Hivi ni kampuni gani ya India iliyopewa kufufua reli ya kati? Je! Ilifanikiwa kufufua? Mbona tuna kumbukumbu ndogo!Tunarudi kule kwa DOWANS bila aibu!
Hivi ni kampuni gani ya India iliyopewa kufufua reli ya kati? Je! Ilifanikiwa kufufua? Mbona tuna kumbukumbu ndogo!Tunarudi kule kwa DOWANS bila aibu!
Kwaiyo umeona Makamba kafanya jambo la maana baada ya kuwekeza nguvu katika uzalishaji ili tupate umeme wa uhakika,Yeye anatupa ela kwenye mfumo wa kucontrol umeme ambao haupo,niliisha sema ubaya wa Magufuri usialalishe mabaya ya awamu ya 6,kisa Magufuri kafanya uchafu na akina Makamba nao wafanye yaleyale.
Watanzania ni waoga na Lazy, nchi inapigwa na watu as if wao wameruhusiwa kutupiga why are we stupide?Mzee wangu Magufuli ulale salama huko uliko uliona mbali kutokucheka na kima!
Sio muhimu kwa sasa wakati bado uzalishaji na distribution bado zina chrchemeaWanaweka system ya monitoring eleweni ,kukiwa na fault wao wanaona mapema sio mpaka mteja apige simu,Wire ukikatika ,transforma likibutuka ,nguzo ikidongdoka ,low & high voltage kwenye lines wanaona zote na kuzitatua mapema ,huo ndivyo ufanisi.
Huwezi kumpangia mtu kuhoji, ww mwenyewe zamani ulikuwa unahoji why now huoji?Hakuna anayewazuia kuhoji, bali tunawaambia ni wanafiki, maana kama ni kuhoji walipaswa kuanza toka enzi za mwendakuzimu.
Sasa Mbona anajiweka Kimbelembele as if yeye ndio kauletaHii system wala sio makamba alieileta, hii ilitangazwa tenda miaka 2 ama 1 uliopita na kampuni zikaomba ndio hiyo imeshinda tenda.
Sio mfuno wa kupiga hela, ni mfumo mzima wa hesabu, hr, billing, data management nk. Huo mfumo umefadhiliwa na WB kwa mkopo.
Sio kila kitu lazima alaumiwe makamba, hapo hakuna lawama. Kwanza hakuhusika kabisa.
Ndio tukodi management ?Kila siku watu wanataka ukinunua umeme ujiwashe kama king'amuzi. Sasa sijui wanafikiri ni kusema tu inakuwa tayari. Lazima uwekeze katika Technology. Hii lazima ifanyike kazi ya Meter rollout zote na ufunge smart meters. Pia lazima kuwe na fault locators all over the country. Kazi inafanywa tunalalamika.
Tunataka nini?
Mzee wangu Magufuli ulale salama huko uliko uliona mbali kutokucheka na kima!
Tuna viongozi vilaza kuwahi kutokea.
Kwenye mambo ya msingi yanayohusu maslahi ya nchi kama haya huwezi kuwaona NYUMBU, wapo bize na kesi ya Gaidi na CDM Digital.
Huwezi kumpangia mtu kuhoji, ww mwenyewe zamani ulikuwa unahoji why now huoji?
Analokubaliana nalo usizani kila mtu analikubali na ndio maana wana hoji, halafu nyinyi mapingwa wa kuipigania demokrasia huku mkiwa hamjui mnachokipigania.
Kwenye mambo ya msingi yanayohusu maslahi ya nchi kama haya huwezi kuwaona NYUMBU, wapo bize na kesi ya Gaidi na CDM Digital.
Endelea kukipigania chama ufipani na kuiondoa CCM ila akili ikikurudia ndipo utajua ulipoteza mda,hii picha hapo chini ni shule tosha.Sisi tunapigania kuondoa chama kibovu cha ccm, maana ndio tatizo halisi. Sio kama nyie mnatetea kundi linalowapa ulaji ndani ya ccm.
Meter azisababishi carbon emission zinakuonyesha tu umeme unaotumia. Carbon emission inatokana na matumizi yako ya nishati kama vyanzo sio green.Maelezo mengi but out of point.
Unaweza eleza meters za sasa hivi zinasabibishaje carbon emissions?
Je utawala huu umeacha kununua ndege? Je unafuata sheria za manunuzi katika kununua hizo ndege?
Mchakato wa manunuzi wa Selikari huchukua si chini ya miezi 6 mpaka mkataba unasainiwa inakuwaje Makamba na bodi yake hawana hata miezi miwili ofisini tayari wanasaini mkataba wa maboresho ya mfumo? Je walifuata mchakato wa manunuzi ya umma? Wamejihakikishia vipi kuwa thamani ya pesa itapatikana katika huo mkataba?
Wamefanya lini research na kugundua tatizo ni mfumo kwenye upatikanaji wa umeme na sio vyanzo vya huo umeme au system ya usambazaji?
Kuna vitu vingi sana vinaacha maswali bila majibu katika hili swala. Makamba anapaswa kutoka aeleze yote na akishindwa afukuzwe na ashitakiwe kwa matumizi mabaya ya mali za umma.
Kabisa!
Mikumi tena kwa Mama na ccm na gaidi asukumizwe huko jela kabisa.
Inaonesha kabisa kuwa na mtazamo hasi na Waziri. Huo unaosema upigaji sijui kama unaweza kudhibitishwa au watu walikaririshwa. tanesco inaenda kukombolewa muda si mrefuTatizo humu tunacoment na watu wengine mliokutana na misimamo ya jembe, bulldozer JPM na mmejaa stress hata kwenye mambo ya muhimu kitaifa.
Huo mfumo wa utawala wasioweza hata kuuelezea!
Je ndio priority ya ufanisi Tanesco?
Shida za Tanesco mbona zilikoma kwa miaka mitano ya Magufuli?
Makamba tunamjua ni mpigaji wewe kama una uswahiba nae mpe sapoti kibinafsi lakini sio kwenye pesa za walipa kodi.
Huku mtaani watu wanajaza form za kufungiwa umeme wanakaa mwaka mzima wanaambiwa mita hamna alafu unatetea bilion 69 eti zinaweka mfumo wa kumonitor?
Wana monitor kitu gani kama wananchi wanakaa mwaka hawafungiwi umeme?
Ndio maana ccm inatawala itakavyo sababu ya upumbavu wa watu kama huu!
Lakini bilioni 69 ni nyingi mkuu... Mfumo tu? Au nielimishe zaidi