wa kupuliza
JF-Expert Member
- Jun 15, 2012
- 15,209
- 37,869
CCM Ni ile Ile.
Mama anaiponya nchi.
Mama anaiponya nchi.
Wacha wajipange watupige vizuri, mungu atawaambia wananchi cha kuwafanyia hawa wezi.Mambo yao ya ajabu kweli.
Simuoni January kama kiongozi mwenye uchu wa hela, yeye more so on political ambitious, kuliko kusaka utajiri.
Ila urafiki utam cost katika siasa, huyo Maharage Chande atafute namna ya kumtoa Tanesco he is not qualified na Nehemia kwa hesabu zake za NHC I wouldn’t put him as my finance advisor.
TANESCO ilikuwa kwenye faida wanaenda tengeneza matatizo unnecessary.
Wezi wamerudi kwa nguvu na hasira. Ngoja mapambano yanaendelea. Kama wanafikiri kufa magufuli ndio wameshinda waendelee maana si muda mrefu umma watanyanyuka na kuwapiga mawe. Tanesco ilishaanza kupata faida sasa wanaingiza wezi na wanyonyaji ili wagawane ngawira.Shirika la TANESCO limeingia mkataba wa kusimika mfumo wa kisasa wa ufanisi,wenye thamani ya dola milioni 30 za marekani na kampuni ya Mahendra kutoka India.
My take:
Hao wataalamu walipopewa nafasi ya kuongea wanasema ni pamoja na utawala pamoja na kumonitor mfumo mzima wa Tanesco kutokea satellite.
Yalee ya Net group solutions waliowahi kutupiga miaka ile ya JK.
Sasa tumeelewa maana ya kumtoa Kalemani.
Chanzo: ITV news jioni ya 09/11/2021.
Acha chuki binafsi kwa January na Kikwete,Net group solutions ililetwa wakati wa Mkapa.Shirika la TANESCO limeingia mkataba wa kusimika mfumo wa kisasa wa ufanisi,wenye thamani ya dola milioni 30 za marekani na kampuni ya Mahendra kutoka India.
My take:
Hao wataalamu walipopewa nafasi ya kuongea wanasema ni pamoja na utawala pamoja na kumonitor mfumo mzima wa Tanesco kutokea satellite.
Yalee ya Net group solutions waliowahi kutupiga miaka ile ya JK.
Sasa tumeelewa maana ya kumtoa Kalemani.
Chanzo: ITV news jioni ya 09/11/2021.
Ufanisi wa ku monitor umeme ambao hautoshi? Huo ni mwanya tu wa kugawana sehemu ya hizo 65billions.Wanaweka system ya monitoring eleweni ,kukiwa na fault wao wanaona mapema sio mpaka mteja apige simu,Wire ukikatika ,transforma likibutuka ,nguzo ikidongdoka ,low & high voltage kwenye lines wanaona zote na kuzitatua mapema ,huo ndivyo ufanisi.
Huyo Makamba hizo hela wanazotaka kupoteza wangeelekeza kule JKN Hydro power mradi uishe haraka umeme uwe wa uhakika kwanza kisha ndio waje kwenye ku monitor usambazaji!Mnampiga vita sana makamba nyie timu jiwe.
Nashangaa kwanini TANESCO walikuwa hawana huo mfumo ,Big Up sana Makamba kwa kuleta mfumo mpya utakaoongeza ufanisi wa TANESCO.
Basi unafikiri wajinga basi. Wanajitoa fahamu sababu wanajua mazombie wao hatufanyi kitu.Makamba MTU ovyo sana.
Matatizo tulonayo toka Tanesco yetu. Sikutegemea angeweza kuja na matope ya namna hii.
Ku monitor??? Ujinga gani huu na wizi wa waziwazi !! .
Ambacho ndio hawatafanya sasaMlolongo mzuri wamatukio.....Cha kufanya ni kuharakisha ujenzi wa nyerere dam lasi hivyo mpaka mwezi wa Kwanza Hali itakuwa mbaya zaidi
Ndomaana nilikuita msukule. ishu ya kwanza kuandika ni kunishutumu naendeleza ukanda, bila shaka hii ndio sababu ya kumkubali bwana Jiwe kwa kuwa na yeye alipenda sana hizi mambo za ukanda.Mjinga kama wewe huwezi elewa utabaki ukiendeleza ujinga wa kikanda tu.
Kama mama au baba yako au wewe binafsi ulitumbuliwa usituletee chuki zako humu.
Hujasikiliza hata hiyo taarfa walivyoshindwa kujieleza wao wenyewe.
Sisi sio watoto wadogo,tunaijua Tanesco na pia tunamjua makamba tangu aki loby shule na kusimamishwa masomo, kwenda marekani na kurudi kumuandikia JK hotuba ikulu na baadae wakamdhulumu Sugu deal ya malaria iliyokuwa na wafadhili wamarekani.
Upigaji wa hela za wana Bumbuli 1b nk.
Hatuongei pumba wala kukurupuka.
Priority namba moja ya Tanesco ni source zaidi za kuzalisha umeme sababu demand ni kubwa kutokana usambazaji wa REAna sio utawala wa kukodisha.
Acha
Smart meter kwenye nyumba ambazo on average zinatumia 8Kw kwa mwezi?Kila siku watu wanataka ukinunua umeme ujiwashe kama king'amuzi. Sasa sijui wanafikiri ni kusema tu inakuwa tayari. Lazima uwekeze katika Technology. Hii lazima ifanyike kazi ya Meter rollout zote na ufunge smart meters. Pia lazima kuwe na fault locators all over the country. Kazi inafanywa tunalalamika.
Tunataka nini?
Yaani hao vilaza ndo mama anaturudishie wao kazi yako ni kuwaza wawekezaji tu jutoka nje ili hali humo ndani wawekezJi wamejaa kila konaTuna viongozi vilaza kuwahi kutokea.
Vipi,mama yako alisharejeshewa ualimu wake fake aliofukuzwa kipindi cha Utawala wa Magufuli maana hilo povu pengine hiyo ndiyo sababu!Nyinyi vilaza hamjui kitu ndio maana mnaona kama ni wizi,System inawekwa kwa jili ya monitoring ,MBWEHA wewe elewa.
Tumeibiwa sana na MAYANGA constructions, Tumepigwa sana kwenye manunuzi ya ndege ,Tumepigwa sana kwenye ujenzi wa chato airport ambayo sana ni GBADOLITE etc yote mlikuwa kimya!
Mikumi tena kwa SSH.
Wataona halafu hawana pesa za fixed hizo fault mara utasikia hawana mafuta au blabla nyingi gharama za unedeshaji wa Shiraka zitaongezaka mara mbili na tutazibeba sisi na matozo yakeWanaweka system ya monitoring eleweni ,kukiwa na fault wao wanaona mapema sio mpaka mteja apige simu,Wire ukikatika ,transforma likibutuka ,nguzo ikidongdoka ,low & high voltage kwenye lines wanaona zote na kuzitatua mapema ,huo ndivyo ufanisi.
Hzi ni gshrma tu unabebeshwa tu wew mlaji wire utakatika na amna kitakachofanykka utasikia tumeagiza nyaya nje ya nchi zitafika bandarin mwezi ujaoMnampiga vita sana makamba nyie timu jiwe.
Nashangaa kwanini TANESCO walikuwa hawana huo mfumo ,Big Up sana Makamba kwa kuleta mfumo mpya utakaoongeza ufanisi wa TANESCO.
Vipi,mama yako alisharejeshewa ualimu wake fake aliofukuzwa kipindi cha Utawala wa Magufuli maana hilo povu pengine hiyo ndiyo sababu!
Hiyo ndo changamato ya Shiraka kwa sasa kweliUzi mzima umejaa misukule ya Jiwe yenye majungu na chuki za wazi dhidi ya Makamba. Hakuna hata aliehangaika kujiuliza au kuuliza huo mfumo unafanyaje kazi, faida na hasara zake ni zipi badala yake mnakaa kutiana ujinga tu.
Unaamini tulikua tunahitaji huo mfumo?Umendika kwa hisia zisizo na uhakika. Subiri ujiridhishe kabla ya kuweka mawazo yako hadharani.
Hao watendaji wa JM yeye anawajua zaidi na ndio maana aliwapendekeza kwenye hizo nafasi! Mengi yanakuja.Mimi sijamuelewa yule meneja mkuu,badala ya kutufafanulia undani wa ule mkataba yeye anatueleza majukumu ya Tanesco!
ebo!
Hzi ni gshrma tu unabebeshwa tu wew mlaji wire utakatika na amna kitakachofanykka utasikia tumeagiza nyaya nje ya nchi zitafika bandarin mwezi ujao