Tindo
Platinum Member
- Sep 28, 2011
- 71,960
- 129,134
Kwaiyo hata kama Magufuri kafanya uchafu na Makamba afanye hivyo kwakua mtangulizi wake kafanya, Magufuri pamoja na mabaya yake yote mnayo mvalisha kwa tanesco aliitoa shimoni,ela zote zilizokuwa zinachukuliwa na AccreCo,APTl,na pamoja na Makampuni ya kitapeli aliyakatia milija, ndio maana tenesco aikiyumba kwa miaka 5 ya Magufuri,Makamba anakuja na majibu mepesi eti umeme haukukatika kwasababu walikuwa wanamwogopa Magufuri asiwafukuze,lakini miundombinu ilikuwa dhaifu 😁😀😀Sasa baada ya kifo cha Magufuri ndio wameanza kurekebisha,inamaana tanesco walikuwa wakisubili kifo cha Magufuri ndio waanze malekebisho,nacho hicho ni kichekesho.leo baada ya kuwekeza kwenye miundombinu eti amewekeza kwenye mfumo.Wizi mtupu
Ni hivi, jiwe alikuwa jizi ndio maana alikuwa hataki uhuru wa vyombo vya habari, na yoyote aliyejaribu kutoa taarifa za kweli alitishwa, kutekwa au kuuwawa. Alihamishia nguvu zake kwenye umeme, lakini hakuwa mtu mwenye matokeo mazuri overall.