MINOCYCLINE
JF-Expert Member
- Apr 2, 2015
- 8,011
- 16,748
Mheshimiwa bahati nzuri sana Sisi wengine kama Mimi Generalist ni Watu wa 'Kujichanganya' mno na Watu mbalimbali wenye Hadhi fulani, wa Kawaida na hata 'Kajambanani' Wenzangu.
Mheshimiwa Waziri Mkuu ( Premier ) Kassim Majaliwa kuna mahala nimekusikia na kukuona ukitoa Taarifa juu ya Maambukizi ya UKIMWI nchini Tanzania huku ukijiamini kabisa na kusema kuwa Umeshuka sana ukilinganishwa na miaka ya nyuma.
Waziri Mkuu Majaliwa mwaka jana hata kabla ya Uchaguzi Mkuu nchini Tanzania nilibahatika kukaa na Afisa Mwandamizi Mmoja wa TACAIDS (ila Kimaadili hapa namlinda ) na naomba niyanukuu hapa maneno yake aliyoniambia ambayo Kiukweli kutokana na Uhuni ( Umalaya) wangu yalinifanya tokea aliponiambia hiyo mwaka jana hadi hii leo nijipe Likizo ya lazima ya Kutowabandua ( Kutowatia ) Mademu Kiholela huku nikijikita zaidi katika Kufanya 'Toba' kwa Mungu wangu.
" Kijana Generalist chukua toka Kwangu kuwa kama kuna wakati Maambukizi ya UKIMWI yameongezeka maradufu nchini Tanzania basi ni huu na Binafsi nasikitika mno tu "
Akaendelea....
" Hii Awamu ya Tano ya Rais Dkt. Magufuli imechochea sana kuongezeka kwa haya Maambukizi kutokana na kwamba hali ya Maisha ni ngumu na Dada zetu wanajirahisi kwa Wanaume mbalimbali ili waweze Kukidhi Mahitaji yao ya Kimaisha "
Akaendelea....
" Na si hayo tu hata Kipindi hiki hiki Ongezeko la Watoto wa Kiume hawa Mashoga limekuwa Kubwa ambao nao pia wengi wao wameshaathirika hivyo tatizo kuzidi Kuongezeka nchini hata maeneo mengi ya Mijini na Mikoa mikubwa "
Akamalizia....
" Tunashindwa tu kuweka hili wazi kwa Public kwani tunaogopa tunaweza Kuongeza Hofu lakini pia hatujui Mheshimiwa Rais nae atalipokeaje kwani nae huwa hatabiriki Kimapokeo na Kimtizamo. Nakuomba kuwa makini sana, jilinde na tumia Condoms kwani UKIMWI sasa umeshatapakaa na kuongezeka Tanzania "
Mheshimiwa Waziri Mkuu Majaliwa Mimi Generalist sisemi kuwa usiiamini hiyo Ripoti yako uliyopewa na kuitoa Leo ila Kinachonishangaza mpaka Kimenishtua na kuamua kuja na huu Uzi wangu ni kwamba Watu hao hao huko Serikalini na Taasisi yao waliokuambia UKIMWI umepungua ndiyo hao hao wameniambia Mimi kuwa UKIMWI umeongezeka zaidi.
ARV's zimetupa sana Kiburi Watanzania.