Waziri Makamba ameanza rasmi project alizotumwa TANESCO

Waziri Makamba ameanza rasmi project alizotumwa TANESCO

Ndiyo maana ya jukwaa huru ilimradi avunji kanuni na maudhui ya JF.

Mkuu hizi mambo za Tanesco zinafahamika migogoro na migongano yake enzi na enzi na wala hakuna ufumbuzi yanikifu juu ya kutatua matatizo, zaidi walia kivulini wanatengeneza one step for four steps ahead hapo katikati kuna mambo yanaachwa.

👉🏾Hii ni nchi yetu sote.
Tatizo amekariri aina ya suluhisho la miaka ya nyuma akadhani linafanana na hili la sasa. Amekariri fulani mpigaji wa siku za nyuma akadhani mazingira yale yale yapo pia na leo.
 
Siamini haya ninayoyasoma hapa. Kila kiongozi akija anakuja na vipaumbele vyake kama vile nchi haina sera miongozo ya muda mfupi na muda mrefu.
Nashauri yafuatayo:
a). Shirika la TANESCO libinafsishwe; kwa mfano serikali inaweza ikapewa sehemu moja ya makampuni yatakayoundwa. Lakini uzalishaji, usambazaji yapewe makampuni mengine. Labda Serikali ihusike na utoaji sera na huo usimamizi;
b) Iundwe Katiba Mpya ya JMT ambayo haitaruhusu viongozi kuamka asubuhi na kujijia mipango yao toka mifukoni iwe ni kuwateua wasaidizi wao/mawaziri, nk mipango ya kuiongoza nchi.
 
January anatengeneza CMS kwa bilioni 60
🤣🤣🤣🤣🤣🤣
 
Hii ni tatizo kubwa ,
Tanesco tayari ipo mikononi mwa walafi.
Na bado, tutauziwa nguzo kutoka South Africa , mita, na transfoma kwa bei mara 10, na bado hazitafika nchini.

Nacheka kwa Zeleuu haaaa haaaa., awamu ya SIKISI ni feki kama ile ya NNE.
Zote zilikuwa na zipo chini ya MAFISI CCM.TATIZO NDIO LIKO HAPO...BILA KUISAHAU ILE YA 5...
 
wote hao ni wezi..
alfu wajue hii nchi sio ya familia zao..wenye nchi tupo tunawavutia upepo tu..
 
Peleka umeme kila kijiji halafu ndio mfumo wa monitoring ufuate. Huo mfumo sio priority kwa sasa.
Hivi wabunge hawayaoni haya au wanaona sawa tu?
Tufanye ya LAZIMA kwanza halafu ya MUHIMU yatafuata.
 
Huo mkataba uko wapi?
Tunarushwa tu na maneno na sisi tunayafuata!
Peleka umeme kila kijiji halafu ndio mfumo wa monitoring ufuate. Huo mfumo sio priority kwa sasa.
Hivi wabunge hawayaoni haya au wanaona sawa tu?
Tufanye ya LAZIMA kwanza halafu ya MUHIMU yatafuata.
 
Huo mkataba uko wapi?
Tunarushwa tu na maneno na sisi tunayafuata!
Mtoa mada ameandika chanzo cha taarifa hapo juu.
Kama unataka kujificha kwenye kichaka cha mkataba ilihali ukijua mikataba hiyo ni siri basi nadhani mimi sina cha kukusaidia.
 
Kwenye mambo ya msingi yanayohusu maslahi ya nchi kama haya huwezi kuwaona NYUMBU, wapo bize na kesi ya Gaidi na CDM Digital.
Wanaogopa wakiongea wanaona kama wana msapoti mwendazake.
 
Makamba utatukanwa kweli kweli ila piga kazi songa mbele.

Kila utakachofanya timu ya Kalemani/Magufuli pamoja na timu ya Mnyiramba Mwigulu watakukosoa tu.
Watu wanafanya comparison before and after na hata kipindi cha Mwendazake walimkosoa, mpaka yule mganga njaa Kigogo alikosoa cha ajabu siku hizi yupo kimya.

Hii ndio siasa huwezi kutenganisha siasa kukosolewa,so acha waongee.
 
Wanaweka system ya monitoring eleweni ,kukiwa na fault wao wanaona mapema sio mpaka mteja apige simu,Wire ukikatika ,transforma likibutuka ,nguzo ikidongdoka ,low & high voltage kwenye lines wanaona zote na kuzitatua mapema ,huo ndivyo ufanisi.
Lakini bilioni 69 ni nyingi mkuu... Mfumo tu? Au nielimishe zaidi
 
Hizo pesa za umma unazojifanya una uchungu nazo dhalimu alienda kujenga uwanja wa ndege huko porini usio na tija yoyote. Kipi kinakushangaza huyo muhuni anayenyoa kipara kuingiza pesa sehemu isiyo na tija. Sukuma gang hamna uchungu wowote na nchi, zaidi ya hasira ya kutolewa kwenye mlo. Hamna support yoyote ya umma nyie watu wenye roho chafu. Msijifiche kwenye utetezi wa fedha za umma, wakati nyie ni wachafu kama wachafu wengine.
Kwa hiyo hao wachafu wengine sasa hivi zamu yao kula, haya ila tutafika.
 
Msoga wanakula nchi kwani nao ni madhalimu?

Dhalimu wenu si kafa na sasa nchi inapumua, mko vizuri mambo ni bam bam?

Nchi hii ni masikini siku zote, wala mambo hayajawahi kuwa mazuri, lakini sasa hivi dhalimu hayuko madarakani wala duniani, bali yuko kuzimu. Hiyo kwetu ni bonge la faraja.
 
Hakuna taarifa kama hiyo
Nimeingia ITV online siioni na wala ukigoogle taarifa zake za jana haipo
Mtoa mada ameandika chanzo cha taarifa hapo juu.
Kama unataka kujificha kwenye kichaka cha mkataba ilihali ukijua mikataba hiyo ni siri basi nadhani mimi sina cha kukusaidia.
 
Back
Top Bottom