Waziri Mkuu Majaliwa nahisi kwa hili la Kiwango cha 'UKIMWI' Tanzania ' Umedanganywa' na uliowaamini kiutendaji huko Serikalini

Waziri huyu anapenda sana taarifa za uongo sijui kwa nini. Anaweka siasa siasa za kibongo kwenye hadi issues zinazohitaji useriousness! Target yake daima ni kuonyesha kuwa awamu yake imekuwa bora zaidi ya zilizopita hata kama anadanganya waziwazi. Anadharaulika sana kwa mwenendo huu.
 
Viongozi wa Tanzania kiboko.
Wanakuambia nchi iko uchumi wa Kati wakati watu hawana hela na wengi wanakula mlo mmoja kwa siku. Wafanyakazi wa viwandani hasa vya wachina na wahindi wanapokea chini ya laki tatu. Unaambiwa uchumi wa Kati.
Ukienda Sinza, Mboka Buguruni, sugar Ray na Mbagala ngono Ni buku kwa Mpalange buku mbili...huku unaambiwa ukimwi umepungua.
Leo unaweza ukaambiwa hakuna mvua wakati binafsi inakunyeshea na maji yamejaa ndani kwako.
Huko kwa Mpalange inaelekea kuna mademu wazuri wazuri mpaka wao wanafanya kwa buku mbili huku huko Mbagala,Buguruni na Sugar Ray wakifanya buku buku
 
Yani unategemea watu wa Tacaids wakwambie ukimwi umeshuka ili wao wakose funding sio...
Haya mambo yenye personal interests yapo fabricated sana..
Tuombe uzima tu
 
Ni kweli mkuu ukimwi upo mwingi sana sana na bahati mbaya tulio wengi hatuutilii maanani twauona kama Mafua lakini unapukutisha sana.
 
Back
Top Bottom