Richard spencer
JF-Expert Member
- Feb 22, 2021
- 1,302
- 2,130
Magu aliwageuza mazezeta kabisa. Ulaji uko wapi kwamba huo mfumo hauna hiyo thamani au hautafanya kazi tunayoambiwa?We unafikiri nani asiyeelewa kuwa hicho kinachofanyika lengo ni ulaji?
Nyumba ina cctv camera,electric fence na mbwa! Unapoongeza mmasai anakuja kufanya kazi gani?
Tafakari utaona huo upuuzi kama una mantiki! Subiria kuambiwa maji vyanzo vimekauka hivyo kuna mgao wa umeme. Kama Magufuli hakukufungueni macho na akili basi endeleeni kuwa waja laana!
Kama cctv camera na electric fence inatosha kuzuia wezi basi makampuni ya ulinzi yasingengapata kazi kabisa.