Waziri wa CUF aiporomoshea CHADEMA matusi!

Waziri wa CUF aiporomoshea CHADEMA matusi!

Status
Not open for further replies.
...ndoa zenyewe siku hizi watu wanaenda bila jando basi ndio tabu zake hizi
 
CUF mbona haka kamsemo kanawauma sana.....ombeni talaka.
 
when all is said done bila umoja wa upinzani kuingoa ccm kwenye madaraka will remain a pleasing illusion to be pursued but never attained -borrowing bobs words.

.

Tatizo moja la chadema na ndicho kitakachofanya hiki chama kifeee kabisa ..ni kwamba hawapendi kuambiwa ukweli yani ukweli kwao ni kama risasi .. Muda wote wanajioni ni wasafi kumbe ni makapi tu ya ccm... Na ukweli uko wazi kuondoa ccm wasahau
 
Sijaona matusi yeyote hapo. Bali ni ukweli mtupu ameongea mheshimiwa.
 
Kama viongozi wanaweza kusema uongo wa kiwango cha uharo wa bata wakiwa nje ya Ikulu watakunya nini hawa wakingia Ikulu "Juma Duni"

Kabla ya kusema/kuandika kitu ni vema ukajiridhisha kuwa lugha inayotumika inaendana na mlengwa. Bungeni tulimsikia yule mwenyekiti toka Zanzibar akimuambia Mnyika kuwa 'anawashwa'. Inawezekana kwa tamaduni za Zanzibar ni jambo la kawaida kwa mwanaume kusema maneno kama hayo kwa mwanaume mwingine!

Lugha aliyotumia Duni si ya kistaarabu kwa watu wengi Tanganyika, ukizingatia Duni ni Waziri. Inakuwaje waziri mzima anakaa chini na kuandika neno 'uharo' kisha anaweka article kwenye gazeti? very strange!
 
Sasa na wewe Dr. Mzima unashindwa kuona mwanacuf mwenzako alivyowaaibisha? Sasa kama huyu ni waziri anaandika utumbo je itakuwaje akiandika mwakilishi wa mji mkongwe!?
Duni ana hoja duni kama lilivyo jina lake.

Mimi kwa maoni yangu naona Mh Juma Duni Haji amechambua kwa weledi wa hali ya juu sana na amenikonga zaidi pale kila alichobainisha amekiwekea mfano wake. hapa ameonyesha uzoefu wake mkubwa katika mambo ya siasa na uandishi makini sana.

Ushauri wangu ni kwa Chadema kujipanga na kujibu hoja kwa hoja. Na ndio maana ametuma waraka huo kwenye gazeti la Chadema ili isiwe umbeya wala uzushi.

Nimeyapenda maneno haya ya juma Duni.
Viongozi wa CHADEMA wanaonesha udhaifu wao kwa kukosa furaha kuwaona wazanzibari wanasikilizana na nyinyi wananchi munafurahia hilo kwamba tuaachwe wazanzibari tuuwane na kwamba eti hicho ndiyo chama munachokitaka eti kiingie Ikulu. Msimamo huu wa CHADEMA ni kuthibitisha kwamba Wazanzibari kugombana ndiyo furaha ya viongozi wa Chama hicho
 
Ukiisoma hii makala kwa umakini sana utaona kuwa imeandikwa na mwanaCCM aliye hai hata kama atakuwa na kadi ya CUF, mtazamo ni ule ule wa kujisafisha!!!
 
Ukisoma haya matusi huwezi kuamini kama yametolewa na mtu mwenye akili timamu.

Kwanza mtu anayeitwa waziri kweli hawa wanakila sababu ya kuungana na ccm maana huyu ni Lusinde na Nchemba type wa kule cuf a.k.a ccm- wife ( ccm-b). Hawa kwa sasa kuwatofautisha mpaka uvae miwani maalumu,
 
Watuachie Tanganyika yetu..! Hiyo sumu ya kimuungano cha kinafki itawatafuna sana CUF...!!! Muwe na MSIMAMO...! Iko wapi ile slogan ya NGANGARI NGUNGURI...??? Mwanaume kamili hatetereki no matter WHAT..! Inakuaje kisiwani you are working with him, bara ni mpinzani wako?? Mnatufanya wajinga sana?? Huku wengi tumekomboka kifikra..!! Au mmesahau kuwa huku ndipo "Elim-dun'ia" imepewa kipaumbele kuliko UVUVI na kwenda madrassa...???

hili ndio tatizo la mambumbumbu kama nyinyi mnajifanya vipofu ilhali hoja zipo wazi! Wht a fool of u zombies of CDM?
 
Hakuna matusi yaani nyie kuwambia wameolewa sio matusi wakiwajibu ndio matusi, Chadema, na CUF endeleeni kupambana ndio mtaji wa CCM.
Ritz hamna mtu anapambana na cuf wala CDM hawana agenda ya kupambana na chama mfu kinachosema kipo kwenye serikali ya ccm kikitumikia ilani ya ccm ( huyo seif mwenyewe alivyokuja arusha alipokelewa na kada mkuu wa ccm arusha magesa mulongo) sasa unasemaje wakiambiwa ukweli wametukanwa hata vyombo vyote vya habari vya ccm vinawatetea sana cuf
 
Mwenzao jussa kashajiachia zake kaona ubabaishaji kamwachia professor kinyonyoke na madevu wakokotane.
 
Kabla ya kusema/kuandika kitu ni vema ukajiridhisha kuwa lugha inayotumika inaendana na mlengwa. Bungeni tulimsikia yule mwenyekiti toka Zanzibar akimuambia Mnyika kuwa 'anawashwa'. Inawezekana kwa tamaduni za Zanzibar ni jambo la kawaida kwa mwanaume kusema maneno kama hayo kwa mwanaume mwingine!

Lugha aliyotumia Duni si ya kistaarabu kwa watu wengi Tanganyika, ukizingatia Duni ni Waziri. Inakuwaje waziri mzima anakaa chini na kuandika neno 'uharo' kisha anaweka article kwenye gazeti? very strange!

Ameidhalilisha sana serikali ya SMZ
 
Kwanza mtu anayeitwa waziri kweli hawa wanakila sababu ya kuungana na ccm maana huyu ni Lusinde na Nchemba type wa kule cuf a.k.a ccm- wife ( ccm-b). Hawa kwa sasa kuwatofautisha mpaka uvae miwani maalumu,

Tena miwani ya Mbao
 
Kabla ya kusema/kuandika kitu ni vema ukajiridhisha kuwa lugha inayotumika inaendana na mlengwa. Bungeni tulimsikia yule mwenyekiti toka Zanzibar akimuambia Mnyika kuwa 'anawashwa'. Inawezekana kwa tamaduni za Zanzibar ni jambo la kawaida kwa mwanaume kusema maneno kama hayo kwa mwanaume mwingine!

Lugha aliyotumia Duni si ya kistaarabu kwa watu wengi Tanganyika, ukizingatia Duni ni Waziri. Inakuwaje waziri mzima anakaa chini na kuandika neno 'uharo' kisha anaweka article kwenye gazeti? very strange!

Kama matusi kwa nini gazeti lenu la Tanzania Daima limetoa hiyo makala? Hivi neno kuwashwa ni tusi?
 
cuf ni mkemkemkemkemlemkemke wa
magamba. duni hata uitukane vp cdm ukweli ndio huu. jibidiisheni mkiongozwa na juha,sorry jusa mjitenge na tanganyika kwa amani.
 
Status
Not open for further replies.
Back
Top Bottom