Waziri wa Fedha amjibu Prof. Lipumba

Waziri wa Fedha amjibu Prof. Lipumba

Mr Ombeni Sefue are really serious???Dah huku ndio kumshauri rais katika suala nyeti kama hili???nakumbuka baadhi ya mawaziri walipewa ubunge ili wapewe huo uwaziri kwa kua ni wasomi na watendaji kwelikweli na kweli hata ukisoma profile zao zimeshiba na zinaendana na positions zao. Hata wanapotuwakilisha katika mikutano ya mawaziri wenzao huko nje at least they have a lot in common. sasa hudada yetu leo hii anaenda kukaa hata na waziri wa fedha wa Kenya ataongea nini? binafsi nidhani huyu dada kawekwa kimkakati kuelekea uchaguzi 2015, na ndo maana Mwigulu kawekwa hapo makusudi...hivi Mwigulu akitoa hela hazina kwa ajili ya chama , dada atamwambia nini kwa mfano nakati kwenye kacha ni boss wake na chama ndo kimemueda dada hapo...complete conflict of power/interest nakadharika.......

Jamani naomba nisaidieni kwani Zanzibar elimu ya msingi ni miaka minane? 1982-1989
 
alimaliza o level mwaka 1993 akamaliza A level mwaka 1995. Ilikuwaje? Je, alisoma kidato cha tano na cha sita katika shule ya Lumumba kwa mwaka mmoja
Pigeni kelele lakini hivi karibu ataitwa Dr. Saada Mkuya.
 
NasDaz,

..kwa CV hiyo ha-qualify kuwa waziri wa fedha.

..hebu angalie CV za mawaziri wa fedha wa nchi zinazofanya vizuri kama Botswana, Ghana, Mauritius, etc.

..wizara ya fedha siyo mahali pa kumuweka mtu ambaye siyo mzito ktk taaluma ya uchumi, mabenki,au fedha.

..hata Manaibu waziri ktk wizara ya fedha wanatakiwa wawe na utaalamu na uzoefu ktk sekta wanazosimamia.

..hebu angalia CV ya Seth Tekper waziri wa fedha wa Ghana:
GhanaWeb, Validation Error

..angalia wasifu wa Xavier-Luck Duval waziri wa fedha wa Mauritius:
Xavier-Luc Duval - Wikipedia, the free encyclopedia

cc Mchambuzi, Ogah, Sikonge,
Now you're talking JokaKuu,
Now tell me; kwanini utoe reference ya CV mzuri za mawaziri wa fedha wa nje badala ya kutoa reference CV mzuri ya mawaziri wa ndani ili tujiridhishe kwamba wasomi hapa nyumbani? Don't you think there's something wrong hapo? Kwa sababu, ikiwa una-defend hoja yako kwa kuonesha mawaziri wasomi wa nje badala ya reference kuwa mawaziri wasomi wa ndani basi simple conclusion hapo ni kwamba kumbe tatizo la mawaziri/watendaji wetu si elimu bali something else. Look Wizara ya Elimu, Waziri ni Doctor(PhD), Katibu Mkuu Professor na baadhi ya Wakurugenzi nao ni madaktari/maprofesa. Nenda pale Wizara ya Kilimo uone Madaktari walivyojazana...what do they do? Tuna wazomi kila idara na taasisi lakini performance ni poor as compared to private sector ambako majority ni first degree holders....WHY? Does it require university degree or a piece of research to know kwamba tatizo kubwa la nchi hii ni uwajibikaji na wala si issue kama za huyu mama?

Let me conclude by telling you this. Hao uliowatolewa mfano kama wana mafanikio basi mafanikio hayo yanachangiwa na mambo makubwa mawili; UWAJIBIKAJI NA UADILIFU, hayo ndiyo mambo makubwa ambayo tumeyakosa nchi hii.
 
Last edited by a moderator:
Hapa mtaani kwangu kwa nyuma ya nyumba yetu kuna jamaa wana Software ya kugushi vyeti vya kila aina na ndio kazi yao, kwahiyo kwa Tanzania watu kua na vyeti vya elimu ya kila aina sio tatizo sana inawezekana! Lipumba tafuta hoja nyingine.
Mbona watanzania wengi tuu wakiwemo wabunge na mawaziri wanavyeti vya kugushi na walishatajwa na "msemakweli" hawakuchukuliwa hatua yoyote,,,bila kuuondoa huu ukoma(ccm) kila kitu ni hovyohovyo tuu!!
 
Mkuu Mangikule ebu twende pole pole. Kama unawasiwasi na huyu mama basi itabidi upendekeze ni nani anweza kufanya hiyo kazi zaidi na uwe na vidhibitisho! Ninarudia Mkuu wangu, kuwa na vyeti kama PHDs hakuna chochote. Basi ninaomba nikujazie kidogo hapa mini nina master in M engineering na sina Phd na wala siitaki lkn performance yangu kawaulize hao wazungu mnaowapigia magoti na kuwapa mali zetu kwa bei ya che. Nimedeliver katika makampuni yao na sasa nitakuja nao niwafanyie kazi hapo TZ! Tuache mchezo wa vyeti tumpe huyu mama muda afanye kazi yake. Ni makosa makubwa kuanza kuangalia shule sijui degree ipi nk. Cha maana zaidi ni kudeliver regardless ana vyeti vya wapi. Hizo phds za kusoma katika kuunga unga hakuna chochote ndugu yangu!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!
Sijagusa elimu hebu nisome tena! Ninazungumzia uzoefu! ninazungumzia track record! wewe hapa umebrag kuhusu track record yako! hatuhitaji kumjaribu mtu katika kazi kama hizi! anatakiwa achaguliwe mtu wote tukubali!, Kosa na dosari kubwa ni kujaribu kuficha lolote! When you go politics all of what is yours should be public!! A public figure who deserves to be paid through our hard earned resources/tax should be known inside out to us!
 
kumbe...bado yuko shule na huku akipata uzoefu wa kazi. nimeipenda

Lipumba na watu wote wanaopenda maendeleo ya nchi hii wana kila sababu ya kushangaa uteuzi wa waziri wa fedha. Hii ndiyo nafasi nyeti kwa taifa lolote lakini TZ ni sehemu ya mafunzo kazini.
 
Ndio uufunguwe ndani ya nyumba si usibiri utoke nje na mvua inyeshe. Ngoja kwanza uone huyo mama kama kazi anaiweza ama la, ikiwa aiwezi angekataa yeye lakini mradi mwenyewe kaipokea apewe muda that is how you conclude utabiri or judge through results sio assumptions tu.

Unaufungua mwanvuli wako ukiwa barazani kwani ukiufungua nje la nyumba utakuwa umeishanyeshewa!!! Hawa watu wa aina ya huyu mama wanaopewa wadhifa kwa upendeleo tunawajua kuwa they cannot deliver lakini mkweree kwavile basis ya appointments zake ni uswahiba/ ushikaji hata wakivurunda he does not care; mifano tunayo mingi kama wakina KAWAMBWA, GHASIA WAMEVURUNDA KILA WIZARA LAKINI BADO ANAWABEBA at the expense ya maendeleo ya nchi.
 
Pigeni kelele lakini hivi karibu ataitwa Dr. Saada Mkuya.

Maneno yako sahihi kabisa hata mmoja nae kateuliwa kuwa naibu waziri wizara ya wakina mama na watoto eti nae siku hizi anaitwa DR.PINDI CHANA!! chi hii inamaajabu kweli yaliyoasisiwa na huyu mkwereee!!!
 
Unaufungua mwanvuli wako ukiwa barazani kwani ukiufungua nje la nyumba utakuwa umeishanyeshewa!!! Hawa watu wa aina ya huyu mama wanaopewa wadhifa kwa upendeleo tunawajua kuwa they cannot deliver lakini mkweree kwavile basis ya appointments zake ni uswahiba/ ushikaji hata wakivurunda he does not care; mifano tunayo mingi kama wakina KAWAMBWA, GHASIA WAMEVURUNDA KILA WIZARA LAKINI BADO ANAWABEBA at the expense ya maendeleo ya nchi.

Hivi wakati Kawambwa anateuliwa kwa mara ya kwanza kabisi mbona watu kama nyie hamkulalamika. Baada ya kuboronga ndiyo mnakuja kulalamika. Mulijua kuwa kwa sababu ni pHds holder basi kazi itakwenda! Ndiyo maana nasema tuwe na subira ili tupate muda wa kumujudge huyu dada yetu. Mkuu umesema ushikaji sijui una maana gani hapo? Naomba unijulishe.
 
lipumba ameumbukajee next tyme awe ana fanya uchunguzii khaa
 
Hivi wakati Kawambwa anateuliwa kwa mara ya kwanza kabisi mbona watu kama nyie hamkulalamika. Baada ya kuboronga ndiyo mnakuja kulalamika. Mulijua kuwa kwa sababu ni pHds holder basi kazi itakwenda! Ndiyo maana nasema tuwe na subira ili tupate muda wa kumujudge huyu dada yetu. Mkuu umesema ushikaji sijui una maana gani hapo? Naomba unijulishe.

wizara kama hii nyeti siyo mahali pa kufanyia majaribio! So akishaboronga ndo tuanze kuhoji!! Hii ni sawa na mtu amezama kwenye baharini alafu unamleta muokoaji asiyejua kuogelea! Hiv ni nini kitatokea hapo? Jibu unalo
 
Minister profile from Parliament web Parliament of Tanzania

MEMBER OF PARLIAMENT CV

[TABLE="width: 100%"]
[TR]
[TH="colspan: 3, align: left"]GENERAL[/TH]
[/TR]
[TR]
[TD]Salutation[/TD]
[TD]Honourable[/TD]
[TD="width: 42%, align: center"]Member picture[/TD]
[/TR]
[TR]
[TD]First Name:[/TD]
[TD]Saada[/TD]
[/TR]
[TR]
[TD]Middle Name:[/TD]
[TD]Mkuya[/TD]
[/TR]
[TR]
[TD]Last Name:[/TD]
[TD]Salum[/TD]
[/TR]
[TR]
[TD="width: 20%"]Member Type:[/TD]
[TD="width: 38%"]Nominated by the President[/TD]
[/TR]
[TR]
[TD]Constituent:[/TD]
[TD]No Constituency[/TD]
[/TR]
[TR]
[TD]Political Party:[/TD]
[TD]CCM[/TD]
[/TR]
[TR]
[TD]Office Location:[/TD]
[TD]Dar Es Salaam[/TD]
[/TR]
[TR]
[TD][/TD]
[TD][/TD]
[/TR]
[TR]
[TD]Office E-mail:[/TD]
[TD]ssalum@parliament.go.tz[/TD]
[/TR]
[TR]
[TD]Member Status:[/TD]
[TD]Current Member[/TD]
[/TR]
[TR]
[TD]Date of Birth[/TD]
[TD][/TD]
[/TR]
[/TABLE]
[TABLE="width: 100%"]
[TR]
[TH="colspan: 5, align: left"]EDUCATION[/TH]
[/TR]
[TR]
[TH="width: 35%"]School Name/Location[/TH]
[TH="width: 27%"]Course/Degree/Award[/TH]
[TH="width: 15%, align: center"]Start Date[/TH]
[TH="width: 13%, align: center"]End Date[/TH]
[TH="width: 10%, align: center"]Level[/TH]
[/TR]
[TR]
[TD][/TD]
[TD="align: center"]Master Of Finance[/TD]
[TD="align: center"]2008[/TD]
[TD="align: center"]2010[/TD]
[TD="align: center"]MASTERS DEGREE[/TD]
[/TR]
[TR]
[TD][/TD]
[TD="align: center"]Business Study[/TD]
[TD="align: center"]1997[/TD]
[TD="align: center"]1999[/TD]
[TD="align: center"]ADV DIPLOMA[/TD]
[/TR]
[TR]
[TD][/TD]
[TD="align: center"]Courses for The Second Degree in Business[/TD]
[TD="align: center"]2000[/TD]
[TD="align: center"]2002[/TD]
[TD="align: center"]CERTIFICATE[/TD]
[/TR]
[TR]
[TD]Lumumba[/TD]
[TD="align: center"]'A' Level[/TD]
[TD="align: center"]1993[/TD]
[TD="align: center"]1995[/TD]
[TD="align: center"]HIGH SCHOOL[/TD]
[/TR]
[TR]
[TD]Hamamni[/TD]
[TD="align: center"]'O' Level[/TD]
[TD="align: center"]1989[/TD]
[TD="align: center"]1992[/TD]
[TD="align: center"]SECONDARY[/TD]
[/TR]
[TR]
[TD]Kisiwandui[/TD]
[TD="align: center"]Primary Certificate[/TD]
[TD="align: center"]1982[/TD]
[TD="align: center"]1988[/TD]
[TD="align: center"]PRIMARY[/TD]
[/TR]
[/TABLE]
[TABLE="width: 100%"]
[TR]
[TH="colspan: 4, align: left"]EMPLOYMENT HISTORY[/TH]
[/TR]
[TR]
[TH]Company Name[/TH]
[TH="align: center"]Position[/TH]
[TH="align: center"]From[/TH]
[TH="align: center"]To[/TH]
[/TR]
[TR]
[TD]Ministry Of Finance and Economic[/TD]
[TD]Minister Of Finance and Economic[/TD]
[TD="align: center"]2014-01-20[/TD]
[TD="align: center"]2015[/TD]
[/TR]
[TR]
[TD]Ministry Of Finance and Economic[/TD]
[TD]Deputy Minister of Finance and Economic[/TD]
[TD="align: center"]2012[/TD]
[TD="align: center"]2014-01-20[/TD]
[/TR]
[TR]
[TD]Zanzibar[/TD]
[TD]Commissioner of Finance[/TD]
[TD="align: center"]2011[/TD]
[TD="align: center"][/TD]
[/TR]
[TR]
[TD]Treasure Zanzibar[/TD]
[TD]Administratve Officer[/TD]
[TD="align: center"]2006[/TD]
[TD="align: center"][/TD]
[/TR]
[TR]
[TD]Treasure Zanzibar[/TD]
[TD]Officer[/TD]
[TD="align: center"]2003[/TD]
[TD="align: center"][/TD]
[/TR]
[/TABLE]

[TABLE="width: 100%"]
[TR]
[TH="colspan: 4, align: left"]POLITICAL EXPERIENCE[/TH]
[/TR]
[TR]
[TH="class: text_menu, width: 47%"]Ministry/Political Party/Location[/TH]
[TH="class: text_menu, width: 31%, align: center"]Position[/TH]
[TH="class: text_menu, width: 12%, align: center"]From[/TH]
[TH="class: text_menu, width: 10%, align: center"]To[/TH]
[/TR]
[TR]
[TD]CCM[/TD]
[TD]Member[/TD]
[TD="align: center"]2000[/TD]
[/TR]
[/TABLE]





source:
Parliament of Tanzania
Sasa ilikuwaje vyuo alivyosoma havikuoneshwa na kwanini wasifu huu uliingizwa katika website ya bunge ukiwa haujakamilika? Maelezo yake yanapingana na wasifu wake kwenye wavuti ya bunge.
 
Huyu mama hatoshi katika nafasi yake, period. Kama ni uteuzi wa kisiasa kulenga gender equity au muungano, katika nafasi hii mamlaka ya uteuzi ilishauriwa vibaya.

Mbali na changamoto mbalimbali za uchumi wetu ambazo sidhani kama ataweza kukabiliana nazo, pia katika nchi yoyote ile kuelekea uchaguzi mkuu, uchumi wa nchi huyumba. Kwa taifa letu tunakabiliwa na hatari ya kupinduka kabisa.



Sent from my BlackBerry 8520 using JamiiForums
Mchambuzi,
Do you believe kwamba endapo (say) angekuwa ni PhD Holder and probably a Professor with First Class in undergraduate and master degree level from one of the reputable university duniani basi ndo angetosha kwenye hiyo nafasi?! Do you believe that? If YES, can you prove it in contrast kwamba Minister this and that, did this and that; in fact great job simply because s/he's a professor or graduated from a very reputable university! Hivi kweli tatizo kubwa la nchi hii ni mawaziri kuwa akina Kalumekenge au uwajibikaji na uadilifu? We'd Professor Mbilinyi back then; what did he do zaidi ya kukumbwa na kashifa za ufisadi? We'd Dr. Kagame back then ambae hata kama hakuwa wizara ya fedha lakini alikuwa kwenye very sensitive ministry, uchumi na mipango! Alifanya nini zaidi ya kushirikiana na Mkapa kuuza mashirika yetu? We'd Mungai, one of Havard guys; what did he do in education zaidi ya ku-introduce maamuzi magumu yasiyo na tija kwenye sekta ya elimu? What about Daktari Kawambwa na timu yake ya wasomi akina Profesa Mchome; what are they doing in education sector?

Anyway, this's not about kuhalisha ya sasa kwa kuangalia mapungufu ya zamani but is all about telling you kwamba tatizo la watendaji wa nchi hii si elimu otherwise tungekuwa far far away coz' nchi ukiondoa vyuo vikuu, eneo lingine ambalo limejaa wasomi ni kwenye wizara zetu na taasisi zingine za serikali lakini si ajabu wale wenye elimu ya kawaida wakawa ndo good performers kuliko hao ma-PhD holders! Look kwenye private sectors, watendaji wengi ni wale wenye elimu ya kawaida sana tena kutoka IFM, CBE, DIT and the like lakini bado ni good performers kuliko hao kutoka reputable universities walioko wizarani tena wakiwa na First Class!

Ningekubaliana na hoja za watu endapo wangesema hapa ni namna gani alikuwa underperformer alipokuwa Kamishina wa Fedha huko Zanzibar!
 
Last edited by a moderator:
Huyu dada ni mujibikaji kwelikweli na yuko bright hata maprofesa wengi ukiangalia elimu zao walipitia za kuungaunga hivihivi. mama chapa kazi usisikilize majingu.
 
Sasa ilikuwaje vyuo alivyosoma havikuoneshwa na kwanini wasifu huu uliingizwa katika website ya bunge ukiwa haujakamilika? Maelezo yake yanapingana na wasifu wake kwenye wavuti ya bunge.
Hatuko mahakamani hapa. Ameshakuwa waziri na watanzania tunamuamini.

 
toka diploma aka-hover hadi masters, no first degree?
 
Huyu dada ana bahati ya mtende, ndani ya miaka 10 tu katoka uafisa hadi uwaziri? Lipumba bado ni msugua soli anautafuta urais! Hii ndo ukisikia huwezi shindana na mwanamke!

Minister profile from Parliament web Parliament of Tanzania


[TABLE="width: 100%"]
[TR]
[TH="colspan: 4, align: left"]EMPLOYMENT HISTORY[/TH]
[/TR]
[TR]
[TH]Company Name[/TH]
[TH="align: center"]Position[/TH]
[TH="align: center"]From[/TH]
[TH="align: center"]To[/TH]
[/TR]
[TR]
[TD]Ministry Of Finance and Economic[/TD]
[TD]Minister Of Finance and Economic[/TD]
[TD="align: center"]2014-01-20[/TD]
[TD="align: center"]2015[/TD]
[/TR]
[TR]
[TD]Ministry Of Finance and Economic[/TD]
[TD]Deputy Minister of Finance and Economic[/TD]
[TD="align: center"]2012[/TD]
[TD="align: center"]2014-01-20[/TD]
[/TR]
[TR]
[TD]Zanzibar[/TD]
[TD]Commissioner of Finance[/TD]
[TD="align: center"]2011[/TD]
[TD="align: center"][/TD]
[/TR]
[TR]
[TD]Treasure Zanzibar[/TD]
[TD]Administratve Officer[/TD]
[TD="align: center"]2006[/TD]
[TD="align: center"][/TD]
[/TR]
[TR]
[TD]Treasure Zanzibar[/TD]
[TD]Officer[/TD]
[TD="align: center"]2003[/TD]
[TD="align: center"][/TD]
[/TR]
[/TABLE]


source:
Parliament of Tanzania

Tusubiri kuprove ule msemo "Ukimuelemisha mwanamke, ume-elimisha jamii nzima" the same applied "Ukimpa mapesa mwanamke, umeipa Jamii nzima"!
 
Pigeni kelele lakini hivi karibu ataitwa Dr. Saada Mkuya.

Kwa Tanzania hilo sio la kustaajabisha kwani hata waliobobea kwenye miti shamba na ndumba nao wanaitwa Prof. sembuse Dr.
 
Mabadiliko makubwa ya kiuchumi yaliyotokea kipindi cha Rais wa awamu ya pili Ali Hassan Mwinyi yalitokana na Profesa Lipumba kuwa mshauri mkuu wake katika masuala ya kiuchumi na ndio maana ana upeo katika uwanja huo. Pengine wewe bado kizazi cha Lulu usiyejua historia ya Lipumba katika nchi hii, na pengine kuathiriwa na itikadi tunabaki kushabikia kama simba na yanga tu.


Usitudanganye! Mabadiliko aliyofanya Mwinyi alianzia Zanzibar ambako aliibadilisha kwa kipindi cha mwaka mmoja na nusu huku akiiacha Tanzania Bara nyuma kabisa kiuchumi.
Ni kujidanganya kuwa mabadiliko ya uchumi yaliletwa na mshauri (Lipumba). Hivyo angekuwa na uwezo huo angeachwa kwenye mataa hadi kuokotwa na Seif?
 
Back
Top Bottom