Waziri wa Fedha amjibu Prof. Lipumba

Waziri wa Fedha amjibu Prof. Lipumba

kumbe...bado yuko shule na huku akipata uzoefu wa kazi. nimeipenda

Kaka kumbe ulikua hujui? Waziri wa Fedha bado anasoma na Naibu wake Mwigulu nae bado anasoma. Wizara ya nyeti kama ya Fedha inafanywa Shamba Darasa. Only in Tanzania
 
Wizara ya Fedha hata uwe na digrii3 haisaidii! Kinachotakiwa ni utaalamu wa kupiga EPA2!
 
Ndani ya CCM hata jembe linaweza kubilingika kuelekea bondeni badala ya ku slide.
 
Have mercy on me O Lord!!!!!wasomi hawatiliwi mashaka,,,ondoka na mavyeti yako uliyochongea pale shule uhuru msimbazi!

huo wako sasa ni wivu.
sasa si umeshaelezwa hivyo vyuo, kama una mashaka fuatilia.
wivu tu ndo unaokusumbueni wadada.
 
He mkuu mtume huyo akaone systems alizoiwekea UG!! Prof kweli ni jembe!!

Wakuu kila mtu ana haki ya kuongelea haya maswala lkn tukubali kuwa huyu waziri wa fedha alitakiwa kupewa muda ili afanye kazi yake na siyo kuanza kuuliza kama ataimaster wizara hiyo. Tujaribu kuwa fair kwani hata hao mnaowasema wan Dr. etc katika swala la kudeliver ni kama big zero tu! Waambie watoe reports za kuombea fedha au kuandika projects ambazo matokea yake huishia kwenye mafiles wakati fedha zimeisha liwa- hao ndiyo PHds holders wa TZ! Tumuache afanye kazi kwa kipindi fulani halafu hapo tuna haki ya kumujudge na siyo kabla ya hapo. Nyie watanzanina angalia mawaziri wa fedha wa nchi za Uswiss/ ujerumani nk hawana PHDs na wanafanya kazi inaonekana. They are there to DELIVER! Na huyo sijui Prof Lipumba aache hayo maongezi kwani badala ya kumuongelea huyo mama alitakiwa kuangalia home works alizonazo kwenye CUF na anatakiwa kuzifanya badala ya kuwaongelea wengine.
 
Wizara ile inahitaji uzoefu na maswala ya fedha na uchumi. Sasa kama mjuu huyu ndo anafanya internship hapo hii tena shughuli....je tutafika? Uzoefu na uelewa binafsi ni kitu muhimu sana. Hata kama kuna wasaidizi huwezi kuwa mzigo kuuliza kila kitu. Lkn tumuamini mkuu aliyemteua.. tuendelee na safari...
 
Hyu dada angekula buyu kwani uzoefu wake haundani na wizara aliyopewa, nilishaandika hapa kuwa asije akatoa machozi kama yule mama kuwa nilipewa nikasaini saini tu. Ila kwa hali hii kwakweli hapa sioni jipya, sidhani kama huyu Dada ataweza kuwakemea TR, BOT nk kwani atajihisi amepwaya katika hiyo nafasi maana huko ktk taasisi za fedha na kodi kuna watu wanavitu kichwani balaa.

Huyu dada naye angenyamaza tu, ukipigwa ikulu si muda wa kupiga makelele, bora kusikilizia mumivu na kujipanga tu.
 
kwa kweli educationalwise kumtetea huyu mama ni ngumu elimu kaunga mno
 
Hivi ni kwanini JK amewateuwa Waziri na Naibu waziri wa fedha wote wakiwa ni wanafunzi? Mh. Saada Mkuya na Mh. Mwigulu Nchemba wote wamesema wenyewe kuwa wao ni wanafunzi wa shahada ya uzamivu (PhD) kwasasa. Je Mh. Rais alivyokuwa anawateua alilitambua hilo? Hivi kweli mziki wa PhD na hii kazi nyeti vinaingiliana kweli? Hapa nimeongeza mashaka.
 
Uyu mama naye ana matatizo, ndio elumu gani iyo. Nafikiri mwigulu ndio atakuwa anatoa command.. mchezo mchafu sana huu mzee kikwete... kwanini hukunitafute nikupe mtu maridadi....
 
Bora hata kasema lipumba muislamu mwenzake ingekuwa wengine ingekuwa nongwa
 
Wizara ya Fedha haswa kwa nchi masikini kama nchi yetu Tanzaniainahitaji mtu mzoefu, mchapa kazi, na mwenye elimu ya kutosha, Prof ana mashaka na waliopewa wizara hiyo, Kawanini asiongee akiwa kama msomi na mweledi/mjuzi + na elimu yake, kwani mbona nchi nyengine zinamtumia na zinafanikiwa.. tusi base kwenye uchama KIAMA KITAFIKA TANZANIA IKIWA BADO NI MASIKINI.
 
nina shaka na uwezo wa huyu mama,sio kwa sababu ya vyeti vyake vya kuungaunga ila kwa sababu ya majibu yake kwa lipumba,kama anajiamini kiutendaji angekaa kimya na kuchapa kazi..jk ndio janga.
 
Ni aibu na inauma sana kupeleka CV kama hiyo wizara nyeti kama hiyo. Alikuwa na kipi cha zaida hata kupelekea kuteuliwa kuwa mbunge ili apewe uwaziri? Je, ni elimu yake? ni uzoefu wake? NI NINI HASA?????
 
Umakini wa mteuzi una mashaka....hii sehemu haimfai huyu mama......hivi ukiwa unasoma PhD unapataje muda wa kutulia..kubuni na kushughulikia mambo ya uongozi kwa ufasaha zaidi...kwa kiwango kile kile?
 
Back
Top Bottom