Asante mh. Duni; Chadema ni matapishi tu hayazuii watanzania kula mpunga wetu; wanafiki na wazandiki wapo Chadema; mh. Duni Chadema ikulu wataisoma Tanzania daima; wakitaka wajenge ikulu yao Arusha au Hai tutawapa michoro ya magogoni
CHADEMA oyeee
Ukiona makeke na makelele ya aina hiyo ujue message sent, mimacho imewatoka kama panya kanaswa na mtego,
Kama siyo CDM unadhani nani atakuwa Ikulu 2015, unaridhishwa na hivyo vilio vya CUF, wanaoipeleka ikulu CDM ni watanzania wanaojutaa kutawaliwa na CCM.
CCM mmeanza kujikomba kwa CUF msaidiwa kutengenezewa Propaganda kaaazi kwelikweli. Mbona tunajua sana mti wenye matunda safi ndio unaopigwa mawe.
CCM hoi, CuF choka mbaya, damu safi inflow kwa watawala wa 2015, kwa ajili ya Kuihuisha Tanzania mpya.
Unadhani ikulu ikiwa kyela ama Makorongoni itakuwa siyo Tanzania? kwani CCM pale magogoni mmeshauza nini? maana nyie kama alivyosema Nyerere mtauza mpaka magereza, yawezekana pameshauzwa, hubu tusubiri 2015 tuone.
CDM HIYOOOOOOOOOOOOOOOOOOOOOOOOOOOO, ikipeleka elimu ya uraia kwa wananchi, ikiwaonyesha na kuwazindua, kuwaondiolea woga uliodidimizwa vichwani mwao kama ngao ya kuwatawala. wala CDM hawana pressure wanajua uzee wa CCM tu huo, hata simba mzee huwa anamakelele mengi na mawindo kushnei.
Kweherini mafisadi, waTZ tunajua tunachostahili.