ungonella wa ukweli
JF-Expert Member
- Mar 27, 2012
- 4,210
- 556
Juma duni bwana, eti cuf inawaunganisha watanzania. Toka lini cuf inawaunganisha watanzania badala ya kuwabagua kwa dini zao? Na pia kwa maeneo?, je si cuf kwa kupitia Uamsho waliochoma makanisa zanzibar?. Eti anamalizia kwa kuibariki Tanzania, tanzania ipi? Wakati anaiponda tanzania na kuihusudu zanzibar? Viongozi wanafiki kama juma duni haji ni hatari kuliko ukoma!