Waziri wa CUF aiporomoshea CHADEMA matusi!

Waziri wa CUF aiporomoshea CHADEMA matusi!

Status
Not open for further replies.
Duni ninayemfahamu,duni wa misimamo,ameshakuwa duni wa karatasi maana duni yule wa kweli asingeafiki cuf kujiunga na ccm znz adui muombee njaa.hii chadema hii itawaua mwaka huu.eti chadema inafurahia kuona wazanzibar wakiuwawa mtauwana wenyewe kwa upumbavu na unafiki wenu.kwanza kipindi mnauana chadema kilikuwa hakina nguvu kama sasa.na chadema haijawahi kuungana na chama chochote kukabiliana na kingine.v4c ni kielelezo cha vita ya ccm kuikabili cdm kwa kuitumia cuf.duni aongee atakavyoongea ni haki yake lakini cuf haipo kama zamani imedhoofu.bye bye jussa bye bye hamad rashid.
 
Ni sera kuu ya kanisa kuona zanzibar hawapatani wanauana ama Fursa ya kuuliwa na watanganyika
Mauaji ya wazanzibari 2001 yalifurahiwa sana na makanisa na kupoongezwa
Hivyo hatua yoyote ya zanzibar kuwa kitu kimoja na chukizo kwa kanisa
Hawajafurahia maridhiano huu ndio ukweli na Chadema kama chama B cha nyerere kinafuata na sera ile ile ya kanisa ya chuki dhidi ya zanzibar na waislam
Zitto hili anajua ndani ya dhati yake

ACHA UKICHAA WEWE SI NI CCM KWA KUTUMIA POLISI WALIUA WAZANZIBAR ..... SASA KUJUA HAWA CUF ni wachumia tumbo leo wanaungana nao bila kudai haki ya wenzao waliuawa kama unajali haki na unataka amani na maendeleo lazima kwanza utu uwe mbele kwanza cuf wametoa hata ubani au hata kuzifikiria familia zilizopata hiyo adha kipindi hicho hebu tuongee ukweli kama great thinker KABLA YA KUIINGIZA UDINI nyie na UAMSHO KWELI AKILI HAMNAZO KABISA WALEWALE mnapinga muungano mnachoma makanisa.
 
ukiona mtu anajadili dini au ukabila,huyo ni mtu aliyeishiwa hoja na aliyefirisika kichwani - J.K.Nyerere (kwa hiyo jitafakari tena mkuu)

Hata J.K. Nyerere alikuwa ameishiwa ndio maana na yeye alikuwa anaongelea udini.

Japokuwa wakati wa utawala wake alikuwa mdini sana.

Tukiweka rank ya maraisi wenye udini nchi hii itakuwa hivi

1. J.K. Nyerere
2. J.K. Kikwete
3. B.W. Mkapa
4. A.H. Mwinyi
 
"CHADEMA wamekuwa wakifanikiwa wakisambaza na kufanya siasa nyepesi nyepepi za maji taka kwa Watanzania Bara kwamba eti CUF ni “CCM-B” kwa sababu ya kuunda Serikali ya Umoja wa Kitaifa Zanzibar (Government of National Unity Zanzibar)."
maneno haya yanasemwa na mtu mwenye kuwaza sn uumini wake badala ya maisha magumu yanayo wapata watu wengi, jamani ni vema tukaungana kuwatetea wa TZ kwa ujumla badala ya kuumana mwisho tutamalizana wenyewe kwa wenyewe ambao sote tupo kuusaidia umma wa Tanzania
Vurugu nyingine hii kwenye Katiba ya JMT. Serikali inayotambuliwa na Katiba ya JMT ni SMZ. Hii nyingine ni ni ya mpito kuelekea kuvunja Muungano. Katiba ya JMT imeshindwa kutambua pia uwepo wa Maalim Seif na cheo chake bandia cha Makamu wa Kwanza wa Rais.
 
Lugha na mifano alootumia JDH ni ile utakayoisikia kwa makuli ukitembelea bandarini au jela kwa mahabusu na wafungwa. Commando Salmini aliwajua hawa.

Makuli sio watu au hana sifa ya kuwa Mwananchi.
Mbona unamtukani hayati raisi wa kwanza wa Zanzibar ya mapinduzi na Makamu wa kwanza wa rais wa jamhuri ya muungano.
 
matendo ya cuf ndio yanahitimisha uccm-b wake, yaani ndani ya bunge letu pale dodoma walivyoshikana pamoja, yaan mke na mume!
 

Juma Duni Haji


Tanzania Daima Jumatano Makala | Oktoba 10, 2012

MADHUMUNI ya Chama cha wananchi (CUF) kama yalivyo katika Katiba yake ni, “Kuwaunganisha Watanzania wakatae uonevu, kudhalilishwa, kunyanyaswa, kubaguliwa au maovu mengine yanayoweza kufanywa dhidi ya heshima ya utu wa binadamu, yawe yanayotendwa na serikali, kikundi cha watu walio na uwezo kwa ajili ya mabavu yao au kwa ajili ya kujinufaisha kwao kiuchumi au kisiasa na kiitikadi au
kwa kujali dini, kabila jinsia au rangi zao”. (Kifungu cha, 6[1] Katiba ya CUF uk.12)


Dah! Kweli hiki ni chama cha wananchi...
 
Molemo,
Nimepitia hiyo makala Juma Duni, kawaeleza ukweli Chadema wala hakuna hata tusi moja, ngumu kumeza hiyo ndio faida ya vita vyenu mwisho wa siku wote mtaolewa na CCM.

Sina tatizo vyama kuunda serikali ya umoja wa kitaifa,tatizo langu ni kwamba hawakuweka taratibu za kidemokrasia namna ya vyama vitakavyo shirikiana wataongoza serikali. Waliangalia zaidi kugawana vyeo badala ya mambo ya msingi kama watashirikiana vipi kutengeneza sera ambazo zitasimamiwa na serikali yao.
 
Last edited by a moderator:
Makuli sio watu au hana sifa ya kuwa Mwananchi.
Mbona unamtukani hayati raisi wa kwanza wa Zanzibar ya mapinduzi na Makamu wa kwanza wa rais wa jamhuri ya muungano.
Uliwahi kusikia hotuba zake Sheikh Karume? Hivi alivyoandika JDH ndivyo alivyokuwa akiongea Mzee wetu yule Mungu amlaze mahala pema peponi. Angeendelea kuwa hai hawa akina JDH, Maalim Seif, Makengeza Jussa na CUF wala tusingewasikia! Katiba ya Zanzibar imepatikana miaka 12 baada ya kifo chake. Baraza la Wawakilishi limekuwepo miaka 8 baada ya yeye kufariki. Jamaa lilijua kuwadhibiti vilivyo wahuni hawa wa sasa.
 

MADHUMUNI ya Chama cha wananchi (CUF) kama yalivyo katika Katiba yake ni, "Kuwaunganisha Watanzania
Duni anatufanya Watanzania hatuna akili? Angeandika KUWAUNGANISHA WAISLAM tungemwelewa...

 
Mleta mada ameandika waziri wa CUF ili aweze kuingiza vichwani vyetu mawazo yake.

Wajameni huyo waziri wa SMZ sio CUF. CUF haina cheo cha waziri.
 
hakika huyu waziri amejivua nguo.
nguo ipi? Munalamika muna matusi kiswahili sio lugha yenu, muna lugha zenu za makabila , ndio maana hamufahamu chochote! Kisha munajifanya munajua sana, chambueni hoja kisha mupinge kwa hoja . Hebu tuonesheni hilo tusi liko wapi?
 
nguo ipi? Munalamika muna matusi kiswahili sio lugha yenu, muna lugha zenu za makabila , ndio maana hamufahamu chochote! Kisha munajifanya munajua sana, chambueni hoja kisha mupinge kwa hoja . Hebu tuonesheni hilo tusi liko wapi?
Kwanza nakushukuru kwa kuonyesha kuwa Kiswahili ni Lugha yako....
 
Mleta mada ameandika waziri wa CUF ili aweze kuingiza vichwani vyetu mawazo yake.

Wajameni huyo waziri wa SMZ sio CUF. CUF haina cheo cha waziri.
Huyo ni waziri wa GNU-Z. SMZ imekuwa "suspended until further notice" ingawa KATIBA ya JMT inaitambua SMZ. Tanzania katika maajabu saba ya Africa!
 
CHADEMA ni kuwapuuza hawa CUF. Wananchi wa Tanganyika tuna mambo mengi muhimu na ya msingi kufanya muda huu, hivyo hatuna muda wa mipasho.

Ni wazi CUF wanazidi kuthibitisha kuwa wa sio tu kwamba ni CCM B-wake za CCM lakini ni maadui wa umoja na maendeleo ya Tanganyika.

Yaani huyo Duni amedhihirisha kuwa ni duni mno kichwani. Ukisoma madai/hoja zake dhaifu kwa kweli unabaki na masikitiko kuhusu afya ya akili na maadili yake. Hivi ni context ipi aliyojairbu kuiweka CHADEMA na CUF pamoja? Kaharibu zaidi kwa kujifanya yeye ndiye sheria na mtafsiri wa sheria kwa mpigo! Huwezi kutetea ndoa ya CCM-CUF (hasa kimuundo na vitendo) kwa Mtanzania yeyote mwenye akili yimamu

Any way kafanya kazi aliyotumwa na kaingiza posho yake basi tena.
 
sipendi cuf kwaajili ya uzanzibar na udini .Waziri gani unaandika matusi.......
 
Status
Not open for further replies.
Back
Top Bottom