Waziri wa CUF aiporomoshea CHADEMA matusi!

Waziri wa CUF aiporomoshea CHADEMA matusi!

Status
Not open for further replies.
Watanzania wanapaswa kufahamu kwamba kilichopo pale Zanzibar ni Serikali ya umoja wa kitaifa si vyama vya umoja wa kitaifa.
Swali langu kwa Mh. Juma Duni ni hili.. Hiyo serikali imeundwa na watu wa vyama gani? Je, kuna mjumbe hata mmoja kutoka chama kingine chochote kilichosajiriwa Zanzibar aloshirikishwa kuunda umoja huo? maana wagombea wote wa vyama hivi walikuwa WAZANZIBAR wakiwakilisha wanachi wao kupitia vyama vyote iwe Chadema, AFP, APPT Maendeleo, Chausta, Demokrasia Makini, DP, NCCR Mageuzi, Jahazi Asilia, NLD, NRA, SAU, TADEA,TLP, UPD,UMD, na UPDP.

Kati ya vyama vyote 18 vilivyosajili Zanzibar na wagombea wake wakiwa Wazanzibar ni vyama viwili tu CCM na CUF waliounda UMOJA wa serikali hiyo..Je, hivi kweli huu ni UMOJA wa Wazanzibar au umoja wa vyama hivi viwili kuunda serikali ya mseto!. wakati mwingine tuwe wakweli maana sidhani kama Raila au Kibaki wa Kenya wanaweza kupinga umoja wa serikali yao kuwa umetokana na vyama vyao..
 
zomba,
Je, kweli unataka watu tuyaandike ya chumbani ya Juma Duni?..hii itakuwa akili kweli...
 
Last edited by a moderator:
mwanamke wakizalamo anamaneno yakutsha,katika wanawake wote walio olewa na ccm Bi siyuefu vijembe,umbea vimjaa mpaka basi.Sijui kama anapata na mda wa kuoga kutwa umbea tu.
 
sipendi cuf kwaajili ya uzanzibar na udini .Waziri gani unaandika matusi.......

akinya kuku amekunya lakini bata amehara.manake ni kwamba chadema akiingia makubaliano na ccm ni sahihi lakini kwa cuf ni dhambi.huu ni wivu wa mapenzi nyumba kubwa na hawara
 
Yeye kaandika lipi la chumbani kwa mtu?
Kwani kuiba mke wa mtu unampeleka wapi? wakati mwingine hawa watu wazungumze vitu wakiwa wao wasafi.. Binafsi siwezi kuyasema hapa kwa sababu siko kama yeye waziri mzima anashindwa hata kupima maneno..Yeye ana Usafi gani huyu Juma Duni hasa ktk maswala ya chini? ama anataka watu tuivunje ndoa yake? Wazenj bana wanachooosha!
 
CHADEMA ni life style so ukiwa na demu wako lazima utaitaja tu, ukiwa chuo, na popote uendapo.

CHADEMA NI LIFE STYLE- Molemo stated.
 
Kwani kuiba mke wa mtu unampeleka wapi? wakati mwingine hawa watu wazungumze vitu wakiwa wao wasafi.. Binafsi siwezi kuyasema hapa kwa sababu siko kama yeye waziri mzima anashindwa hata kupima maneno..Yeye ana Usafi gani huyu Juma Duni hasa ktk maswala ya chini? ama anataka watu tuivunje ndoa yake? Wazenj bana wanachooosha!

Mtu anaiba mke wa mtu na anajisifu halafu wewe unasema ni siri ya chumbani, msome vizuri Duni hapa:
Kama kuna viongozi wanaweza kuiba wake za watu na kuja jukwaani kujisifu kwamba wao ni wezi wa wake za watu, je, wakiwa Ikulu watafanyaje hawa? Watawapanga foleni wanawake wote waliopo pale kwa uwezo wa madaraka yao ya urais na kuwalazimisha kufanya nao ngono.
 
Bila mwafaka wa kisiasa znz hali ya kule isingekuwa hivi ilivo leo.kuukejeli ule mwafaka ni kutamani kumwaga damu ya wazanzibar
 
Mtu anaiba mkew wa mtu na anajisifu halafu wewe unasema ni siri ya chumbani, msome vizuri Duni hapa:
Kwani Juma Duni anajali wake za watu na toka lini? ama uharamu unakuja kwenye mtu kufunga ndoa na hawala ya mtu na sio wanaozini ndani ya ndoa - Kilichoharamishwa kipi, halafu yeye Dr. Slaa kajisifia lini? yeye mkristu, wewe inakuuma nini unapotaka kutafsiri mambo kwa imani yako?
 
Molemo,
Nimepitia hiyo makala Juma Duni, kawaeleza ukweli Chadema wala hakuna hata tusi moja, ngumu kumeza hiyo ndio faida ya vita vyenu mwisho wa siku wote mtaolewa na CCM.
Juma Duni ni duni wa mawazo hivi kwa mawazo yake watumishi wote wa serikali ni wa CCM hizo ni akili mgando napotolea mifano ya kushinda kesi kwa CDM katika uchaguzi eti waliotoa hukumu ni majaji na wanasheria wa CCM Mh! ataendelea kuwa duni na atazidi kuolewa tu.
 
Haya ni mazungumzo kati CHADEMA,CUF na CCM Kama yalivyonaswa huko uswahilini

CHADEMA:- Wewe CUF Umeolewa huko Zanzibar.

CUF:- We CHADEMA Katiba ya zanzibar inasema ukipata zaidi ya 5% ya kura utashiriki kuunda serikali kwa hiyo hata wewe Utashiriki kuunda serikali zanzibar ukipata zaidi ya 5% ya kura

CHADEMA:- Hakuna kitu we umeolewa tu..hauna la kiniambia

CUF:- OK mimi pia nilikuoa mwaka 2000 ulivyojiunga na mimi

CHADEMA:- CUF niombe radhi umenitukana..
CUF:- we CHADEMA ni CUF B
CHADEMA:- CUF Ku.....&*(((((()444444443333

CCM:- Kidumu chama cha mapinduzi,CCM Oyeee

Kwa mtindo Huu CCM atatawala kwa miaka 100 ijayo kama alivyoahidi
 
Jina halisi la Huyu waziri linaendana na fikra zake anaitwa DUNI
 
Lengo la mwandishi sijalielewa maana ni matusi tu. Hivi hii nchi imelaaniwa na nini mbona watu busara hazipo. Kila anayetokea anapayuka bila hoja yoyote ya msingi. Huyu ametaka kujenga au kubomoa? Ajabu sana/. Mimi nafikiri ni yale mazoea yao ya kulalamika tu bila kutoa hoja. Badala ya kujenga hoja mtu pumba mwanzo mwisho
 
Kwani Juma Duni anajali wake za watu na toka lini? ama uharamu unakuja kwenye mtu kufunga ndoa na hawala ya mtu na sio wanaozini ndani ya ndoa - Kilichoharamishwa kipi, halafu yeye Dr. Slaa kajisifia lini? yeye mkristu, wewe inakuuma nini unapotaka kutafsiri mambo kwa imani yako?

Kumbe alikuwa anaongelea Dokta wa kanoni Slaa? sikujuwa. Duhh!
 
Kweli Ugomvi wao ndio mtaji wa CCM.

certainly,I don't think if at all the guy is one of the government officials.How could he be in a position of devoting much of his time in the office preparing such a provocative words.
How dare you as a minister spends much money collected from poor people's taxation for nonsense and rubbish things like that?
To my best level of insight, a person must distinctly be affiliated with insanity!!!!
A minister? It's unbelievable!!!!!!!!!!!!!!!!!!
 
Lengo la mwandishi sijalielewa maana ni matusi tu. Hivi hii nchi imelaaniwa na nini mbona watu busara hazipo. Kila anayetokea anapayuka bila hoja yoyote ya msingi. Huyu ametaka kujenga au kubomoa? Ajabu sana/. Mimi nafikiri ni yale mazoea yao ya kulalamika tu bila kutoa hoja. Badala ya kujenga hoja mtu pumba mwanzo mwisho

Kwa kweli huyu ni Lusinde wa CUF
 
Molemo,
Nimepitia hiyo makala Juma Duni, kawaeleza ukweli Chadema wala hakuna hata tusi moja, ngumu kumeza hiyo ndio faida ya vita vyenu mwisho wa siku wote mtaolewa na CCM.
mama yako kaachika kwa mwigulu?
 
Status
Not open for further replies.
Back
Top Bottom