1. Maji yamepungua kwenye mto Ruvu kutokana na kutonyesha mvua maeneo mengi ya inchi-DAWASCO tayari wametangaza mgao wa maji.
2. Kifuatacho ni kina cha maji kupungua kwenye mabwawa ya kuzalisha umeme-TANESCO watatangaza mgao kabambe wa umeme.
3. Serikali kupitia TANESCO itanunua majenereta ili kupambana na mgawo huo ujao.
Nimeshasafisha chemli langu nasubili wakati ufike nianze kulitumia. Tunarudi tulikotoka kwa kasi ya ajabu.