Waziri Makamba ameanza rasmi project alizotumwa TANESCO

Waziri Makamba ameanza rasmi project alizotumwa TANESCO

Mzee wangu Magufuli ulale salama huko uliko uliona mbali kutokucheka na kima!
Sawa. Lakini huwa hupati nafasi kuwaambia wana CCM wenzako wanapofanya ujinga? Vinginevyo utaishia kulalamika kama Wapinzani.
 
Kwenye mambo ya msingi yanayohusu maslahi ya nchi kama haya huwezi kuwaona NYUMBU, wapo bize na kesi ya Gaidi na CDM Digital.
Ya msingi kutumia ovyo Rasilimali zetu? Sema kwenye mambo ya Kijinga/ ubadhirifu kama haya......
 
Kweli kabisa na haya ndiyo yangewapa credit kwa wananchi, ila wao wamekazania mbowe sababu yeye ndio ana sign cheques zote, hivyo kitendo cha kuwa ndani ni kiashiria cha ukata mkubwa.
Leo ndio mnakumbuka upinzani? Si huwa mnasema kazi yao ni kupinga kila kitu?

Hovyo kabisa nyie watu.
 
Siku hizi Serikali ya awamu ya 6 imekuja na style nzuri sana tofauti na ile ya Magufuli sasa hivi unatarifiwa kwa uwazi kabisa na unapigwa humo humo
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1487]
 
Tatizo amekariri aina ya suluhisho la miaka ya nyuma akadhani linafanana na hili la sasa. Amekariri fulani mpigaji wa siku za nyuma akadhani mazingira yale yale yapo pia na leo.
Yaani iko hivi, nyakati ni tofauti ila watu ni wale wale waliokuwa na tabia zilezile za wakati ule, so unadhani nini kinabadirika?.
 
Kuingia Mikataba sio mbaya Tatizo ni Transparency ya hio Mikataba na kufanya Upembuzi yakinifu...

Kabla ya kuingia hii mikataba je imepita kwenye ngazi tufauti na kuchujwa na kujiridhisha kwamba inahitajika ? Na kama inahitajika hawa ni best candidate wa kufanya kile wanachofanya....

At face value mpaka sasa Makamba ame-fail sababu hata mtu asiyefuatilia mambo wala asiyejua A wala B anaona Umeme unakatika katika
 
Hii ni tatizo kubwa ,
Tanesco tayari ipo mikononi mwa walafi.
Na bado, tutauziwa nguzo kutoka South Africa , mita, na transfoma kwa bei mara 10, na bado hazitafika nchini.

Nacheka kwa Zeleuu haaaa haaaa., awamu ya SIKISI ni feki kama ile ya NNE.

nimeomba mita tanesco mkoani ilala dar mwezi mzima umepita nazungushwa sasa hivi lunch time wanatoka kabla ya mda saa nane ikifika wanatakiwa wawe ofisini huwakuti saa nane na nusu tisa huduma imekuwa hoi mpaka unamkumbuka hayati jpm
 
Shirika la TANESCO limeingia mkataba wa kusimika mfumo wa kisasa wa ufanisi,wenye thamani ya dola milioni 30 za marekani na kampuni ya Mahendra kutoka India.

My take:
Hao wataalamu walipopewa nafasi ya kuongea wanasema ni pamoja na utawala pamoja na kumonitor mfumo mzima wa Tanesco kutokea satellite.

Yalee ya Net group solutions waliowahi kutupiga miaka ile ya JK.

Sasa tumeelewa maana ya kumtoa Kalemani.

Chanzo: ITV news jioni ya 09/11/2021.
Upigaji huo ndugu yangu, India hawajahi kuwa na jema na sisis,
kwanza imepitishwa na nani hiyo?
inakuwaje kila siku yupo tanbesco tu, inamana watendaji hapo hawana kazi?
tenda ilitangazwa lini?
 
Wanaweka system ya monitoring eleweni ,kukiwa na fault wao wanaona mapema sio mpaka mteja apige simu,Wire ukikatika ,transforma likibutuka ,nguzo ikidongdoka ,low & high voltage kwenye lines wanaona zote na kuzitatua mapema ,huo ndivyo ufanisi.
Usitudanganye huo ufanisi lbd hao Mahendra ndio wakafanye ukarabati,kimsingikwa hawa wafanyakaxi tanesko na uongozi Kama huu hizo fedha hazina thamani kabisa lbd hiyo percent ya boss,
 
hana lolote huyo mfu

heri hata sasa hivi tunaweza discuss hata haya maamuzi na kuandikwa freely kwenye magazeti tujue

kipindi cha huyo maiti wako tusingejua chochote na gazeti lolote lingeandika chochote wangekufa wote

mpumbavu yule mfu
Haya inakusaidia nini haya uliyoyaandika!
 
Tatizo humu tunacoment na watu wengine mliokutana na misimamo ya jembe, bulldozer JPM na mmejaa stress hata kwenye mambo ya muhimu kitaifa.
Huo mfumo wa utawala wasioweza hata kuuelezea!
Je ndio priority ya ufanisi Tanesco?

Shida za Tanesco mbona zilikoma kwa miaka mitano ya Magufuli?

Makamba tunamjua ni mpigaji wewe kama una uswahiba nae mpe sapoti kibinafsi lakini sio kwenye pesa za walipa kodi.
Unakumbuka billiopni alizokopa kwenye mifuko ya hifadhi ya jamii kufganyie harusi. Alipoondolewa alikosa namna ya kuzilipa. Ndiyop maana baba yake aliwaerndea wazee wenzake wa awamu ya sita, wampe kazi kwenye wizara nyeti ya upigaji ili apige apate za kuiil;ipa mifuko ja jamii. Angalia mgao wake kwenye 10% ya $30million. Watu wanasherehekea mgao wa sh billioni 6.9, nyie mnapiga kelele.

Sasa hivi ni wakati muafaka upinzani kuiondoa CCM. Yale madudu waliyokuwa wanapigania yalikuwa preempted na Magufuli. Sasa yanarudi kwa kasi. Wasipoteze muda na katiba, waanze moja kwa moja kuikemea serkali na kuiszhtaki kwa wananchi. Tunasikitia fununu kuwa elimu bure shule za msingi itaondolewa. Huenda wazazi wakaambiwa watoe karo kuanzia msingi hadi sekondari. Hii yote ni kuziba mapengo ya upigaji.
 
Kila siku watu wanataka ukinunua umeme ujiwashe kama king'amuzi. Sasa sijui wanafikiri ni kusema tu inakuwa tayari. Lazima uwekeze katika Technology. Hii lazima ifanyike kazi ya Meter rollout zote na ufunge smart meters. Pia lazima kuwe na fault locators all over the country. Kazi inafanywa tunalalamika.
Tunataka nini?
Acheni uongo. Hiyo technology ipo. Mimi niliambiwa na menaja Serengeti kuwa, nguzo ikianguka, umeme ulikatika wanaona kwenye mfumo. Mimi nyumba yangu iko kijijini ndani kabisa na nikipata matatizo ya umeme nikipiga huwa wananiam,bia wanaelekea kwetu kurekebesha. Yaani makamba hata miezi miwili hajafikisha ameisha ingina mikataba, akika mwaka je! Si tutafirisika! Na hii kujisikia na kashida unakim bia kukopa, huo ukopaji utatutokea puani.
 
Kwenye masuala ya msingi tuache ushabiki wa vyama. Hii kitu ya kukodisha wahindi kwa ajili ya utawala na satellite system monitoring kwa gharama ya shilingi za kitanzania bilioni 69.3 ina utata mkubwa kwa sababu Tanesco wanayo system ya ku monitor inavyofanya kazi vizuri tu. Yajayo yanasikitisha ni suala la muda tu.
Wahindi haohao walikodishwa na Kikwete kuja kuendesha reli kwa faida, badala yake wakaiua kabisa. Kuna wengine tuliwaleta TCCL, ndiyo kwanza karibia TCCL izikwe. Air TZ nayo tulileta makaburu wakaizika. Nasikia kuna mpango wa kuleta wataalamu toka Ulaya wa kusimamia mbuga zetu zipate faida hata kama kwao hakuna mbuga wala elimu ya mbuga.
 
Kwa kweli nimeshangaa sana, Tanesco wana Ingia mkataba wa Bilioni 69.3 bila kuelezea huo ufanisi utapimwa vipi na kwa mambo gani, yaani ni ujanja ujanja tu.

Tena wameona waseme kwa dola ili watu wasione kama ni nyingi, dola milioni 30 mkataba wa kuongeza ufanisi kwenye mfumo bila kueleza huo mfumo uko wapi na unatakiwa uende wapi? Hapa kuna harufu ya kupigwa
Vipi kuhusu mapungufu yaliyopo, na mfumo mpya utafanya hali mpya iwe vipi 😂
 
Back
Top Bottom