Wakabambee58
JF-Expert Member
- Aug 14, 2020
- 930
- 1,289
Ni kweli mkuu mpaka kibali toka huko na kipate Baraka toka wilaya, mkoa ndiyo huko, kijana kusafiri nje uweke bond ya 30000.00 mshahara 400.00 au 560. 00 BOND YA 30000.00 UTAIWEZA?Mkuu, hii sijajua maana wakati huo nilikuwa naishi Congo lakini hata kama ilikua hivo hivo viwanda havikuwa na maana na ndio mana vilikufa sababu moja wapo ni kwamba huruhusiwi kununua gari mpaka upewe kibali na ikulu
Unaweza kupitia youtube um search mzee mmoja anaitwa Hashim Rungwe spunda, ameeleza Historia ya umiliki na uagizaji wa magari Tz enzi za Nyerere mpaka Mwinyi
Sent using Jamii Forums mobile app