Kweli kabisa na haya ndiyo yangewapa credit kwa wananchi, ila wao wamekazania mbowe sababu yeye ndio ana sign cheques zote, hivyo kitendo cha kuwa ndani ni kiashiria cha ukata mkubwa.Kwenye mambo ya msingi yanayohusu maslahi ya nchi kama haya huwezi kuwaona NYUMBU, wapo bize na kesi ya Gaidi na CDM Digital.
Tunaojua kinachoendelea ni kwamba nchi imerudi miaka 20 nyuma tangu Rais Mpendwa wa Watanzania kufariki. Ninachowashauri Watanzania wenzangu anzeni kuchukua mikopo ya Solar Energies kabla haijapanda bei.Shirika la TANESCO limeingia mkataba wa kusimika mfumo wa kisasa wa ufanisi,wenye thamani ya dola milioni 30 za marekani na kampuni ya Mahendra kutoka India.
My take:
Hao wataalamu walipopewa nafasi ya kuongea wanasema ni pamoja na utawala pamoja na kumonitor mfumo mzima wa Tanesco kutokea satellite.
Yalee ya Net group solutions waliowahi kutupiga miaka ile ya JK.
Sasa tumeelewa maana ya kumtoa Kalemani.
Source ITV news jioni ya 09/11/2021.
Muone na Sura yakeWanaweka system ya monitoring eleweni ,kukiwa na fault wao wanaona mapema sio mpaka mteja apige simu,Wire ukikatika ,transforma likibutuka ,nguzo ikidongdoka ,low & high voltage kwenye lines wanaona zote na kuzitatua mapema ,huo ndivyo ufanisi.
Mzee wangu Magufuli ulale salama huko uliko uliona mbali kutokucheka na kima!
Yaleyaleeèee!!!Shirika la TANESCO limeingia mkataba wa kusimika mfumo wa kisasa wa ufanisi,wenye thamani ya dola milioni 30 za marekani na kampuni ya Mahendra kutoka India.
My take:
Hao wataalamu walipopewa nafasi ya kuongea wanasema ni pamoja na utawala pamoja na kumonitor mfumo mzima wa Tanesco kutokea satellite.
Yalee ya Net group solutions waliowahi kutupiga miaka ile ya JK.
Sasa tumeelewa maana ya kumtoa Kalemani.
Chanzo: ITV news jioni ya 09/11/2021.
Muone na Sura yake
Sasa waibe CCM uwalaumu CHADEMA hivi unawaza kwa kutumia nini?Kweli kabisa na haya ndiyo yangewapa credit kwa wananchi, ila wao wamekazania mbowe sababu yeye ndio ana sign cheques zote, hivyo kitendo cha kuwa ndani ni kiashiria cha ukata mkubwa.
Hivi kwa nini menejimenti ya TANESCO haipewi uhuru iendeshe shirika bila kuingiliwa kwa kupangiwa nini cha kufanya, kulazimishwa kuingia mikataba ya kimangungu inayoshinikizwa na wanasiasa ?Shirika la TANESCO limeingia mkataba wa kusimika mfumo wa kisasa wa ufanisi,wenye thamani ya dola milioni 30 za marekani na kampuni ya Mahendra kutoka India.
My take:
Hao wataalamu walipopewa nafasi ya kuongea wanasema ni pamoja na utawala pamoja na kumonitor mfumo mzima wa Tanesco kutokea satellite.
Yalee ya Net group solutions waliowahi kutupiga miaka ile ya JK.
Sasa tumeelewa maana ya kumtoa Kalemani.
Chanzo: ITV news jioni ya 09/11/2021.
Ndio wanaanza kuchomeka milija ya kuanza kinyonya tanesco, mwisho wa siku utasikia shirika limelemewa na madeni libinafishishwe,kumbe wao ndio wanalitwisha madeni; baada ya kutafuta jinsi ya kulipunguzia madeni shirika wao wanaongeza,bado kidogo tunarudi kwenye ngao wa umeme, maana naona dawasco wameanza ili Makamba akisema,waanze kusema hamwoni dawasco?Tunarudi zama zile kwa kasi ya ajabu.Shirika la TANESCO limeingia mkataba wa kusimika mfumo wa kisasa wa ufanisi,wenye thamani ya dola milioni 30 za marekani na kampuni ya Mahendra kutoka India.
My take:
Hao wataalamu walipopewa nafasi ya kuongea wanasema ni pamoja na utawala pamoja na kumonitor mfumo mzima wa Tanesco kutokea satellite.
Yalee ya Net group solutions waliowahi kutupiga miaka ile ya JK.
Sasa tumeelewa maana ya kumtoa Kalemani.
Chanzo: ITV news jioni ya 09/11/2021.
Net Group ilikuwa MkapaShirika la TANESCO limeingia mkataba wa kusimika mfumo wa kisasa wa ufanisi,wenye thamani ya dola milioni 30 za marekani na kampuni ya Mahendra kutoka India.