili cha certif na diploma
 
Mbona wavaa baragashia na wavaa hijabu wakipewa wizara za elimu na wizara ya fedha kelele zinakuwa nyingi au wizara hizo zina wenyewe? marehemu Kighoma Malima alizushiwa mejenga msikiti ofisini.
 
Inakuwaje pale ambapo akujakucha wewe umeshatayarisha mwamvuli, si usubiri kwanza.

Kama utakuwa umetayarisha mwanvuli kabla ya hakujakuchwa, lazima utakuwa umesikiliza utabili wa hali ya hewa usiku wake!!!
 
Mbona ata TZ kwa sasa ipo ivo mfano kuna wanafunzi tumesoma nao degree lakini hawakusoma form six ila baada ya o level walijiunga na certificate then diploma na kujiunga na chuo kikuu....kwawale wanafunzi ambao hawataki kwenda high level long way to go ni kujinga na certificate mwaka mmoja then two yrs of diploma akifaulu anajoin chuo kikuu so kwa mwanafunz dizain atasoma three yrs tofauuti na two yrs of high level na anafaida pia ya kua na vyeti viwili cha certif na diploma

Mkuu, umeandika vitu vya maana sana ila kwa kifupi! Kwa sasa Watanzania wengi wanapenda watoto wao wakimaliza O'Level wanajiunga na Cerificates au Diploma kama ana Division One! Akimaliza Diploma anaingia moja kwa moja Degree au Certificates na akawa amepata First Class, ana ingia Degree!

Na kuna faida hapa, ni kuwa anakuwa tayari ameanza ku-specialize kwa mf. Diploma/Certificate ya Pharmacy, Medical, Accountancy, Law, etc etc. Ukienda A'Leve na kumaliza PCM,PCB, EGM,HGE, HGK etc bado hauna specialization ya maana ya kukuwezesha kuajiriwa na pia unaweza mf. ukaenda kusoma B.Com wakati ulipiga PCM or PCB.

Binafsi, kwa watoto wangu route ninayoipenda ni hiyo, shida ni pale wasipofaulu vizuri level ya Diploma au Certificate, kuingia Chuo, kusoma Degree itakuwa shida sana, lakini all in all ukiwa na uwezo basi utapata tu shule hata nchi nyingine!

Back to topic, shida ya CV ya Mdada Saada ni kuwa imeandikwa vibaya na pia huwezi kuwa na Diploma ukaingia Masters uless otherwise alisoma Advance Diploma na siyo Diploma.

All in all, kwa CV yake, na uzoefu wake, ni mchanga sana kuongoza Wizara nyeti kama ile, nawashangaa watu wanaosema eti kwa kuwa kuna Makatibu wakuu Prof. na Dr. na Manaibu waliosomea Uchumi basi hiyo haina shida, kwa maana hiyo wanataka kutuambia kuwa, hata Juma Nkamia angeweza kuwa Waziri wa Fedha, ha ha ha, this is more than a joke!
 
Huyu dada naye angenyamaza tu, ukipigwa ikulu si muda wa kupiga makelele, bora kusikilizia mumivu na kujipanga tu.

Kikwete anajiteulia tu, hata Mulugo alimteua tu mpaka alipo ona ananyoshewa sana vidole kwa kugushi ndo akatuma watu wa TISS ndo wakastukia ukweli na kwaasa Mulugomefukuzwa kazi
 
Mbona wavaa baragashia na wavaa hijabu wakipewa wizara za elimu na wizara ya fedha kelele zinakuwa nyingi au wizara hizo zina wenyewe? marehemu Kighoma Malima alizushiwa mejenga msikiti ofisini.
?????? mh!
 
Mr Ombeni Sefue are really serious???Dah huku ndio kumshauri rais katika suala nyeti kama hili???nakumbuka baadhi ya mawaziri walipewa ubunge ili wapewe huo uwaziri kwa kua ni wasomi na watendaji kwelikweli na kweli hata ukisoma profile zao zimeshiba na zinaendana na positions zao. Hata wanapotuwakilisha katika mikutano ya mawaziri wenzao huko nje at least they have a lot in common. sasa hudada yetu leo hii anaenda kukaa hata na waziri wa fedha wa Kenya ataongea nini? binafsi nidhani huyu dada kawekwa kimkakati kuelekea uchaguzi 2015, na ndo maana Mwigulu kawekwa hapo makusudi...hivi Mwigulu akitoa hela hazina kwa ajili ya chama , dada atamwambia nini kwa mfano nakati kwenye kacha ni boss wake na chama ndo kimemueda dada hapo...complete conflict of power/interest nakadharika.......
Minister profile from Parliament web Parliament of Tanzania

MEMBER OF PARLIAMENT CV

[TABLE="width: 100%"]
[TR]
[TH="colspan: 3, align: left"]GENERAL
[/TH]
[/TR]
[TR]
[TD]Salutation
[/TD]
[TD]Honourable
[/TD]
[TD="width: 42%, align: center"]Member picture
[/TD]
[/TR]
[TR]
[TD]First Name:
[/TD]
[TD]Saada
[/TD]
[/TR]
[TR]
[TD]Middle Name:
[/TD]
[TD]Mkuya
[/TD]
[/TR]
[TR]
[TD]Last Name:
[/TD]
[TD]Salum
[/TD]
[/TR]
[TR]
[TD="width: 20%"]Member Type:
[/TD]
[TD="width: 38%"]Nominated by the President
[/TD]
[/TR]
[TR]
[TD]Constituent:
[/TD]
[TD]No Constituency
[/TD]
[/TR]
[TR]
[TD]Political Party:
[/TD]
[TD]CCM
[/TD]
[/TR]
[TR]
[TD]Office Location:
[/TD]
[TD]Dar Es Salaam
[/TD]
[/TR]
[TR]
[TD][/TD]
[TD][/TD]
[/TR]
[TR]
[TD]Office E-mail:
[/TD]
[TD]ssalum@parliament.go.tz
[/TD]
[/TR]
[TR]
[TD]Member Status:
[/TD]
[TD]Current Member
[/TD]
[/TR]
[TR]
[TD]Date of Birth
[/TD]
[TD][/TD]
[/TR]
[/TABLE]
[TABLE="width: 100%"]
[TR]
[TH="colspan: 5, align: left"]EDUCATION
[/TH]
[/TR]
[TR]
[TH="width: 35%"]School Name/Location
[/TH]
[TH="width: 27%"]Course/Degree/Award
[/TH]
[TH="width: 15%, align: center"]Start Date
[/TH]
[TH="width: 13%, align: center"]End Date
[/TH]
[TH="width: 10%, align: center"]Level
[/TH]
[/TR]
[TR]
[TD][/TD]
[TD="align: center"]Master Of Finance
[/TD]
[TD="align: center"]2008
[/TD]
[TD="align: center"]2010
[/TD]
[TD="align: center"]MASTERS DEGREE
[/TD]
[/TR]
[TR]
[TD][/TD]
[TD="align: center"]Business Study
[/TD]
[TD="align: center"]1997
[/TD]
[TD="align: center"]1999
[/TD]
[TD="align: center"]ADV DIPLOMA
[/TD]
[/TR]
[TR]
[TD][/TD]
[TD="align: center"]Courses for The Second Degree in Business
[/TD]
[TD="align: center"]2000
[/TD]
[TD="align: center"]2002
[/TD]
[TD="align: center"]CERTIFICATE
[/TD]
[/TR]
[TR]
[TD]Lumumba
[/TD]
[TD="align: center"]'A' Level
[/TD]
[TD="align: center"]1993
[/TD]
[TD="align: center"]1995
[/TD]
[TD="align: center"]HIGH SCHOOL
[/TD]
[/TR]
[TR]
[TD]Hamamni
[/TD]
[TD="align: center"]'O' Level
[/TD]
[TD="align: center"]1989
[/TD]
[TD="align: center"]1992
[/TD]
[TD="align: center"]SECONDARY
[/TD]
[/TR]
[TR]
[TD]Kisiwandui
[/TD]
[TD="align: center"]Primary Certificate
[/TD]
[TD="align: center"]1982
[/TD]
[TD="align: center"]1988
[/TD]
[TD="align: center"]PRIMARY
[/TD]
[/TR]
[/TABLE]
[TABLE="width: 100%"]
[TR]
[TH="colspan: 4, align: left"]EMPLOYMENT HISTORY
[/TH]
[/TR]
[TR]
[TH]Company Name
[/TH]
[TH="align: center"]Position
[/TH]
[TH="align: center"]From
[/TH]
[TH="align: center"]To
[/TH]
[/TR]
[TR]
[TD]Ministry Of Finance and Economic
[/TD]
[TD]Minister Of Finance and Economic
[/TD]
[TD="align: center"]2014-01-20
[/TD]
[TD="align: center"]2015
[/TD]
[/TR]
[TR]
[TD]Ministry Of Finance and Economic
[/TD]
[TD]Deputy Minister of Finance and Economic
[/TD]
[TD="align: center"]2012
[/TD]
[TD="align: center"]2014-01-20
[/TD]
[/TR]
[TR]
[TD]Zanzibar
[/TD]
[TD]Commissioner of Finance
[/TD]
[TD="align: center"]2011
[/TD]
[TD="align: center"][/TD]
[/TR]
[TR]
[TD]Treasure Zanzibar
[/TD]
[TD]Administratve Officer
[/TD]
[TD="align: center"]2006
[/TD]
[TD="align: center"][/TD]
[/TR]
[TR]
[TD]Treasure Zanzibar
[/TD]
[TD]Officer
[/TD]
[TD="align: center"]2003
[/TD]
[TD="align: center"][/TD]
[/TR]
[/TABLE]

[TABLE="width: 100%"]
[TR]
[TH="colspan: 4, align: left"]POLITICAL EXPERIENCE
[/TH]
[/TR]
[TR]
[TH="class: text_menu, width: 47%"]Ministry/Political Party/Location
[/TH]
[TH="class: text_menu, width: 31%, align: center"]Position
[/TH]
[TH="class: text_menu, width: 12%, align: center"]From
[/TH]
[TH="class: text_menu, width: 10%, align: center"]To
[/TH]
[/TR]
[TR]
[TD]CCM
[/TD]
[TD]Member
[/TD]
[TD="align: center"]2000
[/TD]
[/TR]
[/TABLE]





source:
Parliament of Tanzania
 
Kama utakuwa umetayarisha mwanvuli kabla ya hakujakuchwa, lazima utakuwa umesikiliza utabili wa hali ya hewa usiku wake!!!
Ndio uufunguwe ndani ya nyumba si usibiri utoke nje na mvua inyeshe. Ngoja kwanza uone huyo mama kama kazi anaiweza ama la, ikiwa aiwezi angekataa yeye lakini mradi mwenyewe kaipokea apewe muda that is how you conclude utabiri or judge through results sio assumptions tu.
 
Tusimlaumu sana Rais Kikwete kwa kumteua huyu mama kwa sababu kuu mbili 1. katiba ya sasa inamruhusu kuteua hata aliye darasa la saba kuwa waziri 2. CCM imefilisika, haina tena watu wanaofaa kushika nyadhifa za uwaziri ndo maana mtu kama Mwigulu eti naye kapewa unaibu. kwa kweli nchi hii CCM hawaiwezi tena. Cha msingi ni kubadili katiba na kuiondoa CCM madarakani ifikapo 2015 tuweke majembe halisi ya Chadema ulingoni. Hata kama katiba itakuwa bado kukamilika kwa mtazamo wangu baraza la mawaziri litakuwa linatisha kama ifuatavyo.. Rais DR. Slaa, waziri Mkuu Mbowe, Waziri wa sheria na katiba Tundu Lissu, Waziri wa mambo ya Ndani Godbless Lema, Waziri wa Mambo ya nje John Mnyika, Maliasili na Utalii Mchungaji Peter Msigwa, waziri wa ardhi Halima Mdee nk nk nk..... patakuwa hapatoshi..

Nimeipenda hiyo kamanda
 
Ngoja tumsaidie huyu Dada maana naamini ni memba tu humu JF
Mimi ngelikuwa ndiye Waziri Mteule ningeanza kuwaonyesha watanzania mambo yafuatayo:-
1. Katika Bajeti yangu ya Kwanza (2014/15), ningefuta ununuzi wa magari yote ya thamani Serikalini kwa ngazi zote isipokuwa mawaziri na Wakuu wa Mikoa. Badala yake ningeruhusu ununuzi wa RAV4, SUZUKI na Hard Top tu, kwani anaweza kutoa mwongozo huu. Sambamba na hilo, ningetangaza kuyapiga mnada magari yote ya thamani ya Serikali yanayotumiwa na Wakurugenzi, Makamishna, Makatibu Wakuu na mfano wake kwa nchi nzima. Kwani kimsingi hali ya Miundombinu yetu kwa sasa inaridhisha hivyo hatuna sababu ya kutumia magari haya. Hakuna sababu kwanini Mkurugenzi afuatwe na V8 masaki, Osterbay au Tabata hali ya kuwa afisa wake mwenye cheo cha principal anaekaa Chanika anatumia Vitz yake. Ni wakati wa kubadilika watanzania haya magari si kwamba gharama tu kuyanunua, lkn pia ni gharama ya kuya-run, na wengi wanayatumia kwa shughuli binafsi hadi weekends. Hili lingeonyesha mweleko wake katika matumizi ya Serikali ambacho ndio kilio kikuuu cha Nchi.


2. Misamaha ya Kodi iliyopo kisiasa yote ningeifutilia mbali, bila kujali malalamiko yatakayotolewa na wadau. Hakuna ubishi kwamba Taasisi zinazopokea misamaha ndizo zenye huduma ghali kuliko kawaida.

3. Ningeanzisha mchakato (kwa kushirikiana na mamlaka za ajira zilizopo) ajira za mkataba wa miaka 5 (renewable under performance) kwa taasisi zilizo chini ya Wizara ya Fedha (TRA, BOT, Posta nk). Hawa jamaa wamejisahau sana kupita maelezo, wao wanajua kutengeneza "deal" tu basi. Au ningeangalia namna ya ku-harmonize salaries zinazolipwa kwa Agencies zilizopo mfano TRA, BOT, EWURA, SUMATRA, TCRA, TMAA nk. Ni kwanini hizi taasisi zina mishahara mikubwa sana lakini ndizo zinazoongoza kwa poor performance isiyojali wananchi? Na ndizo zinazooonekana kupiga deal za ajabu ajabu. Na pia zinaongeza kudorora kwa ufanisi katika mawizara.

4. Tatu ningeanzisha mchakato wa "special vetting" (kwa kushirikiana na mamlaka husika za ajira) kwa waajiriwa wa taasisi hizi kujua uzalendo wao kwa Taifa na utayari wao wa kuishi kulingana na kipato halali cha kazi zao

5. Tano ningeondoa au kupunguza kiwango cha fedha wanazolipwa watumishi wanaosafiri nje ya nchi na badala yake ziongezwe kwenye mishahara badala ya kufanya watu wawe wacheza deals za safari za nje zisizo na tija. Pia ningekuwa serious zaidi ya Pinda kwenye suala la Posho wanazolipana. Sambamba na hilo, ningetoa muongozo wa kupiga marufuku mafunzo ya muda mfupi kwenda vyuo vya nje ya nchi. Badala yake wizara/idara zitafute wataalam au taasisi zilizobobea zije kutoa mafunzo hapa (hata kama watumishi hao walipwe posho sawa na nje). Hii Sera imeisaidia sana nchi ya Rwanda kupata wataalamu wazuri wa kuwafundisha watumishi wao ndani ya Rwanda.

6. Ningeanzisha mchakato mahsusi wa kuimarisha e-payments badala ya mfumo wa cash huu ambao unapoteza fedha nyingi sana. Pamoja na kupanua wigo wa Kodi effective na bajeti ijayo.

Hivi vingekuwa dira yangu na ikitokea nakutana na vikwazo vya wanasiasa, au mamalaka yoyote then ninge-resign uwaziri, naenda kuwa mwalimu na kusibiri kufa.



Ndugu hivi kabisa unategemea kiongozi aliyeteuliwa kifevafeva ashinikize utaratibu wa Vetting??

You are over selling her.she is nothing more than what she is. Mbebwaji.
 
Jamani jamani kuna watu watakuja kuzikana komenti zao hapa hapo baadae. Na JF naisifu kwa kutunza kumbu kumbu
 
Mbona wavaa baragashia na wavaa hijabu wakipewa wizara za elimu na wizara ya fedha kelele zinakuwa nyingi au wizara hizo zina wenyewe? marehemu Kighoma Malima alizushiwa mejenga msikiti ofisini.

hawa machadema ni wabaguzi sana...! lipumba nae ana stress za maisha .ingekuwa ni mushi.kilewo au mramba ungeona kimya. we subiri tu sasa hivi kila mtu apigie kura mtu wa dini yake tu...halafu tuone itakuwaje..
 
Wizara ile inaongozwa na watu makini sana. Yupo Dr.Likwelile (PST), na naibu wake Professor Adolph Mkenda, Naibu Katibu Mkuu. Hawa watu wawili ni wachumi waliobobea. Hawa wawili ndio watendaji wakuu wa wizara. Yule mama yupo pale Kisiasa tu. Hana lolote. Asiwapotezee muda wenu bure. Mwacheni dada wa watu, sio kosa lake.


Mkuu umeongea..hebu waambie wadanganyika wenzetu kuwa ... Utendaji na Siasa ni vitu viwili tofauti... Hata mimi wa Division 5 naweza kuwa waziri ila siwezi kuwa Permanent Secretary...
 
Mkuu umeongea..hebu waambie wadanganyika wenzetu kuwa ... Utendaji na Siasa ni vitu viwili tofauti... Hata mimi wa Division 5 naweza kuwa waziri ila siwezi kuwa Permanent Secretary...

Mmmmmmnnnnnnnnnnnnnnnnnnhhhhhhhhhhhhhhhhhhhhhhhhhhhhhhh!!!!!!!!!!
Pengine ndio maana nchi imefikia hapa ilipo. Shukran kwa maoni yako makini
 
Mie sioni tatizo la elimu yake ila tatizo ninaloliona ni 'seniority'. Kama alitakiwa Mzanzibari kuongoza wizara hiyo basi angeteuliwa mh Omari Yusuf Mzee ambaye ni waziri wa pesa Zanzibar.
 
Yeye ni Professor na atuambie amelifanyia nini Taifa kulisogeza mbele? Hili la kudharau watu kabla ya kuona utendaji ni tabia ya uchoyo wa kielimu!

Mabadiliko makubwa ya kiuchumi yaliyotokea kipindi cha Rais wa awamu ya pili Ali Hassan Mwinyi yalitokana na Profesa Lipumba kuwa mshauri mkuu wake katika masuala ya kiuchumi na ndio maana ana upeo katika uwanja huo. Pengine wewe bado kizazi cha Lulu usiyejua historia ya Lipumba katika nchi hii, na pengine kuathiriwa na itikadi tunabaki kushabikia kama simba na yanga tu.
 
alimaliza o level mwaka 1993 akamaliza A level mwaka 1995. Ilikuwaje? Je, alisoma kidato cha tano na cha sita katika shule ya Lumumba kwa mwaka mmoja
 
Back
Top Bottom