Waziri wa Fedha amjibu Prof. Lipumba

Waziri wa Fedha amjibu Prof. Lipumba

very interesting.. wasomi waliobobea na wachapa kazi wapo rundo lkn ....

Mkuu kubebea ndiyo nini? Tumpe huyu mama muda afanye kazi tu halafu akishindwa muanze kuongea. Eti kuna wasomi waliobebea!!!!!! Haya huyo mwenye PHD ktk wizara ya elimu emefanya nini? Nasikia tena kuna prototyping ya kufanya shule zote za msingi zijifunze masomo yote ktk kiingereza! Jiulize, walimu wako wapi wa kufundisha ktk primary schools masomo yote ktk kiingereza! Jamani we have to be fair, huyu mama apewe muda afanye kazi yake.
 
Mara mtasikia Prof. Maji Marefu nae kapewa wizara! Maajabu ya uteuzi serikalini Tanzania hayaishi
 
Hivi lipumba vyeti vyake vimesaidia nini taifa hili make chama chenyewe kimekufa anachokiongoza leo anaanza kugombana na kubishana na watoto wa kike huyu mzee vipi kumbe kuwa na kichwa kikubwa siyo upeo wa mawazo.
nyanokh oooooooooooooooooooo!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!1
 
Elimu ya Open ya Mwaka 2009 Ilikuwa ya kujibu paper kwa kuandikiwa Assigments na mimi nimeshiriki kumuandikia Anne Kilango na Mama Karume Zanzibar yaan Kichwan hakuna kitu hao ila siku hizi Mfumo wa elimu yao ume change walau kuna uafadhari..
 
KAka Mangikule haya mambo yanaonekana Tanzania tu halafu kazi BOT lazima uwe na experience miaka mi5 wakt minister ndo yupo shule anasomea anachokifanya duh kweli BOT shamba darasa

uwaziri ni cheo cha kisiasa we mburura.hakihitaji proffesional..kwani katibu wa wizara hayupo? lipumba ana stress za maisha..
 
kutoka diploma hadi shahada ya pili wapi na wapi?
elimu yetu imekuwa ya makengeza namna hii?
serikali ya JK ni majanga.
Lipumba is more than right................

acha kukariri...system ya elimu nje ya nchi hilo linawezekana kabisa..tatizo lenu mmekremu mfumo wa elimu wa tanzania..muulize dr slaa atakuambia vizur maana ana phd lakin degree hana
 
akili ya lipumba imechoka sana...huyu mzee hana jipya .pamoja na maphd yake lakini hana mchango wowote kwa taifa
 
Hivi lipumba vyeti vyake vimesaidia nini taifa hili make chama chenyewe kimekufa anachokiongoza leo anaanza kugombana na kubishana na watoto wa kike huyu mzee vipi kumbe kuwa na kichwa kikubwa siyo upeo wa mawazo.

Apewe nafasi kulingana na elimu yake ndio utatambua mchango wake. Au kamuulize Museveni atakueleza umuhimu na mchango wake ktk uchumi wa Uganda. Sielewi hao watoto wa kike imekuwaje JK akawapa uwaziri!!! Eti watoto wa kike.....hii kali!!!!
 
kwasababu we ni mpuuzi lazima upuuze unajua kama mbunge ameamua kuweka CV yake kwny tovut ya bunge ujue ndo ukweli wake wote uko hapo ulitaka akatafute wap ukweli?? shughlisha akili yako kwani alichoongea lipumba na huyo dada Mukya kuna tofaut we umeelewa education background yake??
Hivi unadhani ulikuwa na sababu za msingi za msingi za kunitolea lugha ya kuudhi? Kijana, chunga sana vidole vyako wakati una-type; watu na ID karibu ya nne hii kwa ajili ya watu kama nyinyi.
 
Unataka kusemaje sasa???!!!!
Ulitaka CUF wawe na kiwanda cha cement au vipi???!!

Alilosema ndio hili linaendelea kujadiliwa sasa na tutajua mengi tu!!!!!!!
Kama pangekuwa na direct relationship kati ya academic qualification na perfromance basi CUF kingekuwa ndo top coz' kiongozi wake ni highly educated with unquestionable credibility in terms of academic performance! Au kwenye uongozi wa chama hapana haja ya kuwa na performance? Do we need to go back to classes kujifunza kwamba tatizo la Tanzania halitokani na viongozi ama watendaji kutokuwa na elimu kubwa? Kule kwenye wizara, majority kwenye top posts ni Master Degree holders and even PhD tena kutoka best universities lakini utashangaa aliyetoka CBE na advanced diploma yake ana-perform vizuri na kuwacha hawa!
 
It was within tolerable range!!!!
Mkuu OLESAIDIMU isije ikawa unataka kuhamishia zile bifu zako za EFD kwa huyu mama!!!! Manake ka' n'na wasiwasi hivi kwamba ulimsikia ile siku wakati akikomalia EFDs........na Wazanzibar wakikomalia kitu, hawana dogo...jiandae tu mkuu wangu na ile lak 8 yetu ya EFDs!!!!!!!!!!!!!!!!!
 
Last edited by a moderator:
Kwa elimu ya huyu bidada alitakiwa awe afisi ya masijala hapo Hazina, akikusanya data mbalimbali za uchumi wetu.Huyu siye mtu mwenye vision ya kuitoa Tanzania hapa ilipo kwenda popote pale.

Ukishaona Mwana CCM ameweka elimu ya Masafa na Diploma mbili mbili ujue kuna shida hapo tayari.

Kuna wizara za kufanya Majaribio, lakini Wizara ya fedha si sehemu ya kumuweka mtu anayebabaishwa na Hesabu kwa namna yoyote ile,how else can this person grasp complex economic theorems za kina Keynes?Mwisho wa siku anatoa ushauri wa hovyo kwa Kikwete, sio kwa sababu watendaji wake hawakumweleza,ila kwa sababu yeye hakuwaelewa watendaji wake.
 
Ritz salaam muungwana. Popote ulipo tafadhali naomba kauli yako juu ya neno la Prof Lipumba.

Tafaadhwali muungwana.
 
Last edited by a moderator:
Kama pangekuwa na direct relationship kati ya academic qualification na perfromance basi CUF kingekuwa ndo top coz' kiongozi wake ni highly educated with unquestionable credibility in terms of academic performance! Au kwenye uongozi wa chama hapana haja ya kuwa na performance? Do we need to go back to classes kujifunza kwamba tatizo la Tanzania halitokani na viongozi ama watendaji kutokuwa na elimu kubwa? Kule kwenye wizara, majority kwenye top posts ni Master Degree holders and even PhD tena kutoka best universities lakini utashangaa aliyetoka CBE na advanced diploma yake ana-perform vizuri na kuwacha hawa!

Yawezekana lakini sasa mkuu kuna "acute" na "acute on chronic" hatuwezi fumbia macho hili sababu kuna wengine wana sifa na yet they dont perform to their best!!!! Hawa wana benefit of doubt kwamba kama usemavyo "tatizo sio elimu"

Lakini hii haiwezi kuwa premise ya kutufanya tuishie na conclusion kuwa elimu sio kigezo!!!!! Hao wa masters na bachelor wako backed up na experience (vast) ndio maana wanaweza mkuu regardless wanatokea colleges au mere institutions!!!!

Kwa huyo ni vipi??!!!!
 
Back
Top Bottom