Waziri Mulamula: Tanzania kuanza kununua magari Rwanda

Bingo ni shida sana sijui tunakwama wapi sisi ni wa kununua magari Rwanda kweli kanchi Kama wilaya ya kigambni
Ukubwa wa pua sio wingi wa makamasi, kuna gari used nyingi tu tunanunua kutoka Singapore ambayo inangia ndani ya Dar zaidi ya mara mbili
IMG_20210805_211610.jpg
IMG_20210805_211628.jpg
 
Tatizo lilichangiwa pia na Nyerere, kina mwinyi na mkapa wamekuta nchi ipo hoi ndio mana yanatokea haya kwa mfano unaambiwa wakati wa Nyerere na mwinyi mwanzoni kununua gari ilikua mpaka kibali upate ikulu

Sent using Jamii Forums mobile app
Wenye kumbukumbu nzuri tusaidieni. Naelezwa kwamba miaka ya 70 mpaka 80 Tanzania ilikuwa inaunda magari aina ya Bedford, scania, isuzu na hata trekta. Ni kweli au porojo za watu tu kwenye kijiwe.
 
Wenye kumbukumbu nzuri tusaidieni. Naelezwa kwamba miaka ya 70 mpaka 80 Tanzania ilikuwa inaunda magari aina ya Bedford, scania, isuzu na hata trekta. Ni kweli au porojo za watu tu kwenye kijiwe.
Mkuu, hii sijajua maana wakati huo nilikuwa naishi Congo lakini hata kama ilikua hivo hivo viwanda havikuwa na maana na ndio mana vilikufa sababu moja wapo ni kwamba huruhusiwi kununua gari mpaka upewe kibali na ikulu
Unaweza kupitia youtube um search mzee mmoja anaitwa Hashim Rungwe spunda, ameeleza Historia ya umiliki na uagizaji wa magari Tz enzi za Nyerere mpaka Mwinyi

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Wenye kumbukumbu nzuri tusaidieni. Naelezwa kwamba miaka ya 70 mpaka 80 Tanzania ilikuwa inaunda magari aina ya Bedford, scania, isuzu na hata trekta. Ni kweli au porojo za watu tu kwenye kijiwe.
Scania Hata Mimi nakumbuka ila hayo mengine siijui Kwa kweli.
Watakuja wenye habari zaidi .
 
MUONEENI HURUMA
uzee ni shida kwenye ofisi zaumma huyu alitakiwa awe Na wajukuu nyumbani
 
Udhaifu wa Serikali hii Itasababisha tupigwe sana. Na Ukizingatia Nchi zilizotuzunguka Zinajiamini Sana Sa hivi kutokana Na Utawala wa Hovyo wa Sasa.
Magufuli alikuwa Rais na nusu asee.... hata akizungumza unasikia SAUTI YA MAMLAKA inatoka kwenye mimbari za kinywa chake....

Hawa wapuuzi wa Rwanda na Kenya waliufyata. Kimyaaa kwa adabu!!

Sasa hivi wakiona shungi lile wanatudharauuuuu!!!!!

Tumekuwa dhaifu sana! Ghaflaaaa...
 
Tanzania ilipoteza Rais tarehe 17 march 2021
Dah umenipa majonzi tena!!

Huyo mzee alikuwa na mapungufu yake lakini kiukweli pasipo kupepesa macho yule mzee alikuwa Rais,

Hope ni wengi sana waliosherekea baada ya huyu mwamba kudondoka, Mtanzania mmoja aliwahi kusema mtandaoni kuwa yeye alishiriki kumuaga mwamba ili akajiridhiahe kama kweli mzee alikuwa hapumui tena

Dah kifooooooooooooooooo

Continue resting in eternal life Mzee Magu
 
Magufuli alikuwa Rais na nusu asee.... hata akizungumza unasikia SAUTI YA MAMLAKA inatoka kwenye mimbari za kinywa chake....

Hawa wapuuzi wa Rwanda na Kenya waliufyata. Kimyaaa kwa adabu!!

Sasa hivi wakiona shungi lile wanatudharauuuuu!!!!!

Tumekuwa dhaifu sana! Ghaflaaaa...
Wewe umenielewa Aisee. Utawala huu Umezifanya Nchi zinazotuzunguka Kutushika Makalio. Na Ukizingatia Aliyekuwepo Alikuwa Anawajua Vizuri
 
Magufuli alikuwa Rais na nusu asee.... hata akizungumza unasikia SAUTI YA MAMLAKA inatoka kwenye mimbari za kinywa chake....

Hawa wapuuzi wa Rwanda na Kenya waliufyata. Kimyaaa kwa adabu!!

Sasa hivi wakiona shungi lile wanatudharauuuuu!!!!!

Tumekuwa dhaifu sana! Ghaflaaaa...
Kweli ilikua Ni sauti ya mamlaka Ni mwendo wa kuokota miili tu kwny viroba,teka Sana wakina MO.
 
Si mnajenga SGR yenu na itafika, Rwanda, Burundi na bandari yetu inategemea mizigo ya Rwanda, Burundi, Congo na Uganda. Nyie mnataka mfanye biashara nyie tu? Hii ni two way traffic lazima sisi wenyewe waafrika tuungishane. Hapo kibaha Kuna malori ya kichina yanaundwa/ kuunganishwa mnadhani soko litapatikana wapi? Mazao yenu mnauza wapi, Azania, Mo na Bakhresa huko Rwanda, Burundi na Congo ndiyo masoko yao makubwa. Lazima na sisi tununua toka kwao ili tuwe na biashara endelevu.
Wakati wa Magu huyu kagame alinunua advance Radar kabla ya sisi akaifunga kwao halafu akaomba kibali kwenye mamlaka ya anga ya Africa acontrol anga letu lote kwa kuongoza ndege kwa niaba yetu, zile radar zinasoma mpaka Dodoma. Magu akaona ujinga huu akanunua za kwetu na kuzifunga, bila hivyo tungekula tunawalipa Rwanda kutuongozea ndege. Kingine amejenga mtambo mkubwa wa kuchenjua Madini wakati sisi bado hatuna, Magu akahimiza wawekezaji mpaka wamejenga. Kagame alitegemea kupata Madini yetu yakasafisbwe huko. Ndiyo maana uhusiano wao haikuwa mzuri Sana hapa mwishoni.
 
Tunatoa Pesa Zetu Tunapeleka Nje. Hatujaona Maelezo ya Sisi Kuwapeleka Bidhaa kwao. Sisi Tunapeleka Nn Rwanda Kama Tutaenda Nunua Magari Kwao
Bange Ni mbaya sana,Rwanda wanaimport bidhaa zenye thamani ya zaidi ya $500mil kutoka Tz kwa mwaka huku nasi tuki import vitu vyenye thamani ya zaidi $250mil kutoka Rwanda.
 
Back
Top Bottom