Karandinga
Member
- Jun 25, 2008
- 66
- 1
mwawado... nyota njema huonekana asubuhi. Wengine tulipoonesha dalili tukaonwa tuna "chuki". Tatizo la viongozi wa Tanzania siyo elimu, siyo kabila, siyo wapi wamesoma, na kwa hakika siyo dini zao.. tatizo la viongozi wetu ni uwezo.
Bado tunafanya makosa ya kufikiria msomi=kiongozi bora! au mwenye mvuto=kiongozi bora..!!! Swali ni tunapimaje uwezo kabla hawajapewa madaraka? Maana kama Lau alipewa nafasi (promotion as a matter of fact) hili linasema nini kuhusu uwezo wa yule aliyemteua? au mchakato wa uteuzi wake?
I cosign Mwanakijiji!! Ulimbukeni wetu unatugharimu sana. Once again please read "The Confessions of an Economic Hitman" by John Perkins to see how companies like Sagem function and where and how people like Pinda and Masha fit in.....