Waziri Masha na Kashfa ya Vitambulisho

Waziri Masha na Kashfa ya Vitambulisho

wandugu,

..hivi Mengi amemsamehe kweli Laurian Masha? mbona bado anamwandama kwenye magazeti yake?

..haya malumbano yananilazimisha nianze kuwahoji watoa hoja, pamoja na hoja wanazozitoa.
 
wandugu,

..............wananchi tuwe makini hapa. ..........

...............naomba kutoa dokezo tu kwamba Spika Samuel Sitta ni fisadi aliyeifilisi mamlaka ya uendeshaji makao makuu Dodoma -- CDA. sasa leo eti ndiyo amegeuka kuwa mdau wa kupiga vita ufisadi.

Mkuu JokaKuu......nakusoma barabara......tena huyo Sitta siyo CDA tu check vile vile alipoongoza mambo ya Investment.......kule ilikuwa balaa.............

......anyway back to your point......mkuu wacha hawa mafisadi wagombane wao kwa wao......then sisi wananchi we get to know.....ushenzi wao..............kama vyombo vyetu vya Dola vingekuwa vinafanya kazi yake kisawasawa tusingekuwa na mambo ya kipuuzi kama tunayoyaona...........

.......Waziri unaingilia kazi(mchakato) ya kamati ya Zabuni........halafu bado anaendelea kudunda..........and we call ourselves serious!!........we must be joking....
 
..[snip]...........Wizara ile haiwezi. Kusoma sheria si hoja ya utendaji wake katika wizara nyeti kama ile. Pengine wambadilishe apewe nyingine. Tusubiri tuone. Haya yote ni matokeo ya uongozi wa uswahiba.

Hebu Mkuu unganisha Thread zote tulizowahi kumzungumzia kijana huyu. Hapo mutaona Utabiri na mapendekezo yetu siku nyingi, tangu mwaka jana.

Dogo Masha hana dalili za ufahamu wa kazi aliyo nayo kabisaaaa!!

Mkuu wa nchi hajagundua umuhimu wa kila wizara. Hebu angalia anavyocheza na wizara hizi: Fedha, Ulinzi na mambo ya ndani. Mbona hata Mugabe na Kibaki wanafahamu umuhimu wa wizara hizo?

Yaani ndo zimekuwa za vijana kujifunzia siasa! Eti Ulinzi ni Hussen Mwinyi! 'On Job training'
 
Ngeleja na yeye ngoma nzito anatuhuma za kuvuta m 100, tatizo JK aliamini sana vijana na ndio wanamwangusha maana uzoefu ni mdogo kwa mfano mtizamo wangu ni kwamba kagasheki angepewa wizara na masha angekuwa naibu....

Kwa hili la vijana una generalise, hapo si dhani kuwa hoja ni ujana au uzee. Na nani alikwambia katika kazi ya kutia sign na kuhudhuria mikutano na kusoma majibu uliyopewa na watendaji bungeni kwa niaba ya serikali kuna uzoefu unatakiwa zaidi ya kujua kusoma na kuandika?.

Hapa si uzoefu ila sasa umefika wakati wa kuona kuwa nafasi ya uwaziri ni ya kisiasa na ulaji tena , bali ni ya ubunifu na kutoa huduma jamii ili kuendeleza nchi. Hebu tuangalie enzi za Lyatonga alipokuwa mambo ya ndani alichofanya, japo nae alikuwa na mapungufu yake mengi ila alikuwa mbunifu, kuanzisha police post na kuifanya huduma kuwa karibu zaidi na wananchi. Nchi za wenzetu mtu hupewa nafasi ili alete idea mpya na kutoa mchango katika jamii si kwenda kusubiri posho na madili ya kifisadi.

Hawa vijana nina uhakika si representative sample ya vijana wote, ila tatizo lao wanafanyia kazi kwa ajili ya interest groups zao badala ya wananchi, wamekosa ubunifu, wamekosa uzalendo, wamekosa uchungu na nchi yao ndiyo maana wanakuwa wabinafsi zaidi. Nina uhakika kabisa kama katiba itafanyiwa marekebisho na kuruhusu mawaziri kutoka nje ya wabunge kuna vijana wengi sana wenye vipaji vya hali ya juu katika kubuni mambo mazuri ya kuendeleza nchi na wananchi wake ila hawataki kujiingiza kwenye mambo ya kugombea kura za ubunge. Nina uhakika kuwa JK kama akiangalia nje ya bunge kuna vichwa vipo makini sana ambavyo vikitumiwa vizuri kwa kupewa nafasi ya kuamua bila kuingiliwa na mafisadi basi in 10 years time Tanzania itakuwa nchi ambayo kila mtu anatamani iwe ukiacha hawa wasaliti wachache wanaoangalia nani ni nani, badala ya nani ataweza fanya nini.
 
..Balozi Kagasheki naye alikumbwa na kashfa alipokuwa UN. sijui hata kwanini Raisi amemtueu kwenye nafasi nyeti kama hiyo.
 
Mkuu NN, Kati ya watu 40ml. wapo wazee, watoto, wasio na uwezo wa kufanya kazi kwa sababu nyingine zozote na pia wapo wenye uwezo. Kinacho sababisha wenye uwezo kutopewa nafasi za kushika madaraka makubwa zipo nyingi. Chache ni kama zifuatazo;

1. Kutokujulikana uwepo wao (kwa wateuzi)
2. Kutokuaminika kwa wateuzi (maslahi ya taifa na binafsi)
3. Kutofautiana kiitikadi
4. Kutokuwa na sifa za kushika madaraka yanayohusika (sio wabunge, sio wasomi wa fani husika, sio wenzao n.k.).
5. Kutokujali kwa wanaoteua.

Kwahiyo Mkuu, sababu hizo na nyingine nyingi, ndizo zinazosababisha kila mara watu wale wale kurudi kwenye safu za uongozi, kuendelea kwa utendaji usioridhisha, kujiamini kunakopita kiasi kwa walioteuliwa (wakidhani kuwa wao ndio pekee wanaofaa).

haya yote tunaweza kusema kwa kifupi ni "KUTOKUWA MWENZAO" Kama wasemavyo wao (Yaani mtoto wa nani?, yupo chama gani?)
 
Wakati umefika sasa wa kuandaa muswada wa kumruhusu rais kuteua mawaziri nje ya wabunge... maana ile pool ya watu kama 300 mjengoni, ni kama tambala lililooza, kila unaposhika panachanika....

Utamuondoa masha sawa, lakini hiyo replacement itakua ni yaleyale. Ikija dili la new driver's licence hapa, mtu atahangaika na kuiweka kampuni yake au ya wafadhili wake. Masha ndio kakosea, lakini the tabia can be said of all the mawaziri...wanazidiana mbinu tu. Huwezi mtu kutumia millioni 200 au zaidi kutafuta ubunge, halafu ukipata uwaziri ufanye kazi ya umma.

Na naamini wakitenganisha uwaziri na ubunge, hata hizo vurugu za majimboni zitapoa. Hakuna mtu wa kufanya biashara kichaa ya kuwekeza 200m kwa returns za 100m za ubunge mtupu.
 
Currently Active Users Viewing This Thread: 28 (8 members and 20 guests)
MiratKad, Dr.W.Slaa, Fundi Mchundo, Koba, MchunguZI, Mkandara, sekassim, Sem

.......

Slaa, Asante mpiganaji kwa kazi ngumu unayoifanya katika kipindi hiki cha bunge. Endelea kumkoma nyani giladi...
 
..Balozi Kagasheki naye alikumbwa na kashfa alipokuwa UN. sijui hata kwanini Raisi amemtueu kwenye nafasi nyeti kama hiyo.

una uhakika na hiyo kashfa au ndio yale yale ya kusikia?
kama una uhakika hebu tuelezee hiyo kashfa ilikuwaje.
 
kafara said:
una uhakika na hiyo kashfa au ndio yale yale ya kusikia?
kama una uhakika hebu tuelezee hiyo kashfa ilikuwaje.

Kafara,

..naona umekuja kwa kasi kama mbogo.

..sina uhakika na hiyo kashfa, bali ni yaleyale mambo ya kusikia na majungu-majungu.

..majungu-majungu yenyewe nimekuwekea hapa chini. yalitokea UN na kuandikwa kwenye New York Times.

Swiss Investigates Possibility of Bribery in U.N. Contract
Judith Miller

Swiss judge is investigating possible bribery charges involving a $50 million contract to renovate the headquarters of a Geneva-based United Nations agency, according to government documents and Swiss and American officials.

Jean-Bernard Schmid, the Geneva-based judge who has led the criminal inquiry, said in a telephone interview on Friday that his investigation was focusing on Michael Wilson, who was a consultant to the company that won the renovation contract at the World Intellectual Property Organization.

Mr. Wilson, a Ghanaian businessman, has been identified by investigators as a business associate of Kojo Annan, the son of Kofi Annan, the United Nations secretary general. The judge said Kojo Annan was not a target of the investigation.

Investigators said the judge was trying to determine if Mr. Wilson had bribed a senior official at the United Nations agency to win the renovation contract. Edward Kwakwa, the agency's legal counsel, said Khamis Suedi KAGASHEKI, a top official at the intellectual property agency, acknowledged having received 325,000 Swiss francs, about $270,000, from Mr. Wilson, but said the money was from a private business venture that had no connection to the agency's construction contract. In an interview, Mr. Suedi said he had had nothing to do with the awarding of the contract.

Mr. Kwakwa said the agency's internal regulations, which are under review, permitted agency employees to have outside business interests as long as they were reported to the agency, approved by the agency's director and did not involve intellectual property. Mr. Suedi recently informed the agency that he was leaving in late April to pursue other activities, Mr. Kwakwa said, adding that he was not aware that Mr. Suedi had violated any rules of the agency, which registers and protects intellectual property.

Mr. Wilson did not return repeated phone messages seeking comment.
The criminal investigation was first reported Friday by Le Temps, a Geneva-based newspaper. Judge Schmid confirmed information published in the article, but declined to elaborate on details of his inquiry.

Mr. Wilson's relationship with Kojo Annan was cited in a recent report issued by the United Nations commission investigating its oil-for-food program in Iraq . According to the commission, Mr. Wilson was a vice president at Cotecna Inspection S.A., a company that worked for the oil-for-food program, and Mr. Wilson helped get Mr. Annan a job at the company.

After both men left Cotecna, they became partners in a consulting business in Africa, according to investigators in the United States and Europe . Kojo Annan's lawyer, Clarissa Amato, declined comment for publication.

The Swiss investigation concerns Mr. Wilson's activities in Geneva . Mr. Kwakwa said Mr. Wilson had been an intern at the intellectual property agency "decades ago" when his father was posted in Geneva as an ambassador from Ghana . Mr. Kwakwa said that more recently Mr. Suedi told officials there that he and Mr. Wilson had been doing work that involved "benevolent, nongovernmental organizations." Mr. Kwakwa said the outside work had been approved by the agency.

In a March interview, Mr. Suedi said that he and Mr. Wilson had done some consulting work in connection with the prospective purchase and management of hotels in Tanzania , but that it "hadn't worked out."

Officials said that after opening the investigation last year, Judge Schmid ordered Mr. Wilson jailed for nine days, during which investigators reviewed his computer files and bank records. Investigators said he was released after he agreed to cooperate with the inquiry and acknowledged having received a large consulting fee from the BPS construction consortium - comprising Béric S.A., Perret and Seydoux-DMB, - that renovated the headquarters. He also acknowledged having made a payment to Mr. Suedi.

The agency is one of several United Nations agencies and affiliated organizations whose management practices have recently been criticized by internal and outside reviews. A review published in February by United Nations officials in New York recommended substantial changes in the agency's budgeting and personnel policies.
"The inspectors believe a headquarters review and needs assessment should be undertaken urgently," says the review, a copy of which is posted on the agency's Web site.

The New York Times, 16 April 2005:
http://www.nytimes.com/2005/04/16/in...html?th&emc=th
 
Kafara,

..naona umekuja kwa kasi kama mbogo.

..sina uhakika na hiyo kashfa, bali ni yaleyale mambo ya kusikia na majungu-majungu.

..majungu-majungu yenyewe nimekuwekea hapa chini. yalitokea UN na kuandikwa kwenye New York Times.

samahani jokakuu kama kuuliza swali maana yake kuja kasi kama mbogo.

mimi nilidhani unazotaarifa kuliko hizi zilizotolewa na new york times. naona
hata le temps pia iliandika habari zinazofanana na hizo. hata hivyo kwa kweli
kwenye hiyo taarifa mimi sioni kashfa kwani mlengwa wa hiyo issue alikuwa
huyo jamaa anaeitwa wilson

Swiss Investigates Possibility of Bribery in U.N. Contract
Judith Miller

Swiss judge is investigating possible bribery charges involving a $50 million contract to renovate the headquarters of a Geneva-based United Nations agency, according to government documents and Swiss and American officials.

Jean-Bernard Schmid, the Geneva-based judge who has led the criminal inquiry, said in a telephone interview on Friday that his investigation was focusing on Michael Wilson, who was a consultant to the company that won the renovation contract at the World Intellectual Property Organization.

Mr. Wilson, a Ghanaian businessman, has been identified by investigators as a business associate of Kojo Annan, the son of Kofi Annan, the United Nations secretary general. The judge said Kojo Annan was not a target of the investigation.

hapa sijaona mahali panaposema balozi kagasheki ni target ya hiyo
investigation

Investigators said the judge was trying to determine if Mr. Wilson had bribed a senior official at the United Nations agency to win the renovation contract. Edward Kwakwa, the agency's legal counsel, said Khamis Suedi KAGASHEKI, a top official at the intellectual property agency, acknowledged having received 325,000 Swiss francs, about $270,000, from Mr. Wilson, but said the money was from a private business venture that had no connection to the agency's construction contract. In an interview, Mr. Suedi said he had had nothing to do with the awarding of the contract.

Mr. Kwakwa said the agency's internal regulations, which are under review, permitted agency employees to have outside business interests as long as they were reported to the agency, approved by the agency's director and did not involve intellectual property. Mr. Suedi recently informed the agency that he was leaving in late April to pursue other activities, Mr. Kwakwa said, adding that he was not aware that Mr. Suedi had violated any rules of the agency, which registers and protects intellectual property.

hizi ni pesa ambazo balozi kagasheki hakukana kuusika nazo na binafsi sijasikia mahali kwamba hizo pesa zilithibitishwa kwamba zilikuwa ni rushwa

aidha naona jamaa wa shirika la un linalohusika amesema balozi kagasheki hakuvunja sheria za shirika na kwa vile balozi kagasheki anaweza bado
kuingia na kutoka uswiss ni dalili kwamba hakuvunja sheria za waswiss pia
[/QUOTE]

Mr. Wilson did not return repeated phone messages seeking comment. The criminal investigation was first reported Friday by Le Temps, a Geneva-based newspaper. Judge Schmid confirmed information published in the article, but declined to elaborate on details of his inquiry.

Mr. Wilson's relationship with Kojo Annan was cited in a recent report issued by the United Nations commission investigating its oil-for-food program in Iraq . According to the commission, Mr. Wilson was a vice president at Cotecna Inspection S.A., a company that worked for the oil-for-food program, and Mr. Wilson helped get Mr. Annan a job at the company.

After both men left Cotecna, they became partners in a consulting business in Africa, according to investigators in the United States and Europe . Kojo Annan's lawyer, Clarissa Amato, declined comment for publication.

The Swiss investigation concerns Mr. Wilson's activities in Geneva . Mr. Kwakwa said Mr. Wilson had been an intern at the intellectual property agency "decades ago" when his father was posted in Geneva as an ambassador from Ghana . Mr. Kwakwa said that more recently Mr. Suedi told officials there that he and Mr. Wilson had been doing work that involved "benevolent, nongovernmental organizations." Mr. Kwakwa said the outside work had been approved by the agency.

In a March interview, Mr. Suedi said that he and Mr. Wilson had done some consulting work in connection with the prospective purchase and management of hotels in Tanzania , but that it "hadn't worked out."

Officials said that after opening the investigation last year, Judge Schmid ordered Mr. Wilson jailed for nine days, during which investigators reviewed his computer files and bank records. Investigators said he was released after he agreed to cooperate with the inquiry and acknowledged having received a large consulting fee from the BPS construction consortium - comprising Béric S.A., Perret and Seydoux-DMB, - that renovated the headquarters. He also acknowledged having made a payment to Mr. Suedi.

The agency is one of several United Nations agencies and affiliated organizations whose management practices have recently been criticized by internal and outside reviews. A review published in February by United Nations officials in New York recommended substantial changes in the agency's budgeting and personnel policies.
"The inspectors believe a headquarters review and needs assessment should be undertaken urgently," says the review, a copy of which is posted on the agency's Web site.

The New York Times, 16 April 2005:
http://www.nytimes.com/2005/04/16/in...html?th&emc=th.

dio maana nikauliza swali. hayo ya majungu sikuyasema mimi ila naona ni tafsiri yako. hata hivyo samahani kama umeona nimeashiria kwamba uliyosema ni majungu majungu.
 
Wakati umefika sasa wa kuandaa muswada wa kumruhusu rais kuteua mawaziri nje ya wabunge... maana ile pool ya watu kama 300 mjengoni, ni kama tambala lililooza, kila unaposhika panachanika....

Utamuondoa masha sawa, lakini hiyo replacement itakua ni yaleyale. Ikija dili la new driver's licence hapa, mtu atahangaika na kuiweka kampuni yake au ya wafadhili wake. Masha ndio kakosea, lakini the tabia can be said of all the mawaziri...wanazidiana mbinu tu. Huwezi mtu kutumia millioni 200 au zaidi kutafuta ubunge, halafu ukipata uwaziri ufanye kazi ya umma.

du. mawaziri wote maslahi binafsi au ya watu wao au wapambe wao mbele kwanza? (ndio ulivyoandika hapo juu). lakin naamin sio sehemu zote zinachanika. vip pinda? naye maslahi binafsi? siamin. kama ndio hivyo tudokezee kidogo kaufisad kake ambako alipata kukafanya kubeba kakampuni fulani.

Huwezi mtu kutumia millioni 200 au zaidi kutafuta ubunge, halafu ukipata uwaziri ufanye kazi ya umma.

hii sasa kali. sasa mtu akitumia hizo 200m halafu akakosa ubunge au uwaziri itakuwaje? maana kikawaida tunakuwa na wabunge kama 300 na mawazir huwa hawazid 60. chance ya kukosa uwaziri ni kubwa.
mtu kama huyo akikosa uwazir itakuwaje?

labda ndo maana wanataka waongezewe mishahara, marupurupu na nk kila wakati. ili wakat wakipindi chao cha uongoz warudishe hela waliyotumia pamoja na faida juu.

kama kuna watu wanatumia mahela kibao kupata nafas halafu wanajiingiza kwenye matendo ya aibu iliwarudishe walichokitumia na wapate faida, ni kwasababu ya ulegelege wa viongoz wetu wa juu zaid. na hapa moja kwa moja namsema presidaa na pm wake. bila kuacha bunge letu. wao wakiwa imara kama ilivyotokea majuz kwa masha 'kukataliwa' next time watu watafikiria mara mbilimbili kumwaga mahela yao wapate ubunge na hatimaye uwaziri.

watu wanaona. wakija kuona at the end kampun la ovyo limepewa tenda kwasababu limebebwa na wazir baadae tutegemee watu wengi kuutaka huo uwazir. hata zaid ya 200m au 300m watu watakuwa tayar kutoa ili wapate vyeo hivyo. watafanya hivyo wakijua kuwa dili moja tu likipita wizaran kwake basi, hela imerud na faida juu.
ufisad tukiumudu kwa kiwango cha kuridhisha hata matumiz makubwa na hongo kwenye chaguz yatapungua.
kwamfano, mbunge anapiga mahesabu. anaona mshahara na marupurupu yote hayafikii hiyo 200m, unafikir atatoa rushwa na kutumia 200m ili achaguliwe? mh. itakuwa ngumu. lakin ukimwona anatoa amount hiyo basi ujue kuna sehemu atakuja kulikoroga.

lakin si wote wanakuwa wametumia mahela mengi na wanataka kuyarudisha. wengine wakishaona hakuna wa kumwajibisha (mambo yanaendeshwa kishikaji), sheria ziko legelege, walioko juu nao wana machafu yao kama ufisad na nk. mtu anaamua kujimegea.
[/QUOTE]
 
Kwa mujibu wa uchunguzi wa Nipashe wiki iliyopita, wajumbe wanaounda Bodi ya Zabuni ya Wizara hiyo, ni pamoja na wajumbe kutoka Magereza, Uhamiaji, Jeshi la Polisi, Kikosi cha Zimamoto na Uokoaji na mchakato wa zabuni hiyo uliwahusisha pia maofisa kutoka Taasisi ya Kuzuia na Kupambana na Rushwa nchini (Takukuru) na Usalama wa Taifa.

Wakuu hao jamaa niliowawekea nyekundu wana msaada(kazi) gani kwenye mchakato mzima wa zabuni (naomba kuelimishwa)!
 
MawazoMatatu umenivunja mbavu! Labda wana kazi ya kuangalia kama vitambulisho vinashika moto kwa urahisi.... Au wako standby kama litatokea tukio la moto wakati wa vikao.... Au.....
 
Sheria ya Public procurement inataka kuwe na Tender Board ya taasisi , wizara na idara zinazijitegemea. Kwa wizara , idara zote zinawakilishwa! ndhani ndo maana ya zimamoto kuwemo!
 
Kuna baadhi ya viongozi wakubwa serikalini bado hawataki kukubali kwamba watanzania tumebadilika na "we are very serious with anybody" mwenye chembe za kujinfuaisha au kukiuka misingi na maadili ya uongozi. Watu wengine bwana, sijui wakoje (nawashangaa)????? mtu anaona moto unafukuta lakini bado anakuwa na ubishi, anataka akajitupe kwenye kikaango cha moto. Sheria zitakukaanga tu. "Tanzania is now on track heading to "Tranparency + Accountability = Good Governamnce"." Kiongozi asiyetaka kuamini, basi mwache tu, atakuwa shuhuda kwa wengine huko keko.
 
``Ni kweli wiki ijayo (wiki hii) tumemwita Waziri Masha pamoja na wataalam hao ili kuweza kupata ukweli wa mambo,`` alisema Masilingi.

Alisema anatoa wito kwa mtu yeyote mwenye taarifa kuhusu sakata hilo kuwasilisha taarifa yake mbele ya kamati, vyombo vya dola na Taasisi ya Kuzuia na Kupambana na Rushwa (Takukuru).

Anhaaa, leo mnakumbuka wananchi wenye taarifa wakati serikali ilikamata vijana wa Jambo Forums kwa ku bring these issues to the fore, wabunge mkaona poa tu? Mhe. Masilingi, I don't believe you said that.

Ukakaa kimya serikali ilipotishia kuja na ma policies ya ku-crack down watu "wanaotoa siri za serikali" na kuzipeleka mitandaoni? Eti wafanyakazi waiingie tovuti nyingine lakini si Jambo Forums?

You are a Willy come lately on this. Japo unajitahidi kukuza utamaduni wa kamati za Bunge kusimamia kwa karibu serikali. Na kwa kutangaza wazi kwamba kamati yako inafanya kauchunguzi juu ya vitendo vya a sitting minister, kwa kweli hili linaweza kuwa unprecedented. Marehemu Wangwe aliwahi kusema Kamati ya Ulinzi na Usalama imegubikwa na usiri mtupu, ndio huko biashara za "siri za jeshi" zinakopikwa huko. Ni vizuri kuona umeanza mabadiliko na uwazi. Unless unatangaza kwa sababu, as I alluded to, huna data sasa leo unataka msaada wa Jamii Forums.

Masilingi you need this one to salvage your legacy manake ulipokuwa Waziri wa Utawala bora ndio Tanzania ilifungulia pazia la show hizi za kuifundisha dunia jinsi ya kufanya ufisadi. Rais anapanga na Waziri mwenye kusimamia migodi wanunue mgodi kwa saini ya Waziri anaesimamia migodi!

Sasa hii show ya Masha sijui kama ni mpya, I have seen this movie before, and I know how it ends.
 
Kuhani,

.....at times huwa nafikiriaaa wee.......najiuliza hivi hawa watu wana kumbukumbu kweli vichwani mwao na kweli wanajua wanachokiongea au.......basi tu ili mradi nao wasikike..............
 
Kuhani,

.....at times huwa nafikiriaaa wee.......najiuliza hivi hawa watu wana kumbukumbu kweli vichwani mwao na kweli wanajua wanachokiongea au.......basi tu ili mradi nao wasikike..............

"Sio kusikika tu"! Huyu Mkuu Masilingi anafanya mambo mengi kurudisha imani ili akumbukwe tena kwenye Cabinet! Ni mmoja wa Wabunge wenye Ushawishi Mkubwa.....Anachanga karata hapo!
 
Back
Top Bottom