haina shida..zitajengwa nyingi kweli kwa staili hii.....maana kuna ya lowasa monduli,sita,membe ......Asante mh. Duni; Chadema ni matapishi tu hayazuii watanzania kula mpunga wetu; wanafiki na wazandiki wapo Chadema; mh. Duni Chadema ikulu wataisoma Tanzania daima; wakitaka wajenge ikulu yao Arusha au Hai tutawapa michoro ya magogoni
EDIT....Halafu Tanganyika hatuwekani kama zanzibarCdm jibuni hoja,co muporoje2.Cuf ni bab kubwa .Mukitaka nchi hii mucmueke kugombea urais yule mwizi wa wake za watu bali mumueke zitto.
Nilipoisoma ile makala sikuona taswira ya uwaziri pale, iliniingia akilini kwamba zanzibar huitaji kuwa na uelewa mkubwa kuwa kiongozi
Haya nyie cdm mulipoungana na ccm katika serikali ya halmashauri ya kigoma tuwaite vipi?
Labda unge-quote paragraph au sentensi moja tu ambayo umeona ni matusi kwa Chadema. Mi nimepitia makala yote sijaona tusi. Unless kama kukosoa au kuwaambia ukweli Chadema ndio matusi (kwa tafsiri yenu kichama). Hoja za viongozi wengi wa CUF ni ngoma nzito,jibu hoja acha kulialia mmetukanwa. Kama ulikuwa hujui huyo ndio Juma Duni Haji hoja.
Juma Duni Haji; you have been too long on words but short on substance! CUF = CCM B; period.
Serikali ya muungano wa kitaifa inatokana na vyama viwili CUF na CCM kwa hiyo kutokana na nguvu dhaifu ndani ya umoja huo wa kitaifa CUF has no option but to toe the line as dictated by the stronger partner of the two parties to the union ambayo ni CUF. kwa CUF hawana ujanja maana they are caught between a rock and a hard place! wataendelea kumeza shubiri (BUBUBU by election) kwani kujitoa ni kutema utamu. (Seif Shariff Hamad, Duni Haji na misafara ya magari na marupurupu ya umakamu wa Raisi na uwaziri)
Hata kule Uingereza Liberal democrats wantaniwa kuwa ni Conservative B au Tory B;
CUF=CCM B
hayo sio matusi ndio ukweli chama cha chadema wana roho mbaya, wanasumbuliwa na udini na ukabila.
wewe kweli ukabila umekuvaa, kwani sisi tunahitaji upare au usukuma? Tunachohitaji ni uzalendo na uadilifu!
Hakuna matusi yaani nyie kuwambia wameolewa sio matusi wakiwajibu ndio matusi, Chadema, na CUF endeleeni kupambana ndio mtaji wa CCM.
haina shida..zitajengwa nyingi kweli kwa staili hii.....maana kuna ya lowasa monduli,sita,membe ......
Juma duni haji, ameandika vitu vyepesi mno hakika havina uzito wa kujibiwa,
ukweli ni kuwa cuf imeanza kuwa ccm-b ,kamilifu hasa baada ya kuingia kwenye serikali ya mseto, anapotolea mfano wa wa hamadi rashid 2001 yes mlikuwa wapinzani.
Ilitakiwa utofautishe mwenendo wa siasa kabla ya 2010 na baada ya 2010.
Pia ujue kuwa sio kila mara wa2 wakishirikiana na serikali wamekuwa b, ila yale matendo wanayoyafanya ndo yanadhihirisha u -b wao.