Hahahahhah next time uwe unani-mention Mpwa at least nipunguze stress. Kutoka serikali ya Viwanda hadi serikali ya VW (V-Wonder)Safi sana. Hata mafuta ya petrol na diesel tununue huko maana ni bei nafuu kuliko huku bongo

Haya ndiyo mambo.....Waziri wa mambo ya nje mh Mulamula amesema Tanzania tutaanza kununua magari kutoka Rwanda kwa wale wanaopenda VW
Mulamula amesema hayo baada ya kutembelea kiwanda cha VW huko Rwanda akiwa na mh Rais Samia.
Unaishi na "laana" zako kisiwani?!!Naweza kusema hii nchi imelaaniwa..ni aibu hii aibu kubwa sana...nafikiri kuanza kuhama hii nchi ili wanangu wasizaliwe kwenye hii nchi iliyotiwa laana..naombeni uelekeo ndugu zanguni.
#MaendeleoHayanaChama
Waziri wa mambo ya nje mh Mulamula amesema Tanzania tutaanza kununua magari kutoka Rwanda kwa wale wanaopenda VW
Mulamula amesema hayo baada ya kutembelea kiwanda cha VW huko Rwanda akiwa na mh Rais Samia.
Usijali mpwaHahahahhah next time uwe unani-mention Mpwa at least nipunguze stress. Kutoka serikali ya Viwanda hadi serikali ya VW (V-Wonder)
Nonsense, nilijua wanaleta kiwanda hapa TZ
Volkswagen nadhani hawakushauriwa vizuri soko la magari ya Volkswagen kushindana na Toyota Africa mashariki sio rahisi hasa kwa TanzaniaSema yy ndio ataanza kununua gari mpya Rwanda brand new......
sisi zetu ni za mjepu za ten ten
Mkuu hata kama hujawai nunua gari wewe download app ya TRA utaona utaziona hizo kodi kwa macho yako.Sio lazima kiletwe mkuu, hakuwezikuwa na viwanda vya vw karibu hivi. Cha msingi wasiweke ma kodi yao ya hovyo tu maana member wanaonunua magari wanadai kodi ipo juu mno
Hawana shida na kiwanda manake wanatupiga parefu kwenye importation ya magari pale bandarini. Hata yakiagizwa Rwanda gharama zitakuwa juu kuimportNonsense, nilijua wanaleta kiwanda hapa TZ
Kununua sio tatizo tatizo kodi.Waziri wa mambo ya nje mh Mulamula amesema Tanzania tutaanza kununua magari kutoka Rwanda kwa wale wanaopenda VW
Mulamula amesema hayo baada ya kutembelea kiwanda cha VW huko Rwanda akiwa na mh Rais Samia.
Hata ma DCAngalia "upeo" wa wateuliwa wa rais kuanzia maDED wa juzi alafu ujiulize tena swali lako!!