Waziri wa CUF aiporomoshea CHADEMA matusi!

Waziri wa CUF aiporomoshea CHADEMA matusi!

Status
Not open for further replies.
bwana kiduni,kweli akili duni,cdm haina mda wa kuongea na mama watoto wa mtu,na ndo maana cdm huwa haikai majukwaani na kuizungumzia CUF kwa kuwa inajulikana kuwa tayari kuna pete kidoleni,wa jf si wavivu kufikiri kama ulivyo wewe unayefikiria mwisho wa pale unapoishia kutazama,you cant think beyond,hayo yote umetumwa na aliyekuvisha pete(ccm).kwanza tunashukuru kwa kutubu kutokana na usaliti wake kwa wazanzibar waliongoza harakati za kupigania utawala wa kidhalimu wa ccm.hayo yote ni kutokana na usaliti wake kwa wazanzibar hao,kwani walokamatwa pamoja na yeye(2001)wapo gerezani na wengine wapo kusikojulikana.tunakushauri kawatoe kwanza walo magerezani ndipo upande majukwaani.
"hakuna utumwa mkubwa duniani kam utumwa wa akili"
 
Nimegudua leo kumbe MNYIKA MPARE ,siku zote nilijua ni MSUKUMA,CDM ya kanda maalum.DUNI HAJI KICHWA,kamua baba ustumie iridhi!
 
ndugu DUNI..mbona mlitoka bungeni yakhe kususia mambo ya bububu...au ndoa ngumu?
 
Haya nyie cdm mulipoungana na ccm katika serikali ya halmashauri ya kigoma tuwaite vipi?
 
Mzee Wetu hata hi makala sikutegemea kama utaweza kuandika mtu Kama wewe, sikuweza kumalizia kuisoma, haina dira, mzee wangu ulitakiwa ujuwe ulikotoka na ujuwe sasa uko wapi? Mimi ni mzanzibar na ninavoamini kusemwa neno ndoa kwenu nyinyi cuf na ccm, si matusi ya kufikia kusema kwamba chadema inafanya siasa za maji taka, mzee wangu unatakiwa uwe na heshima, usijione kwakua wewe ulitiwa ndani kipindi cha komando ukajiona ndio mwanasiasa bora, kutiwa ndani wewe Pamoja na Boc wako musijione ndio waasisi wa siasa, ule wenu nyinyi ulikua ni upeo mdogo tu aliokua na komando mpaka akayatangaza majina yenu kwa kutiwa ndani, hizi ni Siasa tu, ilitakiwa uwaite chadema muwaeleze Yale ambayo yanawakera, kwakua nawao inawezekana wakafunga ndoa na ccm hii hii. Je tuje tuwaite je? Cameron
 
Jamaa upeo wake mdogo sana.Moyo na akili vimejaa jazba tu.Ndiyo aina ya viongozi wa leo tulionao akili ndogo zinatawala kubwa.
 
Kuna kitu kinanishangaza,siku za hivi karibuni Cuf wanaonekana kupambana na Chadema katika majukwaa mbalimbali ya siasa. Kwa mfano hivi majuzi walikwenda Arusha eti nikasikia wanaenda kuvunja ngome ya Chadema. Sasa swali la kujiuliza je Cuf ni wapinzani wa CDM au CCM.
Hii ni siasa ambayo inaonekana kukosa umakini sana,badala ya kuuza sera chama ambacho kilipaswa aidha kushirikiana na chama chenzake katika mapambano dhidi ya chama tawala cha CCM kinakuwa kinapambana na mwenzake.
Sipati picha eti CUF wanakuja na kauli mbiu ya V4C ambayo inaendana na M4C. Hebu tujiulize,nini tofauti ya Vision for Change na Movement for Change. Hivi karibuni nilimsikia Kiongozi mmoja wa CUF akidai wao ndio wa kwanza kuja na kauli mbiu ya V4C. Haya uwenda nyie CUF ndio wa kwanza lakini kama mnakuta chama kingine kinaitumia tayari,mnapaswa kuonyesha ubunifu zaidi kwa kuja na mbinu nyingine bora zaidi.
Sasa kama mna nguvu maeneo kama Arusha mnapaswa msimamishe wagombea wa udiwani alafu tuone nani ana nguvu kuliko mwenzake kati ya CUF na CDM. Mimi sio mkazi wa Arusha wala sipo katika vyama vyote hivyo 2 vya CDM na Cuf
 
Mkuu wangu bado nakubaliana na hoja yako kwamba huyu bwana alipata mtikisiko wa ubongo alipokuwa jela.

Anatumia masuburi aliyokuwa nayo jela kufikiri, je mnategemea nini toka kwake? Hoja DUNI kabisa...
 
Well said.. Bravo mkuu
 
yakhe kiswahili tu hakuna tusi hata moja labda kama wataka ufafanuzi lugha tukupatie au tuonyeshe tusi lipo wapi

Kwa mawazo hakna ma2si ila kuitwa Kuu la Majambazi (Amrish Puri) DHAIFU ni TUSI na DHAMBI kubwa.
 
Kwa mawazo hakna ma2si ila kuitwa Kuu la Majambazi (Amrish Puri) DHAIFU ni TUSI na DHAMBI kubwa.

yakhe hayo yako sisi baridi; shekhe Duni keshasema habari ndiyo hiyo wazinifu na makuwadi ikulu mwatakani? hatari dhwaifu wa chini kama Slaa kumweka ikulu; twataka nusra na wake zetu.
 
Mkuu wangu bado nakubaliana na hoja yako kwamba huyu bwana alipata mtikisiko wa ubongo alipokuwa jela.

shekhe wasahau Slaa napata mtikisiko wa chini alipokuwa na upadri? Hala hala na wake zenu!
 
Nimegudua leo kumbe MNYIKA MPARE ,siku zote nilijua ni MSUKUMA,CDM ya kanda maalum.DUNI HAJI KICHWA,kamua baba ustumie iridhi!
wewe kweli ukabila umekuvaa, kwani sisi tunahitaji upare au usukuma? Tunachohitaji ni uzalendo na uadilifu!
 
Cdm jibuni hoja,co muporoje2.Cuf ni bab kubwa .Mukitaka nchi hii mucmueke kugombea urais yule mwizi wa wake za watu bali mumueke zitto.
 
Status
Not open for further replies.
Back
Top Bottom